FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Hakuna swali la maana hapo. Unajidanganya tu, mara useme jibu nalijua, mara ulete uhao wako, hauna jipya. You are too shallow.Sasa jibu maswali
Koran 66:1. Ewe Nabii! Kwa nini unaharimisha alicho kuhalilishia Mwenyezi Mungu? Unatafuta kuwaridhi wake zako. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.
1. Muhammad alifanya dhambi ya kuharamisha kitu ambacho ni halali kwa nini?
2. Ni kitu gani Muhammad aliharamisha?
3. ALItaka kuwaridhia wake zake ,je ni wote 13 au ni baadhi?
4. Nani anaongea kwenye hii Aya Muhammad au Allah? Kama ni Allah kwa Nini anamtaja mwenyezi Mungu badala aseme nilikuhalalishia Mimi
Wewe unamuani Allah au Mtume Muhammad salla Allahu alayhi Wasalaam?