HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
ndio maana masheikh wana njaa kali sana na umasikini umewatamalaki, waumini wao si watoaji na hawajui kuwategemeza viongozi wao wa dini. Waumini wao ni bahili, hawajali viongozi waoDuuh kwa uislamu sadaka ya mia mbili shkh anunue gari kweli...!!
Na zaka inaenda kwa wahusika....
huoni ni aibu sheikh wenu ni kapuku huku nyie waumini wake mna ukwasi? Acheni uchoyo, boresheni maisha ya mashekh wenu nao waishi maisha bora ya utosheleziKwenye uislamu hakuna wajinga wa kukupa hela ukanunue gari ndio maana matapeli huwa wanaigiza kubadili dini na kujiita manabii wa upako kwenda kupiga hela za bure.
Kwenye uislamu hakuna wajinga wa kukupa hela ukanunue gari ndio maana matapeli huwa wanaigiza kubadili dini na kujiita manabii wa upako kwenda kupiga hela za bure.
Shida sio ubahili.....ndo dini inavyofundisha msikiti si sehemu ya kupatia rizki au sehemu ya kufuja mali.ndio maana masheikh wana njaa kali sana na umasikini umewatamalaki, waumini wao si watoaji na hawajui kuwategemeza viongozi wao wa dini. Waumini wao ni bahili, hawajali viongozi wao
Habarini,
Viongozi wa Dini wanatunzwa na washiriki maskini wa kanisa na misikiti kwa kuambiwa watarajie muujiza ndani ya wiki!
Viongozi wa dini nndiyo wanatumia pesa alizopewa Mungu na waafrika kwaajili ya kununulia majumba na magaari ya kifahari,kuishi maisha mazuri,kununnua kondom,nk
Ukristo na iiislam kwa hakika ni laana kwa mtu mweusi!!!!
Kuwa Sheikh au Mchungaji sio kibali cha kutofanya kazi,nenda kaswali ukimaliza nenda kazini ukatafute helahuoni ni aibu sheikh wenu ni kapuku huku nyie waumini wake mna ukwasi? Acheni uchoyo, boresheni maisha ya mashekh wenu nao waishi maisha bora ya utoshelezi
Ndio maana nikasema usitegemee kupata hela nyingi za kununua gari au kujengea nyumba.Kwenye Uislam sadaka za mia mbili mia mbili utapata kweli kununua gari? Sadaka zinatolewa sema ni ndogo sana kutokana na uchumi wenyewe kuwa wa kuchuchumia.. hili mbona linafahamika na masheikh wangi hulalamika.
Ndio maana nikasema usitegemee kupata hela nyingi za kununua gari au kujengea nyumba.
Na ukisema waislamu wote kapuku ni uongo asilimia kubwa ya mabilionea wanaomiliki viwanda Afrika Mashariki na Kati ni waislamu
Hapana mkuu utajiri huwa haujifichi.Siyo wote. Mabilionea wengi ni wale tunaowajua kwa biashara zao. Na hao wengi ni Waislamu. Wapo Makafir matajiri bilioneas ila hawajulikani na hawataki julikana. Kisha tabaka la uchumi chini wengi ni Waislam. Maeneo mengi ha wanaosali ni ya kipato cha chini na kati. Matajiri wa Kiislam aanatoa sana sadaka. Lakini waumini wengi ni maskini wa kutupwa.
Mungu hana Dini wala KITABU wanachokiita kitakatifu.Habarini,
Viongozi wa Dini wanatunzwa na washiriki maskini wa kanisa na misikiti kwa kuambiwa watarajie muujiza ndani ya wiki!
Viongozi wa dini nndiyo wanatumia pesa alizopewa Mungu na waafrika kwaajili ya kununulia majumba na magaari ya kifahari,kuishi maisha mazuri,kununnua kondom,nk
Ukristo na iiislam kwa hakika ni laana kwa mtu mweusi!
Sadaka ni muhimu sana unaweza saidia moja kwa moja yatima, wajane au yeyote asiyejiweza sio lazima sadaka ukaitoe kanisani au msikitiniToa ndugu toa ubarikiwe
Ni Dini gani uliwahi kuona Mungu akipewa hizo Pesa? Lini Mungu alipewa Pesa?Viongozi wa dini nndiyo wanatumia pesa alizopewa Mungu na waafrika kwaajili ya kununulia majumba na magaari ya kifahari,kuishi maisha mazuri,kununnua kondom,nk
Unakosea unaposema 'mabahili', sadaka ni kile akitoacho mtu kwa ridhaa na atoapo asitoe kwa ushindani, kulazimishwa ama kuathiri maisha yake kubaki na dhiki.ndio maana masheikh wana njaa kali sana na umasikini umewatamalaki, waumini wao si watoaji na hawajui kuwategemeza viongozi wao wa dini. Waumini wao ni bahili, hawajali viongozi wao