Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

Hakuna swali la maana hapo. Unajidanganya tu, mara useme jibu nalijua, mara ulete uhao wako, hauna jipya. You are too shallow.

Wewe unamuani Allah au Mtume Muhammad salla Allahu alayhi Wasalaam?
 
Nimeshamaliza kazi , Koran ni wazi bila Hadith au tafsir ni mashahiri yasio na majibu ya maswali na Koran yenyewe Haina maelezo wala majibu ya maswali mpaka urejee Hadith au tafsir au maoni ya scholar
 
Kazi kwako.

Walijaribu wenye akili wameshindwa itakuwa wewe poyoyo? Wewe kajitafsirie na kajidanganye upendavyo.

Unamuani Allah?
 
Wewe umesema wewe ni Koran only
Nimekupa maswali utumie Koran kujibu umeshindwa , next time usirudie kudanganya watu ukweli ni kwamba Koran bila Hadith na tafsir hakuna kitu utaelewa ,utabaki kukariri kama kasuku
 
Kuamini Kunakuja Pale Kama Kuna Ukweli zaidi kuliko Mwingine ndipo mtu anaamini
Imani ya kweli inakuwa na uwiano bayana na jambo unaloliamini.
Je sisi tuna uwiano wa saizi ya maumbile na huyo Fumbakasa na mkewe Mwasi? Kama hamna uwiano, basi imani hiyo ni batili.
 
Wewe umesema wewe ni Koran only
Nimekupa maswali utumie Koran kujibu umeshindwa , next time usirudie kudanganya watu ukweli ni kwamba Koran bila Hadith na tafsir hakuna kitu utaelewa ,utabaki kukariri kama kasuku
Sijawahi kutamka wala kuandika "koran". Usitie upuuzi wako kinywani mwangu.

Ficha upumbavu wako. Unataka kujadili na mimi kitu ambacho hakieleweki? "koran" ndio mdudu gani?
 
Nafahamu ukishindwa mada unaamia kwenye grammar ila leo nimekuwekea panapo husika , Koran ni neno sahihi kabisa wala halina pingamizi
 
Sijawahi kutamka wala kuandika "koran". Usitie upuuzi wako kinywani mwangu.

Ficha upumbavu wako. Unataka kujadili na mimi kitu ambacho hakieleweki? "koran" ndio mdudu gani?
Huu ndio utamu wa uelewa wa jambo

The Quran, also romanized Qur'an or Koran, is the central religious text of Islam,
 
You keep your "koran".

Ask me anything you want to know about Qur'an. But first, answer me, do you believe in Allah?
 
Allah ipo wazi ni demonic power ambayo ilimkaba Muhammad pale pangoni na kuanza kumwambia asome lakini mpaka anakufa hakujua kusoma, it's either Lucifer himself or powerful demon

Ndio maana demons au majini wakaweka surah Yao nzima kwenye Koran
 
Allah ipo wazi ni demonic power ambayo ilimkaba Muhammad pale pangoni na kuanza kumwambia asome lakini mpaka anakufa hakujua kusoma, it's either Lucifer himself or powerful demon

Ndio maana majini wakaweka surah Yao nzima kwenye Koran
Do You believe in Muhammad?
 
Ndiyo tunaambiwa kain akaoa[emoji2] hivi alimuoa ndugu yake au?
 
Kama alishakuja kuokoa wanaadamu sasa haya mateso yanatoka wapi? Na hizi dhambi zinazoendelea je?
Kwasabu yesu alituokoa bila kumuua shetan! Kwahiyo tunayeshatani! Ujue kuwa yesu alikuja kuwaokoa wanadam kwakua walikua hawamjui mungu kabisa yaan empty head kuhusu mungu baada ya kutufia msalaban na shetan bado yupo sasa binadam tunatenda thambi huku tukijijua kabisa hii nu dhambi! Lakini kama ukiamua kutotenda dhambi wewe siyo mdhambi
 
Kazi kwako.

Walijaribu wenye akili wameshindwa itakuwa wewe poyoyo? Wewe kajitafsirie na kajidanganye upendavyo.

Unamuani Allah?

Bibie Faiza umezidiwa hoja.
Ushauri
Mkiri Yesu, ubatizwe, upate uzima wa milele katika yeye.
BILA YESU MBINGUNI HUTOBOI
 
Yohana : 1 : 1 - Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
Hapa ndipo ujinga wetu waafrika unajitokeza neno na yesu au Mungu ni vitu tofauti kabisa.

Hivi uliwahi kujiuliza kwanini biblia iliwekwa kimafumbo????

Kitabu cha kuwaongoza watu ni vyema kiwekwe wazi

neno=Mungu wapi imesema yesu ni Mungu kwahiyo na waislam nao mohamad ni Mungu?

Acheni Uafrika uliopitiliza!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…