Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?


Umenena vyema mtumishi
 
Nyuzi zako nyingi ni kukosoa mambo ya dini za kigeni,nakushauri uanzishe dini ya asili ya mizimu mbona utapata wafuasi wengi.
 
Jamani nyieeee Mungu hazaliwi nyie
Walokuleteeni iyo dini saivi wanaslimu kwa kasi huko
Hata ungepewa facts 1000 za maandiko matakatifu kama hujafungua ufahamu na moyo kumwamini Yesu Kristo kuwa ni Mungu alikufa na kufufuka kwa ajili yako huwezi kuokoka wala kumwelewa Mungu.

Imani ya kikristo inaaminiwa kwanza sio kusomewa kwanza.
 

Hapo Yeye kasema Au kauliza au Hujui manaa Ya Question mark ndugu yangu. Na Maandiko kamili yapo Hivi

Maana Mungu hakumwambia kamwe hata mmoja wa malaika wake: “Wewe ni Mwanangu; mimi leo nimekuwa Baba yako.” Wala hakusema juu ya malaika yeyote: “Mimi nitakuwa Baba yake, naye atakuwa Mwanangu.” Lakini Mungu alipokuwa anamtuma Mwanae, mzaliwa wa kwanza, ulimwenguni alisema: “Malaika wote wa Mungu na wamwabudu.”
Waebrania 1:5‭-‬6


Wewe umetafsiri unavyojua Mwenyewe hapo hajasema Amezaa huyo Mwanae. Kuzaa ni Kuwa na Mwanamke ndani ukampa Mimba ukapata Mtoto huko ndiko kuzaa

Maandiko hayo hapo Mungu anazaa. Lete andiko katika biblia Mungu anasema hazai tujue mbivu na mbichi leo

Mama Yake Yesu ni Yupo Hapo Sasa kama Amezaa ndugu yangu
 

Mungu kazaa na Nani ndugu yangu. Mama Yake Yesu ni Nani! Maana Aliyezaa ni Mariam Basi Mariamu kwako ndio Mungu
 
kwa hiyo kuna uwezekano kuna siri imefichwa?
Siri Nyingi sana Zimefichwa kwa Hawa Viumbe wanaokuja Kukupa Taarifa za Mungu hapa Duniani

Mungu Ana Mwana
Mungu Ana Hasira
Mungu ana Wivu
Mungu ana Sikia
Mungu ana Mkono mrefu unafika Popote

Hizo Sifa Zote ni za Viumbe siyo Mungu kwahiyo wao wanampa Sifa Walizonazo wao
 
hujanitajia alomzaa ila m ninavojua alimzaa ni Mariam kwaio Mariam ndo Mungu wa Yesu?

Wewe unavyojua ila sio maandiko yanavyosema.
Kwa taarifa yako
Yohana : 8 : 58 - Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, mimi niko.
Sasa tuambie kati ya ibrahim na Mariam nani alianza kuwepo
 
Hata ungepewa facts 1000 za maandiko matakatifu kama hujafungua ufahamu na moyo kumwamini Yesu Kristo kuwa ni Mungu alikufa na kufufuka kwa ajili yako huwezi kuokoka wala kumwelewa Mungu.

Imani ya kikristo inaaminiwa kwanza sio kusomewa kwanza.
hhhhhh kwaio unalazimishwa kwanza uamini hlf ndio usomeshwe imani si kulazimishana huko sasa

Katika Uislamu hatumlazimishi mtu sisi kwanza mtu anapewa elimu hlf machaguzi yake yy mwenyewe ima akubali au akatae dah nilikua silijui hili la kulazimishwa imani kwanza hhhhhh poleni bhna
 
Wewe unavyojua ila sio maandiko yanavyosema.
Kwa taarifa yako
Yohana : 8 : 58 - Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, mimi niko.
Sasa tuambie kati ya ibrahim na Mariam nani alianza kuwepo
mbona unaleta maswali juu ya maswali jibu ilo swali kwanza
 
mmmh noma sana
 
Huyu hapa Allah ameshasamehe dhambi zote zilizo pita na zijazo , waislamu wapo huru kufanya dhambi wanazo penda.
Koran 48:2 That Allah may forgive thee of thy sin that which is past and that which is to come.....
 
Mungu anaishi katika nafsi 3

MUNGU BABA
MUNGU MWANA
ROHO MTAKATIFU

Mungu Akiishi Maana Yake Ana Uhai na Huo Uhai utaisha. Kuishi kuna Kikomo maana Yake Atakufa Siku Zikifika. Maisha Wanayo Viumbe siyo Mungu

Nafsi ya pili ndio ilikuja duniani kwa mwili wa binadamu, ikaonekana waziwazi na wanadamu.

Aliyekufa na kufufuka ni Yesu kristo. Wakati amekufa nafsi nyingine zinafanya kazi.

Wakati huo huo mnasema Mungu ni Mmoja. Halafu tena Nafsi moja Ikafa. Mungu anakufanye Ndugu yangu!? Sifa Ya Mungu ni Kufa? Au hiyo ni Sifa Ya Viumbe

Halafu haya Mambo nyie mnayatoa Wapi Mbona Hata Wanafunzi wa Yesu hawakuambiwa Haya
 
Jibu hoja izo m sina shida ila kwanini mseme mshabebewa dhambi zenu hlf mnaenda makanisani kutubu?
Allah kasema ameshawasamehe dhambi zilizo pita na mtakazo fanya , mbona bado mnaenda msikitini kutubu?

48:2 That Allah may forgive thee of thy sin that which is past and that which is to come.....
 
Hata ungepewa facts 1000 za maandiko matakatifu kama hujafungua ufahamu na moyo kumwamini Yesu Kristo kuwa ni Mungu alikufa na kufufuka kwa ajili yako huwezi kuokoka wala kumwelewa Mungu.

Kwanza Alikufa na Kufufuka kwa Ajili yangu kwanini. Kwani Mimi Nilifanya Nini mpaka Yeye aje Anifie Msalabani. Nilifanya Jambo gani mpaka Yeye aje Afe Hivyo Mie nilikuwa Afrika huku Yeye Yupo Israeli


Imani ya kikristo inaaminiwa kwanza sio kusomewa kwanza.
Kuamini Kunakuja Baada ya Kuambiwa Ukweli ukisema Ukweli unaoingia Akilini watu watakuamini sana Tu.

Yaani Mtu atoke zaks Huko Uingereza au Sudani aje Aswme nimekuja Kufa Kwa Ajili yako. Si hata Ww utashangaa Utauliza kwani nimefanya Nini mpaka Uje Ufe kwa Ajili yangu
 
kama Shetani hasamehewi dhambi kwanini anaendelea kuachwa akiendelea kudanganya watu Ili Hali uwezo wa kumwangamiza asiendelee kuhadaa upo?
Huoni contradiction hapo?
 
Hata ungepewa facts 1000 za maandiko matakatifu kama hujafungua ufahamu na moyo kumwamini Yesu Kristo kuwa ni Mungu alikufa na kufufuka kwa ajili yako huwezi kuokoka wala kumwelewa Mungu.

Imani ya kikristo inaaminiwa kwanza sio kusomewa kwanza.
Yohana 5 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
³⁹ Mwayachunguza maandiko, kwa sababu mnadhani kwamba ninyi mna uzima wa milele ndani yake; na hayo ndiyo yanayonishuhudia.
⁴⁰ Wala hamtaki kuja kwangu mpate kuwa na uzima.

"You have your heads in your Bibles constantly because you think you'll find eternal life there. But you miss the forest for the trees. These Scriptures are all about me! And here I am, standing right before you, and you aren't willing to receive from me the life you say you want. (Jn.5:39-40 | MSG)

John 5:39-40
[39]You search and investigate and pore over the Scriptures diligently, because you suppose and trust that you have eternal life through them. And these [very Scriptures] testify about Me!
[40]And still you are not willing [but refuse] to come to Me, so that you might have life.

Kiini cha maandiko matakatifu ni Yesu Kristo. Yanamwelezea Yeye. Hilo ndio kusudi na lengo la maandiko matakatifu.

Lengo lako la kuchunguza maandiko matakatifu ni nini? Kuona Mungu hakuzaa? Kuona Yesu sio Mungu? Mafanikio? Ndoa? Biashara? Uchawi? Dini ya wazungu? Dini yako? Endelea kuchunguza hivyo utaishia vichakani/gizani.

Nenda kwenye maandiko matakatifu ukimtafuta/kumwamini Yesu Kristo maana yanamwelezea Yeye na si vinginevyo.

Kama Mungu mwenyewe halazimishi mtu kumwamini/kumkubali ndio mimi? Hutaki kamwamini fresh tuu hana cha kupoteza ila wewe
 
Viumbe vyote vinazaliwa tena ni kwa matokeo ya mimba ambayo hutungwa kutokana na tendo maalumu la mwanamke na mwanamume sasa hiyo theory ya kupuliziwa udongo kiumbe kitokee unaona inakuja kweli?
Kwanini isije wakati tunasema mungu anao uwezo wa kufanya chochote?
 
Jamani nyieeee Mungu hazaliwi nyie
Walokuleteeni iyo dini saivi wanaslimu kwa kasi huko
Ukitaka kujadili usiwe unampinga Muhammad , muheshimu, kati ya unabii wake kasema wazi uislamu ulianza kama kituko na utarudi kuwa kituko, ulianza kama dini ndogo na utarudi kuwa dini ndogo
“Islam began as something strange and will go back to being strange, so glad tidings to the strangers.’”Sunan Ibn Majah 3986
He also reported Muhammad saying, “Islam began as a small religion and will return to the state in which it began. Then blessed will be the few Mishkat al-Masabih 159
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…