FabNXTzqEtcgazfbjjfo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 1,486
- 1,874
- Thread starter
-
- #21
Kwa vile Yehova si Mungu Yehova ni Mtoto wa Hudi aliyezaa na Sharka mke wa Pili wa Hudi baada ya Kukimbia Kutoka India [emoji1128]. Yehova alirithi Mali za Hudi na Alipofariki alizikwa kwa Heshima Kubwa sana kilima SinaiSasa ikiwa mnaona ni vibaya kumtumikia Yehova chagueni leo yule mtakaemtumia, iwe ni miungu ambayo mababu zenu waliabudu nga°ambo ya mto. Yoshua 24:15
HULAZIMISHWI KUMWAMINI YEHOVA, CHAGUA MUNGU UTAKAE ONA ANA KUFAA.
Tafuteni Ukweli kwa Kutumia akili zenu Timamusasa itakuaje?
Stories za dini ya kikuristo ni fix hazileti mantiki kwa normal reasoning person.Kuna Mambo Yapo Ulimwenguni ukiyatafakari kwa Kina hayaingii Akilini ndugu waafrika wenzangu
Kuna Historia katika Vitabu kwamba Mungu alimtoa Mwanae Ili aje Kuikomboa Dunia katika Dhambi (ambazo zipo mpaka Leo)
Ukiangalia kwa Undani Historia hii ya kuzaliwa kwake inatia Shaka sana kabla ya Kujua Majibu ya kuzaliwa kwake inakuja Historia kwamba hana Baba. Kabla hujapata Majibu ya Baba ni nani Inakuja Kwamba ni Uwezo wa Mungu ndio akazaliwa. Yanakuwa Maswali juu ya Maswali
Kumbuka Yusufu na Mariam si kwamba Walikuwa ni Wachumba la hasha bali walikuwa tayari wapo Ndani (wameoana) wanaishi pamoja. Hakuna wachumba Wanaoishi pamoja kwa Utaratibu wa Kuishi. Ukichumbia wewe utakaa kwako na Huyo mchumba atakaa kwao. Kama Waliishi pamoja maana Yake waliweza Kushiriki Tendo la Ndoa yao na Ukifuatilia kwa Makini Yusuf alikuwa Pamoja na Mariam kila Sehemu hakuna Sehemu inayosema Alikuja Kumuoa mariam Ikiwa na Maana Kwamba Tayari alikuwa keshaoa maana yake ule uchumba ulio andikwa Tayari ukayeyuka
Binadamu huzaliwa Kwa Mwanaume na Mwanamke hili halina ubishi. Ila Kuna Kuja Utata wa Hapa Kwamba Yesu alizaliwa bila Mfumo maalumu wa Uzazi wa Baba na Mama ila Roho Mtakatifu kama Wanavyodai (kumbuka Hata Huko india Wapo Watu wenye Hadithi hizi hizi za Kuzaliwa bila Baba.)
Sasa Hapa Unajiuliza Maswali. Mungu huyo aliyeweza Kumuumba Mwanadamu wa Kwanza Bila Kutumia mifumo ya Uzazi Inakuwaje leo aje Aanze Kumuumba Binadamu mwingine anayedaiwa ni Mwanae kwa Mifumo ya Uzazi na Akaenda kwa Mariam ambaye alikuwa teyari ana Mume(kumbuka Hapa Mungu hazai na Wala Hakuzailiwa)
Sasa Anamzaa mwanae kupitia Mariam mara Yusufu atake kumkimbia Mariam maana Kuna Siri May be Yusufu aliiona akaona Hapa Nimepigwa na Baada ya Yesu kuzaliwa Yusuf Anapotea Ghafla kwenye Maandiko na Historia yake inaishia Hapo hapo
Mungu anamtoa Mwanae. Anakuja Mnamkataa, mnampiga, mnamtesa anawahubiria mnagoma Kukubali maneno yake mnamfukuza kwenye masinagogo yake, Anaenda Kusali mlimani peke yake, anakusanya wanafunzi wake. Hao wanafunzi nao mnawakataa mnawafukuza. Hivi Mungu hapo anawaogopa Nyie kisa Nini mpak Awafanyie Haya Yote Nyie Viumbe wake
Yaani Mungu mpaka Anatoa Mtoto wake Wa Pekee ili awabembeleze nyie mmrudie Yeye na Mnakataa. Sasa Hapo Mungu Anakuwa na Ule Uwezo na Kutoshindwa Kitu kweli. Kama Kawatumia Mwanae na Mmemgomea kawatumia Manabii na Mitume mmemgomea Tena na hamtaki kumrudia. Hivi Mungu anawalemba Hivyo Ili Iweje
Si kila Mtu anayezaliwa bila Baba Yake basi Baba Yake ndio Mungu. Wachawi wanazini na Binadamu kila Siku na Wachawi hao hao ndio Binadamu wenzenu. Wanawake wanabeba Mimba zingine wasizozijua zimetoka wapi
Basi Mjue Kwamba Hapo Mwenye Enzi Mungu hayupo na Mnaozeshwa Akili zenu ndugu zangu. Kaeni Chini Mtafakari kwa Akili zenu Timamu. Mungu hawezi kufanya hayo Kwa Viumbe wake. Yeye hayupo Hivyo
[emoji3507]Mungu si Mmoja
[emoji3507]Mungu si Wengi
[emoji3507]Mungu si Baba
[emoji3507]Mungu si Mama
[emoji3507]Mungu si Kiumbe
[emoji3507]Mungu hachukii Viumbe
[emoji3507]Mungu hapendi Viumbe wake ila Ana Enzi na Viumbe wake (usijione wewe Kiumbe Mtu unapendwa na Mungu Kuliko Viumbe wake wengine aliowaumba)
[emoji3507]Mungu hakuzaa wala Kuzaliwa
Yachunguzeni maandiko Yenu mtajua kwamba si Maandiko ya kiucha Mungu ila Maandiko ya Viumbe wenye Tamaa
ASANTENI
Ukitumia akili zako timamu utajua hapa Hakuna Ukweli wowoteAlimtoa sadaka mwanaye mpendwa akamuacha apigwe kichapo cha aibu mpaka kifo
Fikiria huyo ni mwanaye mpendwa na hakuna mwingine kwa Mungu mwenye kuzidi viwango vya upendo kama huyo
Na bado belivers wanaendelea kutaka tuamini kuwa anatupenda
He killed his own son so that he can forgive us... but if we don’t believe he killed his own son he is gonna kill us too
What a joke but I ain't laughin?
sasa itakuaje?
Kuna Mambo Yapo Ulimwenguni ukiyatafakari kwa Kina hayaingii Akilini ndugu waafrika wenzangu

JoseverestKwa hiyo unataka kutuambia Yesu ni mtoto wa Yusufu na hakufanyika kwa uwezo wa Roho mtakatifu?
YESU ameshakuja na hakuwalazimisha wayahudi wamuamin hata wewe hulazimishwi umuamini YESU kama mtoto wa Mungu, ukristo tofauti na dini nyingine haumlazimishi mtu aamin doctrine yakeNdugu yangu ni Sawa na Kusema Yesu angebaki kuwa huko huko alipo awaache Wayahudi waabudu watakavyo(kama Madai ya Biblia yasemavyo).
Huwezi kuona Watu wanaharibikiwa leo hii kuna Madhehebu 1000 yanapotoshwa Duniani halafu ww ukae kimya. Waambie Ukweli ndugu yangu wao watachambua Wenyewe kwa Akili zao
Imeandikwa wapi kwamba Yesu siyo Mungu?
Kwani umelazimishwa kuamin wewe kuwa mpagani ujashikiwa fimbo uaminHayo mengi hayanivurugi sana linakonivuruga ni hilo la amekufa a kwa akili ya dhambi zetu ajabu zambiii zina zidi Kila kukichaaa sio kupungua
Kuna Mambo Yapo Ulimwenguni ukiyatafakari kwa Kina hayaingii Akilini ndugu waafrika wenzangu
Kuna Historia katika Vitabu kwamba Mungu alimtoa Mwanae Ili aje Kuikomboa Dunia katika Dhambi (ambazo zipo mpaka Leo)
Ukiangalia kwa Undani Historia hii ya kuzaliwa kwake inatia Shaka sana kabla ya Kujua Majibu ya kuzaliwa kwake inakuja Historia kwamba hana Baba. Kabla hujapata Majibu ya Baba ni nani Inakuja Kwamba ni Uwezo wa Mungu ndio akazaliwa. Yanakuwa Maswali juu ya Maswali
Kumbuka Yusufu na Mariam si kwamba Walikuwa ni Wachumba la hasha bali walikuwa tayari wapo Ndani (wameoana) wanaishi pamoja. Hakuna wachumba Wanaoishi pamoja kwa Utaratibu wa Kuishi. Ukichumbia wewe utakaa kwako na Huyo mchumba atakaa kwao. Kama Waliishi pamoja maana Yake waliweza Kushiriki Tendo la Ndoa yao na Ukifuatilia kwa Makini Yusuf alikuwa Pamoja na Mariam kila Sehemu hakuna Sehemu inayosema Alikuja Kumuoa mariam Ikiwa na Maana Kwamba Tayari alikuwa keshaoa maana yake ule uchumba ulio andikwa Tayari ukayeyuka
Binadamu huzaliwa Kwa Mwanaume na Mwanamke hili halina ubishi. Ila Kuna Kuja Utata wa Hapa Kwamba Yesu alizaliwa bila Mfumo maalumu wa Uzazi wa Baba na Mama ila Roho Mtakatifu kama Wanavyodai (kumbuka Hata Huko india Wapo Watu wenye Hadithi hizi hizi za Kuzaliwa bila Baba.)
Sasa Hapa Unajiuliza Maswali. Mungu huyo aliyeweza Kumuumba Mwanadamu wa Kwanza Bila Kutumia mifumo ya Uzazi Inakuwaje leo aje Aanze Kumuumba Binadamu mwingine anayedaiwa ni Mwanae kwa Mifumo ya Uzazi na Akaenda kwa Mariam ambaye alikuwa teyari ana Mume(kumbuka Hapa Mungu hazai na Wala Hakuzailiwa)
Sasa Anamzaa mwanae kupitia Mariam mara Yusufu atake kumkimbia Mariam maana Kuna Siri May be Yusufu aliiona akaona Hapa Nimepigwa na Baada ya Yesu kuzaliwa Yusuf Anapotea Ghafla kwenye Maandiko na Historia yake inaishia Hapo hapo
Mungu anamtoa Mwanae. Anakuja Mnamkataa, mnampiga, mnamtesa anawahubiria mnagoma Kukubali maneno yake mnamfukuza kwenye masinagogo yake, Anaenda Kusali mlimani peke yake, anakusanya wanafunzi wake. Hao wanafunzi nao mnawakataa mnawafukuza. Hivi Mungu hapo anawaogopa Nyie kisa Nini mpak Awafanyie Haya Yote Nyie Viumbe wake
Yaani Mungu mpaka Anatoa Mtoto wake Wa Pekee ili awabembeleze nyie mmrudie Yeye na Mnakataa. Sasa Hapo Mungu Anakuwa na Ule Uwezo na Kutoshindwa Kitu kweli. Kama Kawatumia Mwanae na Mmemgomea kawatumia Manabii na Mitume mmemgomea Tena na hamtaki kumrudia. Hivi Mungu anawalemba Hivyo Ili Iweje
Si kila Mtu anayezaliwa bila Baba Yake basi Baba Yake ndio Mungu. Wachawi wanazini na Binadamu kila Siku na Wachawi hao hao ndio Binadamu wenzenu. Wanawake wanabeba Mimba zingine wasizozijua zimetoka wapi
Basi Mjue Kwamba Hapo Mwenye Enzi Mungu hayupo na Mnaozeshwa Akili zenu ndugu zangu. Kaeni Chini Mtafakari kwa Akili zenu Timamu. Mungu hawezi kufanya hayo Kwa Viumbe wake. Yeye hayupo Hivyo
[emoji3507]Mungu si Mmoja
[emoji3507]Mungu si Wengi
[emoji3507]Mungu si Baba
[emoji3507]Mungu si Mama
[emoji3507]Mungu si Kiumbe
[emoji3507]Mungu hachukii Viumbe
[emoji3507]Mungu hapendi Viumbe wake ila Ana Enzi na Viumbe wake (usijione wewe Kiumbe Mtu unapendwa na Mungu Kuliko Viumbe wake wengine aliowaumba)
[emoji3507]Mungu hakuzaa wala Kuzaliwa
Yachunguzeni maandiko Yenu mtajua kwamba si Maandiko ya kiucha Mungu ila Maandiko ya Viumbe wenye Tamaa
ASANTENI
Alimtoa sadaka mwanaye mpendwa akamuacha apigwe kichapo cha aibu mpaka kifo
Fikiria huyo ni mwanaye mpendwa na hakuna mwingine kwa Mungu mwenye kuzidi viwango vya upendo kama huyo
Na bado belivers wanaendelea kutaka tuamini kuwa anatupenda
He killed his own son so that he can forgive us... but if we don’t believe he killed his own son he is gonna kill us too
What a joke but I ain't laughin?
Alimtoa sadaka mwanaye mpendwa akamuacha apigwe kichapo cha aibu mpaka kifo
Fikiria huyo ni mwanaye mpendwa na hakuna mwingine kwa Mungu mwenye kuzidi viwango vya upendo kama huyo
Na bado belivers wanaendelea kutaka tuamini kuwa anatupenda
He killed his own son so that he can forgive us... but if we don’t believe he killed his own son he is gonna kill us too
What a joke but I ain't laughin?
Yesu mwenyewe alisema...Yehova ndio mungu pekee mweza yote. soma Yohana 14:28Imeandikwa wapi kwamba Yesu siyo Mungu?
Naamin haujalazimishwa uamin, ukienda china utakuta watu wengi tu hawana dini na wanaishi vizuri hata wewe unaweza fuata mkondo huo, kila binadamu ana uhuru wa kuishi atakavyo ili mradi asivunje sheria na asiwe kero kwa mwenzakeThey say this theory of God is only there to help y'all overcome the worst of weathers. For a sober mind, it's got a lotta holes in it.
Aliwaambia Bila Yeye hawawezi uona Ufalme wa Mbinguni unasemaje hakuwalazimishaYESU ameshakuja na hakuwalazimisha wayahudi wamuamin hata wewe hulazimishwi umuamini YESU kama mtoto wa Mungu, ukristo tofauti na dini nyingine haumlazimishi mtu aamin doctrine yake
YESU ameshakuja na hakuwalazimisha wayahudi wamuamin hata wewe hulazimishwi umuamini YESU kama mtoto wa Mungu, ukristo tofauti na dini nyingine haumlazimishi mtu aamin doctrine yake
Yesu sio Mungu..
Kwani umelazimishwa kuamin wewe kuwa mpagani ujashikiwa fimbo uamin