Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

Koran nzima Haina ushahidi wowote kwamba ni Allah anaongea
Nimecheka sana, soma habari ya Allah na Musa katika Qur'aan, siyo tu anaongea Allah anacheka kabisa.

Kwahiyo hapo unaelewejae hiyo aya ?
Kisha wewe utuambie Mtume aliharamisha nini.
Hili unataka nikwambie mara ngapi ? Soma sababu ya kushuka kwa hiyo katika Tafsiri ya Imam Ibn Kathir utakuta kila kitu kisha uje kujenga hoja hapa.
Muhammad anakiri kabisa hajawahi kuongea na Allah
Kutokuongea na Allah yeye haimaanishi Allah haongei, kijana mbona unafikiri kitoto sasa ? Katika viumbe walio ongeleshwa na Allah moja kwa moja ni watatu kama sijakosea akiwepo nabii Musa.
Anasema kaongea na jibril ambae hakuna binadamu alimuona Yani ushahidi ni Muhammad mwenyewe hakuna mtu kaona wala kusikia
Sasa yale maneno Jibril alikuwa anayatoa wapi ? Kwani ushahidi wa mtu mmoja una kubalika au haukubaliki ? Mbona maneno ya uongo anayozushiwa nabii Issa kwamba ni mwana wa Mungu aliyasema yeye peke yake na mna yaamini japokuwa ya uongo, sasa jalia haya ya Mtume ni ya kweli na unayakataa, kijana una matatizo ya akili bila shaka.
Kuna mda Muhammad alikuwa na li shoga akasema ni jibril watu wakawa hawaelewi wakimuona shoga wanazani ni jibril Muhammad akamwambia ni jibril kavaa mwili wa shoga
Anaitwa nani huyo shoga ? Na haya tunayapata wapi ? Ukiishiwa hoja bora ukae kiliko kuandika uongo.
Muhammad hakuna muujiza ata mmoja kafanya watu
Nimecheka sana. Itabidi tuanze kuhakiki maandiko yetu na yenu, tuone kina nani waongo.

Mtume amekuja na miujiza mingi sana, kwanza hii Qur'aan tu ni muujiza wa kwanza. Mtume aliomba kwa Mola wake Mwezi ukapasuka vipande viwili, mtume alitoa maziwa kupitia vidole vyake viwili na watu wakanywa na wakasaza.
Wanao Muamini Muhammad wanamuamini blindly bila ushahidi
Juzi nilikuwa nasoma habari fulani kubusu Injili zenu nne, sasa unajiuliza inakuwaje mnaamini habari ambazo hao walio waandikia habari za Yesu hawakuwahi kumuona Yesu ?

Mimi nakupa kazi moja naomba unipe chain ya uandikwaji wa Injili ya Luka, Yohana, Matayo na Marko mpaka ifike kwa Yesu. Kisha uniambie kwa lipi mnaziamini hizi habari ? Wakati ukisoma kwa undani unaona ya kuwa Luka alijaribu kunakili toka kwa Matayo ndiyo maana Injili zetu zinamkanganyiko sana.
 
Soma sababu ya kushuka kwa hiyo aya. Kisha utajua jambo lilikuwaje mpaka ikashuka hiyo aya.

Kisha wewe utuambie Mtume aliharamisha nini.

Maelezo ya kushuka kwa hiyo na aliharamisha nini huuakuti kwenye Qur'aan unayakuta kwenye Hadithi za Mtume. Mtume alipewa Wahayo mbili, alipewa Qur'aan na Hadithi. Na vyote viwili hivyo Allah amevihifadhi.

Kingine ukisoma aya iko wazi Mtume hajatumia Qur'aan kuharamisha chichote na hili huwezi kulionyesha bali aya imeshuka kumkataza Mtume kwa kile alichojiharamishia yenyewe kutokana na aliyofanyiwa na wake zake.

Kwahiyo kusema Mtume aliharamisha jambo kupitia Qur'aan huo ni wendawazimu na inaonekana huijui Qur'aan na uelewa wako ni mdogo.
Nimemaliza kazi yangu , nilikuwa nataka kuthibitisha Koran ni kitabu ambacho akijakamilika na hakina majibu , lazima ukasome vitabu vingine ili upate maana ya verse
Hili limeisha na umwambie ndugu Yako Faiza ukweli huu

Muhammad hakujua anaharamisha kitu halali inamaana hakuwa na allah kama kiongozi wake , hili tumemaliza na wewe umethibitisha
 
Nimecheka sana, soma habari ya Allah na Musa katika Qur'aan, siyo tu anaongea Allah anacheka kabisa.

Kwahiyo hapo unaelewejae hiyo aya ?

Hili unataka nikwambie mara ngapi ? Soma sababu ya kushuka kwa hiyo katika Tafsiri ya Imam Ibn Kathir utakuta kila kitu kisha uje kujenga hoja hapa.

Kutokuongea na Allah yeye haimaanishi Allah haongei, kijana mbona unafikiri kitoto sasa ? Katika viumbe walio ongeleshwa na Allah moja kwa moja ni watatu kama sijakosea akiwepo nabii Musa.

Sasa yale maneno Jibril alikuwa anayatoa wapi ? Kwani ushahidi wa mtu mmoja una kubalika au haukubaliki ? Mbona maneno ya uongo anayozushiwa nabii Issa kwamba ni mwana wa Mungu aliyasema yeye peke yake na mna yaamini japokuwa ya uongo, sasa jalia haya ya Mtume ni ya kweli na unayakataa, kijana una matatizo ya akili bila shaka.

Anaitwa nani huyo shoga ? Na haya tunayapata wapi ? Ukiishiwa hoja bora ukae kiliko kuandika uongo.

Nimecheka sana. Itabidi tuanze kuhakiki maandiko yetu na yenu, tuone kina nani waongo.

Mtume amekuja na miujiza mingi sana, kwanza hii Qur'aan tu ni muujiza wa kwanza. Mtume aliomba kwa Mola wake Mwezi ukapasuka vipande viwili, mtume alitoa maziwa kupitia vidole vyake viwili na watu wakanywa na wakasaza.

Juzi nilikuwa nasoma habari fulani kubusu Injili zenu nne, sasa unajiuliza inakuwaje mnaamini habari ambazo hao walio waandikia habari za Yesu hawakuwahi kumuona Yesu ?

Mimi nakupa kazi moja naomba unipe chain ya uandikwaji wa Injili ya Luka, Yohana, Matayo na Marko mpaka ifike kwa Yesu. Kisha uniambie kwa lipi mnaziamini hizi habari ? Wakati ukisoma kwa undani unaona ya kuwa Luka alijaribu kunakili toka kwa Matayo ndiyo maana Injili zetu zinamkanganyiko sana.
Muhammad alikuwa anatoa story tu na hakuna muujiza kafanya watu wakaona mpaka wake zake wanakiri safari ya mbinguni aliyo dai walikuwa wanamuona kalala kitanda tu , labda ni ndoto alipata

Nenda kasome mwanaume handsome wa kijijini kwa Muhammad alikuwa anaitwa nani, na pia soma alikuwa anakutwa nae chumbani ili ni homework kwako kasome nikiweka hapa utarusha mateke Muhammad na shoga chumbani ndio maana unaona Faiza anapinga Hadith zote maana zinaonyesha uchafu wa muhammad wazi
 
Nimemaliza kazi yangu , nilikuwa nataka kuthibitisha Koran ni kitabu ambacho akijakamilika na hakina majibu , lazima ukasome vitabu vingine ili upate maana ya verse
Hili limeisha na umwambie ndugu Yako Faiza ukweli huu

Muhammad hakujua anaharamisha kitu halali inamaana hakuwa na allah kama kiongozi wake , hili tumemaliza na wewe umethibitisha
Poa.
 
Muhammad alikuwa anatoa story tu na hakuna muujiza kafanya watu wakaona mpaka wake zake wanakiri safari ya mbinguni aliyo dai walikuwa wanamuona kalala kitanda tu , labda ni ndoto alipata

Nenda kasome mwanaume handsome wa kijijini kwa Muhammad alikuwa anaitwa nani, na pia soma alikuwa anakutwa nae chumbani ili ni homework kwako kasome nikiweka hapa utarusha mateke Muhammad na shoga chumbani ndio maana unaona Faiza anapinga Hadith zote maana zinaonyesha uchafu wa muhammad wazi
Poa.
 
Muhammad alikuwa anatoa story tu na hakuna muujiza kafanya watu wakaona mpaka wake zake wanakiri safari ya mbinguni aliyo dai walikuwa wanamuona kalala kitanda tu , labda ni ndoto alipata

Nenda kasome mwanaume handsome wa kijijini kwa Muhammad alikuwa anaitwa nani, na pia soma alikuwa anakutwa nae chumbani ili ni homework kwako kasome nikiweka hapa utarusha mateke Muhammad na shoga chumbani ndio maana unaona Faiza anapinga Hadith zote maana zinaonyesha uchafu wa muhammad wazi
Tushirikishe
 
Soma hii: Ajifanya sisi kutuokoa sisi

Alikosa lugha ya kuzungumza tunayoielewa, alikosa kuwa karibu ili tumwelewe.

Alikuwa mbali na vigumu kutufikia, na mwisho akaamua kujifanya sisi ili atuokoe.

Sasa tunajua hakika lugha anayozungumza, tabia anayotaka tuwe nayo na maisha anayotaka tuishi.

Hakika, alijifanya sisi ili aje kutuokoa sisi.

Huyu ni Mungu aliyejifanya mwanadamu, akaja kwa jina la Mwana ili kumwokoa mwanadamu.
 
Kuna Mambo Yapo Ulimwenguni ukiyatafakari kwa Kina hayaingii Akilini ndugu waafrika wenzangu

Kuna Historia katika Vitabu kwamba Mungu alimtoa Mwanae Ili aje Kuikomboa Dunia katika Dhambi (ambazo zipo mpaka Leo)

Ukiangalia kwa Undani Historia hii ya kuzaliwa kwake inatia Shaka sana kabla ya Kujua Majibu ya kuzaliwa kwake inakuja Historia kwamba hana Baba. Kabla hujapata Majibu ya Baba ni nani Inakuja Kwamba ni Uwezo wa Mungu ndio akazaliwa. Yanakuwa Maswali juu ya Maswali

Kumbuka Yusufu na Mariam si kwamba Walikuwa ni Wachumba la hasha bali walikuwa tayari wapo Ndani (wameoana) wanaishi pamoja. Hakuna wachumba Wanaoishi pamoja kwa Utaratibu wa Kuishi. Ukichumbia wewe utakaa kwako na Huyo mchumba atakaa kwao. Kama Waliishi pamoja maana Yake waliweza Kushiriki Tendo la Ndoa yao na Ukifuatilia kwa Makini Yusuf alikuwa Pamoja na Mariam kila Sehemu hakuna Sehemu inayosema Alikuja Kumuoa mariam Ikiwa na Maana Kwamba Tayari alikuwa keshaoa maana yake ule uchumba ulio andikwa Tayari ukayeyuka

Binadamu huzaliwa Kwa Mwanaume na Mwanamke hili halina ubishi. Ila Kuna Kuja Utata wa Hapa Kwamba Yesu alizaliwa bila Mfumo maalumu wa Uzazi wa Baba na Mama ila Roho Mtakatifu kama Wanavyodai (kumbuka Hata Huko india Wapo Watu wenye Hadithi hizi hizi za Kuzaliwa bila Baba)

Sasa Hapa Unajiuliza Maswali. Mungu huyo aliyeweza Kumuumba Mwanadamu wa Kwanza Bila Kutumia mifumo ya Uzazi Inakuwaje leo aje Aanze Kumuumba Binadamu mwingine anayedaiwa ni Mwanae kwa Mifumo ya Uzazi na Akaenda kwa Mariam ambaye alikuwa teyari ana Mume(kumbuka Hapa Mungu hazai na Wala Hakuzailiwa)

Sasa Anamzaa mwanae kupitia Mariam mara Yusufu atake kumkimbia Mariam maana Kuna Siri May be Yusufu aliiona akaona Hapa Nimepigwa na Baada ya Yesu kuzaliwa Yusuf Anapotea Ghafla kwenye Maandiko na Historia yake inaishia Hapo hapo

Mungu anamtoa Mwanae. Anakuja Mnamkataa, mnampiga, mnamtesa anawahubiria mnagoma Kukubali maneno yake mnamfukuza kwenye masinagogo yake, Anaenda Kusali mlimani peke yake, anakusanya wanafunzi wake. Hao wanafunzi nao mnawakataa mnawafukuza. Hivi Mungu hapo anawaogopa Nyie kisa Nini mpak Awafanyie Haya Yote Nyie Viumbe wake

Yaani Mungu mpaka Anatoa Mtoto wake Wa Pekee ili awabembeleze nyie mmrudie Yeye na Mnakataa. Sasa Hapo Mungu Anakuwa na Ule Uwezo na Kutoshindwa Kitu kweli. Kama Kawatumia Mwanae na Mmemgomea kawatumia Manabii na Mitume mmemgomea Tena na hamtaki kumrudia. Hivi Mungu anawalemba Hivyo Ili Iweje

Si kila Mtu anayezaliwa bila Baba Yake basi Baba Yake ndio Mungu. Wachawi wanazini na Binadamu kila Siku na Wachawi hao hao ndio Binadamu wenzenu. Wanawake wanabeba Mimba zingine wasizozijua zimetoka wapi

Basi Mjue Kwamba Hapo Mwenye Enzi Mungu hayupo na Mnaozeshwa Akili zenu ndugu zangu. Kaeni Chini Mtafakari kwa Akili zenu Timamu. Mungu hawezi kufanya hayo Kwa Viumbe wake. Yeye hayupo Hivyo

[emoji3507]Mungu si Mmoja
[emoji3507]Mungu si Wengi
[emoji3507]Mungu si Baba
[emoji3507]Mungu si Mama
[emoji3507]Mungu si Kiumbe
[emoji3507]Mungu hachukii Viumbe
[emoji3507]Mungu hapendi Viumbe wake ila Ana Enzi na Viumbe wake (usijione wewe Kiumbe Mtu unapendwa na Mungu Kuliko Viumbe wake wengine aliowaumba)
[emoji3507]Mungu hakuzaa wala Kuzaliwa

Yachunguzeni maandiko Yenu mtajua kwamba si Maandiko ya kiucha Mungu ila Maandiko ya Viumbe wenye Tamaa

ASANTENI

Yohana 3:16-17​

Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele. Maana Mungu hakumtuma Mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu, bali ulimwengu uokolewe katika yeye
 
Ndio Ndugu.

1. Ulifanya Nini Mpaka Amtume Mwanae?
2. Je Yesu kakuokoa Kwenye Nini Alipokuja?

Na Kama Mungu alimtuma Mwanae Mbona Watu hawakumwamini ila Walimuua Na Mpaka Leo ISRAEL [emoji1134] haijamwamini. Je Mungu anaweza Kutuma Kitu halafu kikashindikana!?
 
1.Mungu yeye ni muumbaji wetu, hivyo upendo wake ndo ulimsukuma kutufia
2.Katuokoa dhidi ya mauti ya pili-ya milele
Hulazimishwi kumuamini
Bali alikuja kwa anayechagua kumuamini
Marko 6
Yesu Awatuma wale Kumi na Wawili
7 Akawaita wale Thenashara, akaanza kuwatuma wawili wawili, akawapa amri juu ya pepo wachafu; 8akawakataza wasichukue kitu cha njiani isipokuwa fimbo tu; wala mkate, wala mkoba, wala pesa za bindoni; 9lakini wajifungie viatu; akasema, Msivae kanzu mbili. 10Akawaambia, Mahali po pote mtakapoingia katika nyumba, kaeni humo hata mtakapotoka mahali pale. 11Na mahali po pote wasipowakaribisha ninyi wala kuwasikia, mtokapo huko, yakung’uteni mavumbi yaliyo chini ya miguu yenu, kuwa ushuhuda kwao. 12Wakatoka, wakahubiri kwamba watu watubu.
 
Yaani Ndugu yangu Upendo wake ndio Usababishe kutufia. Je Mungu Hufa!? Na Wewe ulifanya Kosa Gani Hilo Maana Zamani alishusha Moto kwa Waovu na Kushusha Mvua Kama Gharika kulingana na Kitabu inakuwaje Sasa Leo hii Akutolee wewe Sadaka ya Mwanae.

2.Katuokoa dhidi ya mauti ya pili-ya milele

Hiyo mauti ya Pili ni Ipi hiyo na Aliisema Yeye mwenyewe ndio lengo lake Kuja. Mbona wewe unaenda Tofauti na Mafundisho kwamba Alifia Msalabani kwa Sababu ya Dhambi za Wanadamu?

Kwahiyo siyo dhambi ila Ni Mauti ya Pili+?

Hulazimishwi kumuamini
Bali alikuja kwa anayechagua kumuamini
Marko 6

Yesu Awatuma wale Kumi na Wawili
7 Akawaita wale Thenashara, akaanza kuwatuma wawili wawili, akawapa amri juu ya pepo wachafu; 8akawakataza wasichukue kitu cha njiani isipokuwa fimbo tu; wala mkate, wala mkoba, wala pesa za bindoni; 9lakini wajifungie viatu; akasema, Msivae kanzu mbili. 10Akawaambia, Mahali po pote mtakapoingia katika nyumba, kaeni humo hata mtakapotoka mahali pale. 11Na mahali po pote wasipowakaribisha ninyi wala kuwasikia, mtokapo huko, yakung’uteni mavumbi yaliyo chini ya miguu yenu, kuwa ushuhuda kwao. 12Wakatoka, wakahubiri kwamba watu watubu.

Kumbuka Ilikuwa si Wewe Mwafrika ila Waisraeli wa Kipindi hicho ndio walipewa Huo mstari.
 
Siyo akili yangu mzee, ni maandiko
Yesu anasema
Yohana : 14 : 6 - Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.

Niambie wewe ni njia gani nyingine ya kufika mbinguni isipokuwa Yesu.
Wewe ni kichaa,kwahiyo waislam,wahindu,bohora,wachina,wapagani,wakorea,n.k hawatafika mbinguni kwa sababu siyo wafuasi wa yesu?

Huu ujinga hauwezi kuondo bila bakora kwa uliingizwa vichwani kwenu kwa bakora na wakoloni,msiishi kwa kukariri aisee.

Wakoloni walikuja na biblia mkono mmoja na vitabu vya shule mkono mwingine.

Katika biblia wakakuaminisha kuwa wewe ni zao la adamu na hawa na katika vitabu vya elimu wakakuamina kuwa wewe ni zao la manyani na ukasoma sana haya hadi leo.

Sasa ni kipi kinakufanya uendelee kuwaamini wakoloni wakati tayari ni waongo?ina maana kuna adam na hawa wa wahindi,wachina,wazungu,Waafrika,n.k kama siyo ni pea moja kwanini kuwe na tofauti hata siku moja pea ya Mwafrika wasizae mchina au pea ya mchina wasizae mwafrika?ni miujiza gani hiyo Mungu asiiweke wazi??

Ujinga wako ndiyo umaskini wako!!
 
Kuna Mambo Yapo Ulimwenguni ukiyatafakari kwa Kina hayaingii Akilini ndugu waafrika wenzangu

Kuna Historia katika Vitabu kwamba Mungu alimtoa Mwanae Ili aje Kuikomboa Dunia katika Dhambi (ambazo zipo mpaka Leo)

Ukiangalia kwa Undani Historia hii ya kuzaliwa kwake inatia Shaka sana kabla ya Kujua Majibu ya kuzaliwa kwake inakuja Historia kwamba hana Baba. Kabla hujapata Majibu ya Baba ni nani Inakuja Kwamba ni Uwezo wa Mungu ndio akazaliwa. Yanakuwa Maswali juu ya Maswali

Kumbuka Yusufu na Mariam si kwamba Walikuwa ni Wachumba la hasha bali walikuwa tayari wapo Ndani (wameoana) wanaishi pamoja. Hakuna wachumba Wanaoishi pamoja kwa Utaratibu wa Kuishi. Ukichumbia wewe utakaa kwako na Huyo mchumba atakaa kwao. Kama Waliishi pamoja maana Yake waliweza Kushiriki Tendo la Ndoa yao na Ukifuatilia kwa Makini Yusuf alikuwa Pamoja na Mariam kila Sehemu hakuna Sehemu inayosema Alikuja Kumuoa mariam Ikiwa na Maana Kwamba Tayari alikuwa keshaoa maana yake ule uchumba ulio andikwa Tayari ukayeyuka

Binadamu huzaliwa Kwa Mwanaume na Mwanamke hili halina ubishi. Ila Kuna Kuja Utata wa Hapa Kwamba Yesu alizaliwa bila Mfumo maalumu wa Uzazi wa Baba na Mama ila Roho Mtakatifu kama Wanavyodai (kumbuka Hata Huko india Wapo Watu wenye Hadithi hizi hizi za Kuzaliwa bila Baba)

Sasa Hapa Unajiuliza Maswali. Mungu huyo aliyeweza Kumuumba Mwanadamu wa Kwanza Bila Kutumia mifumo ya Uzazi Inakuwaje leo aje Aanze Kumuumba Binadamu mwingine anayedaiwa ni Mwanae kwa Mifumo ya Uzazi na Akaenda kwa Mariam ambaye alikuwa teyari ana Mume(kumbuka Hapa Mungu hazai na Wala Hakuzailiwa)

Sasa Anamzaa mwanae kupitia Mariam mara Yusufu atake kumkimbia Mariam maana Kuna Siri May be Yusufu aliiona akaona Hapa Nimepigwa na Baada ya Yesu kuzaliwa Yusuf Anapotea Ghafla kwenye Maandiko na Historia yake inaishia Hapo hapo

Mungu anamtoa Mwanae. Anakuja Mnamkataa, mnampiga, mnamtesa anawahubiria mnagoma Kukubali maneno yake mnamfukuza kwenye masinagogo yake, Anaenda Kusali mlimani peke yake, anakusanya wanafunzi wake. Hao wanafunzi nao mnawakataa mnawafukuza. Hivi Mungu hapo anawaogopa Nyie kisa Nini mpak Awafanyie Haya Yote Nyie Viumbe wake

Yaani Mungu mpaka Anatoa Mtoto wake Wa Pekee ili awabembeleze nyie mmrudie Yeye na Mnakataa. Sasa Hapo Mungu Anakuwa na Ule Uwezo na Kutoshindwa Kitu kweli. Kama Kawatumia Mwanae na Mmemgomea kawatumia Manabii na Mitume mmemgomea Tena na hamtaki kumrudia. Hivi Mungu anawalemba Hivyo Ili Iweje

Si kila Mtu anayezaliwa bila Baba Yake basi Baba Yake ndio Mungu. Wachawi wanazini na Binadamu kila Siku na Wachawi hao hao ndio Binadamu wenzenu. Wanawake wanabeba Mimba zingine wasizozijua zimetoka wapi

Basi Mjue Kwamba Hapo Mwenye Enzi Mungu hayupo na Mnaozeshwa Akili zenu ndugu zangu. Kaeni Chini Mtafakari kwa Akili zenu Timamu. Mungu hawezi kufanya hayo Kwa Viumbe wake. Yeye hayupo Hivyo

[emoji3507]Mungu si Mmoja
[emoji3507]Mungu si Wengi
[emoji3507]Mungu si Baba
[emoji3507]Mungu si Mama
[emoji3507]Mungu si Kiumbe
[emoji3507]Mungu hachukii Viumbe
[emoji3507]Mungu hapendi Viumbe wake ila Ana Enzi na Viumbe wake (usijione wewe Kiumbe Mtu unapendwa na Mungu Kuliko Viumbe wake wengine aliowaumba)
[emoji3507]Mungu hakuzaa wala Kuzaliwa

Yachunguzeni maandiko Yenu mtajua kwamba si Maandiko ya kiucha Mungu ila Maandiko ya Viumbe wenye Tamaa

ASANTENI
Hii story ime exisist generation and generation inafanywa kuwa modernized kutokana na wakati.
 
Miungu ni wengi mzee, Mungu wa pekee wa kweli ni aliyemtuma mwanawe Yesu Kristo . Wengine wote ni wa mchongo
Wazazi wako pamoja na wewe mlitambua kuna Miungu na Mungu lini kama siyo baada ya wakoloni kufika Afrika na kuwapandikiza huo ujinga?

Au Afrika tu ndiyo kuna Miungu ila china,india,korea,nk kuna Mungu?

Mbona China na Korea wanaabudu Miungu yao na wameendelea zaidi yako wewe unaejidai una Mungu wa kweli?

Ujuha ni mzigo!!
 
Soma hii: Ajifanya sisi kutuokoa sisi

1.Amekuokoa Kwenye Nini!?
2. Mungu atajifanyaje Wewe wakatu Yeye Anauwezo Wote wa Kufanya chochote

Alikosa lugha ya kuzungumza tunayoielewa, alikosa kuwa karibu ili tumwelewe.

1. Mungu mwenye uwezo wote anakosaje Lugha ya Kuzungumza na Wewe. Mbona Alizungumza na Adam kulingana na Maandiko ya Hicho kitabu

2. Alikosaje Kuwa Karibu tena Na Wewe wakati ndie alikuumba Kutoka Kwenye Udongo

Huoni ndugu yangu Huna Majibu ila Unamuumba Mungu unavyojua Wewe

Alikuwa mbali na vigumu kutufikia, na mwisho akaamua kujifanya sisi ili atuokoe.

Ndugu huoni unamfanya Mungu hana Uwezi wowote ule hapo? Alikuwa mbali na Vigumu tutufikia Tena. Halafu wewd unassma Mungu yupo Mahali popote na Yupo ndani yako

Sasa tunajua hakika lugha anayozungumza, tabia anayotaka tuwe nayo na maisha anayotaka tuishi.

Hakika, alijifanya sisi ili aje kutuokoa sisi.

Huyu ni Mungu aliyejifanya mwanadamu, akaja kwa jina la Mwana ili kumwokoa mwanadamu.

Mungu si Kiumbe na Afanani na Chochote. Mungu mwenye Uwezo wote wa Kuumba Hawezi angaika Angaika Hivi ili Akuokoe wewe ambaye Hata Nikikuuliza Kakuokoa Kwenye Nini huna Jibu
 
Wewe umejuaaje Kuna Mungu wa kweli ?
Hee hilo nalo nilakuuliza?kwani wachina,wahindi,wakorea wamejuaje kuna Mungu wa kweli?

Jibu ni kwa sababu wanaemuomba nakufanikiwa na kuyaona maendeleo yao kwahiyo anajibu maombi yao.

Unajua ujinga ni kitu kidogo sana,ni ''kutokuamini kuwa wewe ni mjinga na kutotaka kuachana na ujinga''

Haya mnasema wasiomjua Mungu wa kweli wanabudu kwenye miti,maziwa,mito,n.k wakati huohuo makanisa mnajenga kwa mbao/miti,maji mnatumia ya mito na maziwa ,sanamu ya yesu na misalaba ni ya miti,sasa nyie mnaakili kweli?

Kiuhalisia wanaoabudu Mungu wa kweli wanaishi miaka mingi sana kuliko mnaoabudu mungu wa wazungu i.e yesu
 
Kuna Mambo Yapo Ulimwenguni ukiyatafakari kwa Kina hayaingii Akilini ndugu waafrika wenzangu

Kuna Historia katika Vitabu kwamba Mungu alimtoa Mwanae Ili aje Kuikomboa Dunia katika Dhambi (ambazo zipo mpaka Leo)

Ukiangalia kwa Undani Historia hii ya kuzaliwa kwake inatia Shaka sana kabla ya Kujua Majibu ya kuzaliwa kwake inakuja Historia kwamba hana Baba. Kabla hujapata Majibu ya Baba ni nani Inakuja Kwamba ni Uwezo wa Mungu ndio akazaliwa. Yanakuwa Maswali juu ya Maswali

Kumbuka Yusufu na Mariam si kwamba Walikuwa ni Wachumba la hasha bali walikuwa tayari wapo Ndani (wameoana) wanaishi pamoja. Hakuna wachumba Wanaoishi pamoja kwa Utaratibu wa Kuishi. Ukichumbia wewe utakaa kwako na Huyo mchumba atakaa kwao. Kama Waliishi pamoja maana Yake waliweza Kushiriki Tendo la Ndoa yao na Ukifuatilia kwa Makini Yusuf alikuwa Pamoja na Mariam kila Sehemu hakuna Sehemu inayosema Alikuja Kumuoa mariam Ikiwa na Maana Kwamba Tayari alikuwa keshaoa maana yake ule uchumba ulio andikwa Tayari ukayeyuka

Binadamu huzaliwa Kwa Mwanaume na Mwanamke hili halina ubishi. Ila Kuna Kuja Utata wa Hapa Kwamba Yesu alizaliwa bila Mfumo maalumu wa Uzazi wa Baba na Mama ila Roho Mtakatifu kama Wanavyodai (kumbuka Hata Huko india Wapo Watu wenye Hadithi hizi hizi za Kuzaliwa bila Baba)

Sasa Hapa Unajiuliza Maswali. Mungu huyo aliyeweza Kumuumba Mwanadamu wa Kwanza Bila Kutumia mifumo ya Uzazi Inakuwaje leo aje Aanze Kumuumba Binadamu mwingine anayedaiwa ni Mwanae kwa Mifumo ya Uzazi na Akaenda kwa Mariam ambaye alikuwa teyari ana Mume(kumbuka Hapa Mungu hazai na Wala Hakuzailiwa)

Sasa Anamzaa mwanae kupitia Mariam mara Yusufu atake kumkimbia Mariam maana Kuna Siri May be Yusufu aliiona akaona Hapa Nimepigwa na Baada ya Yesu kuzaliwa Yusuf Anapotea Ghafla kwenye Maandiko na Historia yake inaishia Hapo hapo

Mungu anamtoa Mwanae. Anakuja Mnamkataa, mnampiga, mnamtesa anawahubiria mnagoma Kukubali maneno yake mnamfukuza kwenye masinagogo yake, Anaenda Kusali mlimani peke yake, anakusanya wanafunzi wake. Hao wanafunzi nao mnawakataa mnawafukuza. Hivi Mungu hapo anawaogopa Nyie kisa Nini mpak Awafanyie Haya Yote Nyie Viumbe wake

Yaani Mungu mpaka Anatoa Mtoto wake Wa Pekee ili awabembeleze nyie mmrudie Yeye na Mnakataa. Sasa Hapo Mungu Anakuwa na Ule Uwezo na Kutoshindwa Kitu kweli. Kama Kawatumia Mwanae na Mmemgomea kawatumia Manabii na Mitume mmemgomea Tena na hamtaki kumrudia. Hivi Mungu anawalemba Hivyo Ili Iweje

Si kila Mtu anayezaliwa bila Baba Yake basi Baba Yake ndio Mungu. Wachawi wanazini na Binadamu kila Siku na Wachawi hao hao ndio Binadamu wenzenu. Wanawake wanabeba Mimba zingine wasizozijua zimetoka wapi

Basi Mjue Kwamba Hapo Mwenye Enzi Mungu hayupo na Mnaozeshwa Akili zenu ndugu zangu. Kaeni Chini Mtafakari kwa Akili zenu Timamu. Mungu hawezi kufanya hayo Kwa Viumbe wake. Yeye hayupo Hivyo

[emoji3507]Mungu si Mmoja
[emoji3507]Mungu si Wengi
[emoji3507]Mungu si Baba
[emoji3507]Mungu si Mama
[emoji3507]Mungu si Kiumbe
[emoji3507]Mungu hachukii Viumbe
[emoji3507]Mungu hapendi Viumbe wake ila Ana Enzi na Viumbe wake (usijione wewe Kiumbe Mtu unapendwa na Mungu Kuliko Viumbe wake wengine aliowaumba)
[emoji3507]Mungu hakuzaa wala Kuzaliwa

Yachunguzeni maandiko Yenu mtajua kwamba si Maandiko ya kiucha Mungu ila Maandiko ya Viumbe wenye Tamaa

ASANTENI
Kwahiyo wew unamaanisha mitume na manabii wote waliowahi kuwepo duniani hawana maana au ni waongo......cause wote walifanya kazi sawa na Jesus Christ.
Au kosa hapo ni kuitwa mwana wa mungu??
 
1. Mie nimeuliza Swali Mungu alikuogopa Nini Mpaka Akamtoa Mwanae Sadaka.!? Wakati ukitenda Kosa Alikuwa anakuadhibu

2. Ulifanya Kosa Gani Wewe mpka Kufanya Hivyo?

Hayo ndio maswali Yangu muhimu. Hayo Mengine uliyouliza Jibu langu linaweza Kuwa Hivi. Mungu hawezi Tuma Manabii Ambao watakuja Kufanya Watu watengane tengane na Kuchukiana. Hapo Hakuna Mungu
 
1.Amekuokoa Kwenye Nini!?
2. Mungu atajifanyaje Wewe wakatu Yeye Anauwezo Wote wa Kufanya chochote

1. Mungu mwenye uwezo wote anakosaje Lugha ya Kuzungumza na Wewe. Mbona Alizungumza na Adam kulingana na Maandiko ya Hicho kitabu

2. Alikosaje Kuwa Karibu tena Na Wewe wakati ndie alikuumba Kutoka Kwenye Udongo

Huoni ndugu yangu Huna Majibu ila Unamuumba Mungu unavyojua Wewe

Ndugu huoni unamfanya Mungu hana Uwezi wowote ule hapo? Alikuwa mbali na Vigumu tutufikia Tena. Halafu wewd unassma Mungu yupo Mahali popote na Yupo ndani yako

Mungu si Kiumbe na Afanani na Chochote. Mungu mwenye Uwezo wote wa Kuumba Hawezi angaika Angaika Hivi ili Akuokoe wewe ambaye Hata Nikikuuliza Kakuokoa Kwenye Nini huna Jibu
Kuna vitu vingi hujui kuhusu sadaka......kasome law of karma.... everything in this world require a sacrifice.
Ndo maana tokea zamani manabii kam mussa, Ibrahim na wengine walitoa sadaka, yale hayakuwa maigizo, it's the universe law since then.....na hata sisi kutoka katika adhabu za dhambi ilibidi sadaka itolewe.....hata unavyoona sas tunaishi hivi ni matokeo ambayo yalishafanyika ya kulipia dhambi zetu....
My friend you have to understand how the universe work then connect na mungu....ndo maana masomo ya history yanafundishwa mashuleni.
 
1. Mie nimeuliza Swali Mungu alikuogopa Nini Mpaka Akamtoa Mwanae Sadaka.!? Wakati ukitenda Kosa Alikuwa anakuadhibu

2. Ulifanya Kosa Gani Wewe mpka Kufanya Hivyo?

Hayo ndio maswali Yangu muhimu. Hayo Mengine uliyouliza Jibu langu linaweza Kuwa Hivi. Mungu hawezi Tuma Manabii Ambao watakuja Kufanya Watu watengane tengane na Kuchukiana. Hapo Hakuna Mungu
Nimeshakujibu inabid upate somo kuhusu sadaka.....and how it works....hiyo mambo haijaanza jana au juzi baada ya kuja Jesus....ni kitu ipo tokea kuumbwa kwa dunia hii....
 
Back
Top Bottom