Wapi Yesu alisema yeye ni Mungu ?Imeandikwa wapi kwamba Yesu siyo Mungu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi Yesu alisema yeye ni Mungu ?Imeandikwa wapi kwamba Yesu siyo Mungu?
Hoja yako nzuri ila hapa kwa Yusufu na Mariam sijapaelewa.Kumbuka Yusufu na Mariam si kwamba
Sasa Mbona bd tuna dhambi [emoji16]
Wapi Yesu alisema yeye ni Mungu ?
Jibu swali, lete Aya inayosema Yesu si Mungu acha kuleta maelezo.Kama Yesu ni Mungu Alikuwa Anaomba nini Mlimani na Wanafunzi wake. Kama Yeye ni Mungu inatakiwa asiombe Chochote
Aliyekwambia kwamba yusufu na Mariam walikuwa wanaishi pamoja kabla ya ile mimba ni naniKuna Mambo Yapo Ulimwenguni ukiyatafakari kwa Kina hayaingii Akilini ndugu waafrika wenzangu
Kuna Historia katika Vitabu kwamba Mungu alimtoa Mwanae Ili aje Kuikomboa Dunia katika Dhambi (ambazo zipo mpaka Leo)
Ukiangalia kwa Undani Historia hii ya kuzaliwa kwake inatia Shaka sana kabla ya Kujua Majibu ya kuzaliwa kwake inakuja Historia kwamba hana Baba. Kabla hujapata Majibu ya Baba ni nani Inakuja Kwamba ni Uwezo wa Mungu ndio akazaliwa. Yanakuwa Maswali juu ya Maswali
Kumbuka Yusufu na Mariam si kwamba Walikuwa ni Wachumba la hasha bali walikuwa tayari wapo Ndani (wameoana) wanaishi pamoja. Hakuna wachumba Wanaoishi pamoja kwa Utaratibu wa Kuishi. Ukichumbia wewe utakaa kwako na Huyo mchumba atakaa kwao. Kama Waliishi pamoja maana Yake waliweza Kushiriki Tendo la Ndoa yao na Ukifuatilia kwa Makini Yusuf alikuwa Pamoja na Mariam kila Sehemu hakuna Sehemu inayosema Alikuja Kumuoa mariam Ikiwa na Maana Kwamba Tayari alikuwa keshaoa maana yake ule uchumba ulio andikwa Tayari ukayeyuka
Binadamu huzaliwa Kwa Mwanaume na Mwanamke hili halina ubishi. Ila Kuna Kuja Utata wa Hapa Kwamba Yesu alizaliwa bila Mfumo maalumu wa Uzazi wa Baba na Mama ila Roho Mtakatifu kama Wanavyodai (kumbuka Hata Huko india Wapo Watu wenye Hadithi hizi hizi za Kuzaliwa bila Baba.)
Sasa Hapa Unajiuliza Maswali. Mungu huyo aliyeweza Kumuumba Mwanadamu wa Kwanza Bila Kutumia mifumo ya Uzazi Inakuwaje leo aje Aanze Kumuumba Binadamu mwingine anayedaiwa ni Mwanae kwa Mifumo ya Uzazi na Akaenda kwa Mariam ambaye alikuwa teyari ana Mume(kumbuka Hapa Mungu hazai na Wala Hakuzailiwa)
Sasa Anamzaa mwanae kupitia Mariam mara Yusufu atake kumkimbia Mariam maana Kuna Siri May be Yusufu aliiona akaona Hapa Nimepigwa na Baada ya Yesu kuzaliwa Yusuf Anapotea Ghafla kwenye Maandiko na Historia yake inaishia Hapo hapo
Mungu anamtoa Mwanae. Anakuja Mnamkataa, mnampiga, mnamtesa anawahubiria mnagoma Kukubali maneno yake mnamfukuza kwenye masinagogo yake, Anaenda Kusali mlimani peke yake, anakusanya wanafunzi wake. Hao wanafunzi nao mnawakataa mnawafukuza. Hivi Mungu hapo anawaogopa Nyie kisa Nini mpak Awafanyie Haya Yote Nyie Viumbe wake
Yaani Mungu mpaka Anatoa Mtoto wake Wa Pekee ili awabembeleze nyie mmrudie Yeye na Mnakataa. Sasa Hapo Mungu Anakuwa na Ule Uwezo na Kutoshindwa Kitu kweli. Kama Kawatumia Mwanae na Mmemgomea kawatumia Manabii na Mitume mmemgomea Tena na hamtaki kumrudia. Hivi Mungu anawalemba Hivyo Ili Iweje
Si kila Mtu anayezaliwa bila Baba Yake basi Baba Yake ndio Mungu. Wachawi wanazini na Binadamu kila Siku na Wachawi hao hao ndio Binadamu wenzenu. Wanawake wanabeba Mimba zingine wasizozijua zimetoka wapi
Basi Mjue Kwamba Hapo Mwenye Enzi Mungu hayupo na Mnaozeshwa Akili zenu ndugu zangu. Kaeni Chini Mtafakari kwa Akili zenu Timamu. Mungu hawezi kufanya hayo Kwa Viumbe wake. Yeye hayupo Hivyo
[emoji3507]Mungu si Mmoja
[emoji3507]Mungu si Wengi
[emoji3507]Mungu si Baba
[emoji3507]Mungu si Mama
[emoji3507]Mungu si Kiumbe
[emoji3507]Mungu hachukii Viumbe
[emoji3507]Mungu hapendi Viumbe wake ila Ana Enzi na Viumbe wake (usijione wewe Kiumbe Mtu unapendwa na Mungu Kuliko Viumbe wake wengine aliowaumba)
[emoji3507]Mungu hakuzaa wala Kuzaliwa
Yachunguzeni maandiko Yenu mtajua kwamba si Maandiko ya kiucha Mungu ila Maandiko ya Viumbe wenye Tamaa
ASANTENI
Wapendwa katika Bwana mliomo humu jf, ebu mpeni vifungu/maandiko yanayosema Yesu ni Mungu huyu Tomaso.Na imeandikwa wp yeye ni Mungu[emoji3][emoji22]...
Mungu alimlilia Mungu wakati anakufa!!!?? Hatari sana
Na imeandikwa wp yeye ni Mungu[emoji3][emoji22]...
Mungu alimlilia Mungu wakati anakufa!!!?? Hatari sana
Wewe acha hizo dhambi, utakuwa huna dhambi ukifuata amri 10 za Mungu.Sasa Mbona bd tuna dhambi [emoji16]
Kitabu gani kinachosema kuna watu walikuwepo kabla ya Adam?Kusoma Biblia hakuwezi kukuokoa anayekuokoa ni Binadamu mwenzako tu. Ukizama majiini utaokolewa, ukipata ajali utaokolewa, Biblia imejaa utunzi wa Binadamu
Ni bora ukakombolewa maana anayekukomboa ni Yule anayekuambia Ukweli. Kumbuka Adam na Hawa si Binadamu wa kwanza Kama Biblia inavyosema mana Adam na Hawa waliwakuta Binadamu Duniani kitu ambacho Biblia haijakisema
So Yesu ni Mungu au mtoto wa Mungu? Kuna miungu mingapi?
Dini zinasambazwa kwa lazima, kuna mataifa ukiwa mkristo unakatwa kichwa mfano Afghanistan. Hivyo siyo ukristo tuu ulioenezwa kwa lazima.Aliwaambia Bila Yeye hawawezi uona Ufalme wa Mbinguni unasemaje hakuwalazimisha
Basi Huijui Historia vizuri ya Ukristo. Usidhani Ukristo ulisambaa Kwa Njia Unazodanganywa Leo hii. Waulize Mababu zako, Soma Historia kuna Watu waliuliwa kwa Kuupinga hasa Baada ya Mifumo ya Upapa Kuanza na Ukoloni afrika.
Sasa Kutajwa tajwa sana ndio kunathibitisha kwamba Nj ukweli. Kwani mbona Waovu wanatajwa tajwa sana Ndugu yangu. Mbona Shetani anatajwa tajwa sanaKuna kundi la watu ambao hawajui lakini wanajifanya wanajua. Wewe upo kwenye Hilo kundi. Unaishambulia Biblia na kusema Ni uongo. Jiulize ni kwanini Yesu au Issa anatajwa Sana kwenye Quran?.
Acha kutumia muda mwingi kuandika visivyoeleweka.maana hadi hapa nimegundua wewe ndiye ambaye hutaki kuelewa kilichomaanishwa kwenye biblia.badala yake inaunga unga nadharia zako ambazo hazina mantiki.Ukitumia akili zako timamu utajua hapa Hakuna Ukweli wowote
Maana hao hao waliotunga hayo maandiko wanakuja Kusema Huyo waliomsulubu alikuwa ni Mungu. Ila Ukiwauliza Kwahiyo Binadamu walimuua Mungu hawana Jibu. Na Ukiwauliza Kwahiyo Dunia ilimuua Mungu na Ikawa haina Mungu kwa Siku 3 mfululizo hawana Jibu
Wewe Baki hivyo hivyo ndo unaona uko sahihi hao wengine achana nao.Nipe jibu niamini
Yehova siyi Mungu. Yehova alikuwa mtoto wa Hudi. Hudi alizaa na na Sharka ambaye alikuwa mke wake wa pili baada ya Jemi kupata shida kidogo kwenye uzao wakeYesu mwenyewe alisema...Yehova ndio mungu pekee mweza yote. soma Yohana 14:28
Ni kama ile wewe mwanaume unavmiaka karibia 50 unambaka mtoto wa miaka sita halafu kwa aibu eti unapotezea kwa kumuoa akiwa na miaka 9 na bado unaona sawa tu na mabilion ya waja wanakutuza hadi wanachinjana na kujitoa mhanga. Halafuu unajiona mjanjaaaa eti Mungu kakutuma. Kweli huyo ni Mungu gani wa ajabu anaweza kukutuma.Kuna Mambo Yapo Ulimwenguni ukiyatafakari kwa Kina hayaingii Akilini ndugu waafrika wenzangu
Kuna Historia katika Vitabu kwamba Mungu alimtoa Mwanae Ili aje Kuikomboa Dunia katika Dhambi (ambazo zipo mpaka Leo)
Ukiangalia kwa Undani Historia hii ya kuzaliwa kwake inatia Shaka sana kabla ya Kujua Majibu ya kuzaliwa kwake inakuja Historia kwamba hana Baba. Kabla hujapata Majibu ya Baba ni nani Inakuja Kwamba ni Uwezo wa Mungu ndio akazaliwa. Yanakuwa Maswali juu ya Maswali
Kumbuka Yusufu na Mariam si kwamba Walikuwa ni Wachumba la hasha bali walikuwa tayari wapo Ndani (wameoana) wanaishi pamoja. Hakuna wachumba Wanaoishi pamoja kwa Utaratibu wa Kuishi. Ukichumbia wewe utakaa kwako na Huyo mchumba atakaa kwao. Kama Waliishi pamoja maana Yake waliweza Kushiriki Tendo la Ndoa yao na Ukifuatilia kwa Makini Yusuf alikuwa Pamoja na Mariam kila Sehemu hakuna Sehemu inayosema Alikuja Kumuoa mariam Ikiwa na Maana Kwamba Tayari alikuwa keshaoa maana yake ule uchumba ulio andikwa Tayari ukayeyuka
Binadamu huzaliwa Kwa Mwanaume na Mwanamke hili halina ubishi. Ila Kuna Kuja Utata wa Hapa Kwamba Yesu alizaliwa bila Mfumo maalumu wa Uzazi wa Baba na Mama ila Roho Mtakatifu kama Wanavyodai (kumbuka Hata Huko india Wapo Watu wenye Hadithi hizi hizi za Kuzaliwa bila Baba)
Sasa Hapa Unajiuliza Maswali. Mungu huyo aliyeweza Kumuumba Mwanadamu wa Kwanza Bila Kutumia mifumo ya Uzazi Inakuwaje leo aje Aanze Kumuumba Binadamu mwingine anayedaiwa ni Mwanae kwa Mifumo ya Uzazi na Akaenda kwa Mariam ambaye alikuwa teyari ana Mume(kumbuka Hapa Mungu hazai na Wala Hakuzailiwa)
Sasa Anamzaa mwanae kupitia Mariam mara Yusufu atake kumkimbia Mariam maana Kuna Siri May be Yusufu aliiona akaona Hapa Nimepigwa na Baada ya Yesu kuzaliwa Yusuf Anapotea Ghafla kwenye Maandiko na Historia yake inaishia Hapo hapo
Mungu anamtoa Mwanae. Anakuja Mnamkataa, mnampiga, mnamtesa anawahubiria mnagoma Kukubali maneno yake mnamfukuza kwenye masinagogo yake, Anaenda Kusali mlimani peke yake, anakusanya wanafunzi wake. Hao wanafunzi nao mnawakataa mnawafukuza. Hivi Mungu hapo anawaogopa Nyie kisa Nini mpak Awafanyie Haya Yote Nyie Viumbe wake
Yaani Mungu mpaka Anatoa Mtoto wake Wa Pekee ili awabembeleze nyie mmrudie Yeye na Mnakataa. Sasa Hapo Mungu Anakuwa na Ule Uwezo na Kutoshindwa Kitu kweli. Kama Kawatumia Mwanae na Mmemgomea kawatumia Manabii na Mitume mmemgomea Tena na hamtaki kumrudia. Hivi Mungu anawalemba Hivyo Ili Iweje
Si kila Mtu anayezaliwa bila Baba Yake basi Baba Yake ndio Mungu. Wachawi wanazini na Binadamu kila Siku na Wachawi hao hao ndio Binadamu wenzenu. Wanawake wanabeba Mimba zingine wasizozijua zimetoka wapi
Basi Mjue Kwamba Hapo Mwenye Enzi Mungu hayupo na Mnaozeshwa Akili zenu ndugu zangu. Kaeni Chini Mtafakari kwa Akili zenu Timamu. Mungu hawezi kufanya hayo Kwa Viumbe wake. Yeye hayupo Hivyo
[emoji3507]Mungu si Mmoja
[emoji3507]Mungu si Wengi
[emoji3507]Mungu si Baba
[emoji3507]Mungu si Mama
[emoji3507]Mungu si Kiumbe
[emoji3507]Mungu hachukii Viumbe
[emoji3507]Mungu hapendi Viumbe wake ila Ana Enzi na Viumbe wake (usijione wewe Kiumbe Mtu unapendwa na Mungu Kuliko Viumbe wake wengine aliowaumba)
[emoji3507]Mungu hakuzaa wala Kuzaliwa
Yachunguzeni maandiko Yenu mtajua kwamba si Maandiko ya kiucha Mungu ila Maandiko ya Viumbe wenye Tamaa
ASANTENI
Yehova si Mungu. Huyo alikuwa mtoto wa Hudi sasa Unaposema Ni Mungu huyo ni Binadamu mwenzako aliyeheshimika sana kipindi hicho
Naamin haujalazimishwa uamin, ukienda china utakuta watu wengi tu hawana dini na wanaishi vizuri hata wewe unaweza fuata mkondo huo, kila binadamu ana uhuru wa kuishi atakavyo ili mradi asivunje sheria na asiwe kero kwa mwenzake