Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Unachanganywa na watu unaowasikiliza sio Biblia. kuhusu swali lako soma yohana 14:28 utaelewaHuyo mwanae tena si ndio Mungu mwenyewe au hata Sielewi biblia inanichanganya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unachanganywa na watu unaowasikiliza sio Biblia. kuhusu swali lako soma yohana 14:28 utaelewaHuyo mwanae tena si ndio Mungu mwenyewe au hata Sielewi biblia inanichanganya
Na Utavurugika Zaidi.Hayo mengi hayanivurugi sana linakonivuruga ni hilo la amekufa a kwa akili ya dhambi zetu ajabu zambiii zina zidi Kila kukichaaa sio kupungua
Sasa tuko pamoja, Mungu yupo nawe umekiri ndo anayejua kila kitu Sasa kwanini unahoji mambo yake kwamba hayupo au Yesu hajatumwa na Mungu!Kuna Kujua na Kufahamu. Anayejua kila kitu Ni Mungu Peke yake.
Basi Huijui Historia vizuri ya Ukristo. Usidhani Ukristo ulisambaa Kwa Njia Unazodanganywa Leo hii. Waulize Mababu zako, Soma Historia kuna Watu waliuliwa kwa Kuupinga hasa Baada ya Mifumo ya Upapa Kuanza na Ukoloni afrika.
🤣🤣🤣🤣Alimtoa sadaka mwanaye mpendwa akamuacha apigwe kichapo cha aibu mpaka kifo
Fikiria huyo ni mwanaye mpendwa na hakuna mwingine kwa Mungu mwenye kuzidi viwango vya upendo kama huyo
Na bado belivers wanaendelea kutaka tuamini kuwa anatupenda
He killed his own son so that he can forgive us... but if we don’t believe he killed his own son he is gonna kill us too
What a joke but I ain't laughin?
Soma comment namba 35 nimejibu swali lako vizuri kabisa.Wewe Ni dhehebu gani mpaka useme Yesu sio Mungu?. Msingi wa Ukristo Ni utatu Mtakatifu. Mungu Baba, Mungu Mwana na Roho Mtakatifu. Kama huamini hilo wewe utakuwa sio mkristo Bali dini nyingine au cult.
Kuna Mambo Yapo Ulimwenguni ukiyatafakari kwa Kina hayaingii Akilini ndugu waafrika wenzangu
Kuna Historia katika Vitabu kwamba Mungu alimtoa Mwanae Ili aje Kuikomboa Dunia katika Dhambi (ambazo zipo mpaka Leo)
Sasa Kwanini unahubiri kwamba Bila Yeye hakuna Mtu atauona Ufalme wa Mungu. Huko si Kulazimisha watu.Kwani umelazimishwa kuamin wewe kuwa mpagani ujashikiwa fimbo uamin
So Yesu ni Mungu au mtoto wa Mungu? Kuna miungu mingapi?
Hueleweki unataka nini.Kwa vile Yehova si Mungu Yehova ni Mtoto wa Hudi aliyezaa na Sharka mke wa Pili wa Hudi baada ya Kukimbia Kutoka India [emoji1128]. Yehova alirithi Mali za Hudi na Alipofariki alizikwa kwa Heshima Kubwa sana kilima Sinai
Sasa Kwanini unahubiri kwamba Bila Yeye hakuna Mtu atauona Ufalme wa Mungu. Huko si Kulazimisha watu.
Kwanza Kumbuka Neno Ufalme ni mamlaka za Viumbe. Mungu hana ufalme
1.Wenye tamaa y kwenda kula vinono wakifika huko mbinguniKuna Mambo Yapo Ulimwenguni ukiyatafakari kwa Kina hayaingii Akilini ndugu waafrika wenzangu
Alimtoa sadaka mwanaye mpendwa akamuacha apigwe kichapo cha aibu mpaka kifo
Fikiria huyo ni mwanaye mpendwa na hakuna mwingine kwa Mungu mwenye kuzidi viwango vya upendo kama huyo
Na bado belivers wanaendelea kutaka tuamini kuwa anatupenda
He killed his own son so that he can forgive us... but if we don’t believe he killed his own son he is gonna kill us too
What a joke but I ain't laughin?
Yehova si Mungu. Huyo alikuwa mtoto wa Hudi sasa Unaposema Ni Mungu huyo ni Binadamu mwenzako aliyeheshimika sana kipindi hichoHueleweki unataka nini.
Na Utavurugika Zaidi.
[emoji3507]Dhambi hazijaisha na Zipo hata kwa wale wanaosema Wamempokea
[emoji3507]Wanasema Yupo ndani yao na Wao wapo ndani yake. Ila Unashangaa inakuwaje Mungu yupo ndani yangu ila inafikia Hatua naenda Kutembea na Malaya. Naua mtu nasema Uongo hivi akiwa ndani yangu atawezake Ruhusu mimi kufanya hayo
Tumeharibikiwa Ndugu yangu sana na Hasa Hawa Wanaomeza Tu chochote kinacho kuja Mbele yao bila Kutafakari
Kusoma Biblia hakuwezi kukuokoa anayekuokoa ni Binadamu mwenzako tu. Ukizama majiini utaokolewa, ukipata ajali utaokolewa, Biblia imejaa utunzi wa Binadamu
Ni bora ukakombolewa maana anayekukomboa ni Yule anayekuambia Ukweli. Kumbuka Adam na Hawa si Binadamu wa kwanza Kama Biblia inavyosema mana Adam na Hawa waliwakuta Binadamu Duniani kitu ambacho Biblia haijakisema
Kalagabaho!Kuna Mambo Yapo Ulimwenguni ukiyatafakari kwa Kina hayaingii Akilini ndugu waafrika wenzangu
Kuna Historia katika Vitabu kwamba Mungu alimtoa Mwanae Ili aje Kuikomboa Dunia katika Dhambi (ambazo zipo mpaka Leo)
Ukiangalia kwa Undani Historia hii ya kuzaliwa kwake inatia Shaka sana kabla ya Kujua Majibu ya kuzaliwa kwake inakuja Historia kwamba hana
Kwa vile Yehova si Mungu Yehova ni Mtoto wa Hudi aliyezaa na Sharka mke wa Pili wa Hudi baada ya Kukimbia Kutoka India [emoji1128]. Yehova alirithi Mali za Hudi na Alipofariki alizikwa kwa Heshima Kubwa sana kilima Sinai