Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?


Hapo unaposema kwenye andiko Mungu alisema TUMFANYE mtu Ni Mungu Yesu au Mungu yupi hapo anaongea? Na kusema kumfanya mtu kwa mfano wetu si sisi wote wanadamu au so sisi wote ni mfano wa Mungu ?! Mungu Yesu au Mungu yupi
 

Ooh kuna Mungu na Kuna Yesu so ni vitu viwili tofauti
 
Unaweza Kuniambja Utofauti Uliopo kati ya Uchawi na Ushirikiana! Na Mizimu ni nini
Mizumu nishakuelezea,. Tofauti ya uchawi na ushirikina ni kwamba, uchawi ni neno la kibantu na ushirikina limetoholewa kutoka neno la kiarabu shirk, kwahiyo hakuna tofauti ya ushirikina na uchawi, maneno yote yana maana moja, tofauti ni asili ya neno tu kwamaana ya lugha
 
Hayo maandiko uliyoleta ni ya kipuuzi kama wewe ulivyo. Ukiwa na nia ya kuuongelea Uislam, weka Qur'an, achana huo ujinga wako.
Mutah girl koran bila Hadith na tafsir haieleweki inaacha maswali yasiyo na majibu

Mfano Aya hii
Koran 66:4. Kama nyinyi wawili hamkutubia kwa Mwenyezi Mungu, basi nyoyo zenu zimekwisha elekea huko. Na mkisaidiana dhidi yake muhammad, basi hakika Allah ndiye kipenzi chake, na Jibrili, na Waumini wema, na zaidi ya hayo Malaika pia watasaidia.

Utajiuliza maswali
1. hao wawili ni kina nani? ,
2. Wamefanya dhambi gani mpaka waambiwe watubu? ,
3. Wakisaidiana dhidi ya Muhammad kwani Muhammad kafanya nini? ,
4. Kwa nini Allah asaidiane na Malaika wote , jibril na waumini wote kupambana na hao wawili?
5. Awa wawili wana nguvu gani mpaka Allah asaidiwe

Jibu unalipata Kwenye Hadith
1. Wawili ni Aisha na hafsa
2. Walikuwa wanamkataza Muhammad kubaka House girl
3. Muhammad alikuwa ana mbala house girl anaitwa maria
4. Allah hana nguvu
5. Walikuwa wanammandi Muhammad mpaka Allah akaingilia kati kumruhusu kutembea na house girl

Hadith inamajibu
Muhammad had a female slave with whom he had intercourse, but 'Aishah and Hafsah would not leave him alone until he said that she was forbidden for him. Then Allah, the Mighty and Sublime, revealed:
"O Prophet! Why do you forbid (for yourself) that which Allah has allowed to you.' until the end of the Verse. Sunan an-Nasa'i 3959
 
Mungu ni Baba, mwana pia anaitwa Mungu kwa sababu karithi hilo jina kutoka kwa Baba yake.
Ni sawa na mwanao kuitwa kwa jina la babake vivyo hivyo ndio ilivyo kwa Yesu na Baba yake.
Baba akiitwa mwanasheria mtoto pia ataitwa mwanasheria?
Au tuseme baba akiwa hakimu mtoto pia ataitwa hakimu?
Au tuseme baba akiitwa rais mtoto pia ataitwa rais?
[emoji2377][emoji2377][emoji2377]
Kwanini hamtaki kukubali kuwa baba na mtoto hawako sawa??
 
Sema wakristo wengi hatusomi biblia kikamilifu, matokeo ni kupwaya pale zinapoibuka hoja kinzani kama hizi, unakuta swali moja linaleta majibu 40, na hayajitoshelezi. Tusomeni Biblia na kuielewa vyema wakuu.
Mkuu me nasoma biblia ila sipotezi mda wangu kusoma story sijui za waisrael, sijui wakina ESTA , au story za makabila ya waisrael ,cjui washeba, mara sijui wanan , Mimi huwa napenda mistari inayoniongezea busara na maarifa kama hekima ,enjili nk
 
Ndugu yangu Mungu Hakosei bali sifa ya Mungu ni Upendo na hua anatimiza kila neno lake kwa ukamilifu wote sio kana kwamba anashindwa kuufanya ulimwengu huu au kuua na kufanya apendalo bali yeye ni wahuruma na neema nyingi anawapenda kiumbe alichokiumba ndio maana hata tunapoasi bado kunamaali anatulinda kwa upendo wake ilimradi neno lake litimie kuwa mtenda maasi Mwisho wake ni motoni katu hakuchukui tu unapofanya dhambi baali yeye ni mvumilivu kwa kua kampa kila mmoja uhuru husubiri pale unapokosea kumrudia ndio maana hata Mvua yake hunyesha kwa wote na sio wanao mcha tu yeye hamchukii binadamu bali anachukia matendo yako yasio mpendeza
YESU NI MUNGU
 

Ndio maana ndugu Nikakuambia Hili Swali Ungetakiwa Kuuliza Kabla Hujampokea Kristo au Mitume wa Kwenye Biblia maana Adam aliongea na Mungu kulingana na Maandiko ila Wewe Huongei naye sasa Hivi. Umebaki Kusimuliwa tu ila Hujawahi kuongea na Mungu. Ndio hiki ninachokuambia Mimi hapa Chini

Fumbakasa alipata Maelekezo ya Kuishi Na yeye akawapa Watoto wake Na siyo kwamba Muujiza Huo Unakuja Kukupa Wewe Tena maelekezo wakati Tayari ulishampa Binadamu wa Kwanza.

Lete maandiko yenye kusema ukitaka kuomba lazima utoe sadaka au kuchinja.

Nimekupa Maandiko ya kwenye kitabu chako mwenyewe hapo Juu ya Muongozo wa Kusali na Kuomba na Unatakiwa Kutoa Nini Ili Ubarikiwe au Usamehewe (ukitaka kuomba Baraka kwa Mungu unatakiwa Kutoa sadaka.. Ukitaka Kusamehewa unatakiwaa Kuchinja Wanyama)

Kasome Hesabu 29:16, 19, 22 na Walawi 14:13 na 2 wafalme 16:15
 

1. Ulifanya kosa Gani Ambalo lilifanya Mungu Kumtoa Sadaka Mwanae



yeye hamchukii binadamu bali anachukia matendo yako yasio mpendeza
YESU NI MUNGU

2. Kama Yesu ni Mungu kwanini Alipokuwa anapatwa na Matatizo alikimbilia Kuomba Tena Kwa Mungu na Mababu zake

3. Kuchukia Na Kufurahi ni Sifa Za Kiumbe aliyeumbwa na Mungu. (malaika, majini, Binadamu) hawa ndio wanasifa hizo

4. Kama Mungu aliwachoma Moto na Kuleta Gharika Wewe Umemfanya Nini Mpka amtoe Mwanae?
 
Daaah ona sasa,eti miungu ya babu zenu,wazee wetu wa kwanza ndo waliabudu Mungu wa kweli,ndo maana kila walichoomba walifanikiwa,
Soma uelewe kwanza.. umeambiwa kama unaona Miungu ya babu zenu inafaa nendeni mkaiabudu. HAUJALAZIMISHWA KUIAMINI BIBLIA.
 
Kwanini turudi kwenye dini za wazee wetu na si kwamba na sisi tuanzishe dini zetu mpya zenye kuendana na wakati wetu?
Utaanzishaje Dini Yako au Imani yako Ndugu wakati hujui Mwanzo kulikuwaje. Hata Watu wakikuuliza Umetokea Wapi utawajibuje Wakati Dini yako Umeianzisha 2022.
 
UKIPENDA KIDOGO UTAJALI KIDOGO.
UKIPENDA SANA UTAJALI SANA!
Unamaanisha nini Ndugu. Tuongee Lugha ambayo Kila Mmoja Wetu mimi na Wewe Tunaweza Kujadili Jambo. Ukiweka Fumbo Au Msamiati Unakuwa na Lengo la kutokueleweka kwa Mwingine
 
Kwanini sasa tushindwe kuunda dira yetu na muelekeo wetu kwa mazingira yetu tuliyo nayo?
Ndugu Dira Ilikuwepo Ila Kutokana Na Kuja Kwa Wakoloni wakaita Ni Ushenzi na Uchawi. Sasa hivi Watu wanakesha Waangalia Kwaya na Kwenda Kusali Ijumaa. Jumamosi na Jumapili huo Muda wa Kusema Au Kutafuta Ukweli wa Ki Utu na Dira ya Kiafrika wataupta Wapi

Tena Akifika Huko wanaanza Kukemea Mizimu ya Mababu zao. Unategema Watakuwa Salama Hao zaidi ya Kuharibikiwa
 

Sawa Ulisema Kuzimu ni Sehemu Ya Wafu kusubiri Hukumu. Je unaweza Kunijibia haya Maswali ndugu yangu

1. Yesu alipopanda Mlimani Kusali. Alitokewa na Musa Na Elia. Je musa na Elia walikuwa ni Mizimu au ni Nini. Na Kwanini alienda kuzungumza Nao

2. Kama Umesema Uchawi na Ushirikina Hakuna Tofauti. Ushirikina Ni Kushirikiana je Yesu Au Mungu Kushirikiana na Malaika na Mitume na Manabi huo Tunauita Ni Nini?
 
Mungu ni Baba, mwana pia anaitwa Mungu kwa sababu karithi hilo jina kutoka kwa Baba yake.
Ni sawa na mwanao kuitwa kwa jina la babake vivyo hivyo ndio ilivyo kwa Yesu na Baba yake.
Hizo porojo zako binafsi, weka ushahidi wa maandiko, kama huna ni heri ukae kimya tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…