Nimecheka sana, soma habari ya Allah na Musa katika Qur'aan, siyo tu anaongea Allah anacheka kabisa.Koran nzima Haina ushahidi wowote kwamba ni Allah anaongea
Kwahiyo hapo unaelewejae hiyo aya ?
Hili unataka nikwambie mara ngapi ? Soma sababu ya kushuka kwa hiyo katika Tafsiri ya Imam Ibn Kathir utakuta kila kitu kisha uje kujenga hoja hapa.Kisha wewe utuambie Mtume aliharamisha nini.
Kutokuongea na Allah yeye haimaanishi Allah haongei, kijana mbona unafikiri kitoto sasa ? Katika viumbe walio ongeleshwa na Allah moja kwa moja ni watatu kama sijakosea akiwepo nabii Musa.Muhammad anakiri kabisa hajawahi kuongea na Allah
Sasa yale maneno Jibril alikuwa anayatoa wapi ? Kwani ushahidi wa mtu mmoja una kubalika au haukubaliki ? Mbona maneno ya uongo anayozushiwa nabii Issa kwamba ni mwana wa Mungu aliyasema yeye peke yake na mna yaamini japokuwa ya uongo, sasa jalia haya ya Mtume ni ya kweli na unayakataa, kijana una matatizo ya akili bila shaka.Anasema kaongea na jibril ambae hakuna binadamu alimuona Yani ushahidi ni Muhammad mwenyewe hakuna mtu kaona wala kusikia
Anaitwa nani huyo shoga ? Na haya tunayapata wapi ? Ukiishiwa hoja bora ukae kiliko kuandika uongo.Kuna mda Muhammad alikuwa na li shoga akasema ni jibril watu wakawa hawaelewi wakimuona shoga wanazani ni jibril Muhammad akamwambia ni jibril kavaa mwili wa shoga
Nimecheka sana. Itabidi tuanze kuhakiki maandiko yetu na yenu, tuone kina nani waongo.Muhammad hakuna muujiza ata mmoja kafanya watu
Mtume amekuja na miujiza mingi sana, kwanza hii Qur'aan tu ni muujiza wa kwanza. Mtume aliomba kwa Mola wake Mwezi ukapasuka vipande viwili, mtume alitoa maziwa kupitia vidole vyake viwili na watu wakanywa na wakasaza.
Juzi nilikuwa nasoma habari fulani kubusu Injili zenu nne, sasa unajiuliza inakuwaje mnaamini habari ambazo hao walio waandikia habari za Yesu hawakuwahi kumuona Yesu ?Wanao Muamini Muhammad wanamuamini blindly bila ushahidi
Mimi nakupa kazi moja naomba unipe chain ya uandikwaji wa Injili ya Luka, Yohana, Matayo na Marko mpaka ifike kwa Yesu. Kisha uniambie kwa lipi mnaziamini hizi habari ? Wakati ukisoma kwa undani unaona ya kuwa Luka alijaribu kunakili toka kwa Matayo ndiyo maana Injili zetu zinamkanganyiko sana.