Kwa ajili ya kuwaridhisha wake zake, mbona aya imeonyesha na sababu ? Unapoteza muda wa nini ?1. Muhammad alifanya dhambi ya kuharamisha kitu ambacho ni halali kwa nini?
Alijijaramishia yeye mwenyewe nafsi yake asali. Si kwa wote.2. Ni kitu gani Muhammad aliharamisha?
Hii idadi ya wake 13 umeipata wapi ? Naomba ututhibitishie ya kuwa Mtume alikuwa na wake 13 kwa wakati mmoja.3. ALItaka kuwaridhia wake zake ,je ni wote 13 au ni baadhi?
Anawasilisha Mtume maneno ya Allah kama yalivyo.4. Nani anaongea kwenye hii Aya Muhammad
Mtume alikuwa anashushiwa aya kama ilivyo, bila kubadilisha herufi yoyote ndiyo maana Qur'aan ni maneno ya Allah.Kama ni Allah kwa Nini anamtaja mwenyezi Mungu badala aseme nilikuhalalishia Mimi
Kisha rejea katika aya ya kabla yake na baada yake.
Usiwe unauliza maswali ya kitoto.