Matunzo 02
JF-Expert Member
- Jul 7, 2026
- 1,620
- 3,165
unapotoa sadaka unatafuta nin? Ukiacha msaadaSadaka ni muhimu sana unaweza saidia moja kwa moja yatima, wajane au yeyote asiyejiweza sio lazima sadaka ukaitoe kanisani au msikitini
unapotoa sadaka unatafuta nin? Ukiacha msaadaSadaka ni muhimu sana unaweza saidia moja kwa moja yatima, wajane au yeyote asiyejiweza sio lazima sadaka ukaitoe kanisani au msikitini
Mapadre wanalipwa kwa kuacha kazi zao zingine!Ni Dini gani uliwahi kuona Mungu akipewa hizo Pesa? Lini Mungu alipewa Pesa?
Wanaopokea hizo Pesa, ndio huwa wanazitumia.
Unawalipa kwa kuacha kazi zao nyingine na kuja kukufundisha neno la Mungu, na sio unamlipa Mungu.
Ukitoa sadaka unaongezewa kile ulichonacho maradufu amini nakuambia.unapotoa sadaka unatafuta nin? Ukiacha msaada
Watumishi wake ndio wanazozitumia kwa niaba yake. Unataka kumuona Mungu mwenyewe akizitumia? we ni mtu wa mwilini hutamuona Mungu kwa mtazamo ulio nao
Hawana tofauti na wakristo au dini nyingine, wote wanafanana kwa shidaIla mashekh wana njaa sana aisee.ndo maana wanagombania hadi ubwabwa kwenye shughuli.
Na mbaya zaidi ni wavivu,wenyewe wanachojua ni kulala tu misikitini muda wa kazi.
Wewe ulitoa nini ambacho baadae ukashihudia kukipata tena mara mbili acha ujinga utoe milioni halafu upate milioni 2 umekaa tu bila kifanyakazi etiUkitoa sadaka unaongezewa kile ulichonacho maradufu amini nakuambia.
Acha ubishi usio na maana sijasema usifanye kazi toa kile ulichonacho unaweza ukawa na shida Lakini Kuna watu wanashida zaidi yako unadhani matajiri wanavyotoa misaada wanafanya hivyo kwa bahati mbaya?Wewe ulitoa nini ambacho baadae ukashihudia kukipata tena mara mbili acha ujinga utoe milioni halafu upate milioni 2 umekaa tu bila kifanyakazi eti
Hivi ndivyo mlivyojazwa ujinga na wajanja wachache ili waweze kujihalalishia urasimu waoWatumishi wake ndio wanazozitumia kwa niaba yake. Unataka kumuona Mungu mwenyewe akizitumia? we ni mtu wa mwilini hutamuona Mungu kwa mtazamo ulio nao
Hili swali kijana wangu wa miaka 10,analijibu vzr tu, kama wewe huna jibu,Habarini,
Viongozi wa Dini wanatunzwa na washiriki maskini wa kanisa na misikiti kwa kuambiwa watarajie muujiza ndani ya wiki!
Viongozi wa dini nndiyo wanatumia pesa alizopewa Mungu na waafrika kwaajili ya kununulia majumba na magaari ya kifahari,kuishi maisha mazuri,kununnua kondom,nk
Ukristo na iiislam kwa hakika ni laana kwa mtu mweusi!