Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

So unataka kuniambia his workdone is equal to ZERO?!
Kwa maana kaondoa dhambi za wanaadamu bila kuondoa chanzo cha dhambi! [emoji2377][emoji2377][emoji2377]
Je dhambi zikizidi atakuja tena? [emoji2365][emoji2365][emoji2365]
 
Kwahiyo wakoloni waliowabadilisha akili zenu na kuwajaza ujinga huo siyo wanadamu eti?
 
Warumi : 10 : 9 - Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.
Sasa Mungu alimfufua vipi katika wafu wakati yeye mwenyewe mnamsema ni Mungu?
 
Kwahiyo wakoloni waliowabadilisha akili zenu na kuwajaza ujinga huo siyo wanadamu eti?
 
Na kiwanda cha Biblia hakijawahi kuwa Huku Kwetu Daaah
 
Kaka njia ni moja tuu ya kwenda mbinguni. NI YESU TU.
Utoe shahada,Uswali swali tano,Ufunge swaumu , uwe mchina,mhindu,mfilipino, Bila kumkubali Yesu ukabatizwa, MBINGUNI HUTOBOI.

Maandiko yamekuwapo kabla ya mkoloni kaka, kabla hata mudy hajaminywa pangoni na kiumbe kisichojulikana maandiko yapo. Chaguo ni lako.
 
Imeandikwa
Marko : 16 : 15 - Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
Injili ingefika tu hata bila wakoloni
 
So unataka kuniambia his workdone is equal to ZERO?!
Kwa maana kaondoa dhambi za wanaadamu bila kuondoa chanzo cha dhambi! [emoji2377][emoji2377][emoji2377]
Je dhambi zikizidi atakuja tena? [emoji2365][emoji2365][emoji2365]
Kasema atarudi tena
 
Kwahiyo dhambi zikizidi sana atakuja tena ili wamgongee misumari tena?
Ila kwa kichapo kile alichochezea sidhani kama atakuja tena!! [emoji2377][emoji2377][emoji2377]
Dah! Umenichekesha! Yesu atarudi hata waislam wanaamini hivyo
 
Yesu aliokoa watu aliyokua anawaongoza hadi na vizazi vyao! Hao waliokengeuka na kwenda dini nyingine pengine ndiyo shetan kazini
 
Wakristo bhna mtoto akizaliwa anaambiwa ana dhambi ya Asili sasa mtoto kazaliwa hajui lolote tyr ana dhambi ya Asili sasa uyo alokuja kukuondoleeni.dhambi hiyo.dhambi ya asili hajaiondoa?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Mtoto akikua kidgo ety akabatizwe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sasa kma munaamini kweli mtoto ni.mkristo sasa mnaenda kumbatiza ili iweje yni dini.ya full michongo tuu

Wameshasamehewa dhambi kutoka msalabani apo.apo utasikia Nenda kwa Padri ukatubu dhambi zako [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] yni kiukweli mumepotezwa bhna fikirieni kwa Makini
 
So unataka kuniambia his workdone is equal to ZERO?!
Kwa maana kaondoa dhambi za wanaadamu bila kuondoa chanzo cha dhambi! [emoji2377][emoji2377][emoji2377]
Je dhambi zikizidi atakuja tena? [emoji2365][emoji2365][emoji2365]

Imeandikwa
Wakolosai : 1 : 13 - Naye alituokoa katika nguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wa pendo lake;
1:14 - ambaye katika yeye tuna ukombozi, yaani, msamaha wa dhambi;
 
Imeandikwa
Wakolosai : 1 : 13 - Naye alituokoa katika nguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wa pendo lake;
1:14 - ambaye katika yeye tuna ukombozi, yaani, msamaha wa dhambi;
Wagalatia 6:5
Soma hiyoooooo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…