Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
So unataka kuniambia his workdone is equal to ZERO?!Kwasabu yesu alituokoa bila kumuua shetan! Kwahiyo tunayeshatani! Ujue kuwa yesu alikuja kuwaokoa wanadam kwakua walikua hawamjui mungu kabisa yaan empty head kuhusu mungu baada ya kutufia msalaban na shetan bado yupo sasa binadam tunatenda thambi huku tukijijua kabisa hii nu dhambi! Lakini kama ukiamua kutotenda dhambi wewe siyo mdhambi
Kwa maana kaondoa dhambi za wanaadamu bila kuondoa chanzo cha dhambi! [emoji2377][emoji2377][emoji2377]
Je dhambi zikizidi atakuja tena? [emoji2365][emoji2365][emoji2365]