Na mara hii akirudi wahuni watampiga Petroli! [emoji2377][emoji2377][emoji2377][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]Dah! Umenichekesha! Yesu atarudi hata waislam wanaamini hivyo
Haiwezekani kwani wanapata faida sana na wanahakimiliki wanauza wenyewe kupitia magari yao ya SOMA BIBLIANa kiwanda cha Biblia hakijawahi kuwa Huku Kwetu Daaah
Wakristo bhna mtoto akizaliwa anaambiwa ana dhambi ya Asili sasa mtoto kazaliwa hajui lolote tyr ana dhambi ya Asili sasa uyo alokuja kukuondoleeni.dhambi hiyo.dhambi ya asili hajaiondoa?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mtoto akikua kidgo ety akabatizwe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sasa kma munaamini kweli mtoto ni.mkristo sasa mnaenda kumbatiza ili iweje yni dini.ya full michongo tuu
Wameshasamehewa dhambi kutoka msalabani apo.apo utasikia Nenda kwa Padri ukatubu dhambi zako [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] yni kiukweli mumepotezwa bhna fikirieni kwa Makini
Wagalatia 6:5
Soma hiyoooooo!!
Si mnasema trinity ni nafsi tatu zilizo sawa!?
Kwani nyie mnaomuabudu yesu ni wajinga na maskini kuliko wachina wasiomuamini yesu?Kaka njia ni moja tuu ya kwenda mbinguni. NI YESU TU.
Utoe shahada,Uswali swali tano,Ufunge swaumu , uwe mchina,mhindu,mfilipino, Bila kumkubali Yesu ukabatizwa, MBINGUNI HUTOBOI.
Maandiko yamekuwapo kabla ya mkoloni kaka, kabla hata mudy hajaminywa pangoni na kiumbe kisichojulikana maandiko yapo. Chaguo ni lako.
Mnachanganyana sana, sasa kafufuliwa au amekishinda kifo?Umekimbilia tena kwenye trinity?
Je umekubali Baba alimfufua mwanae ?
Kwanini hawajaenda kuubiri injili North Korea au huko siyo ulimwenguni na hakuna viumbe wakaja Afrika na kuiba mali zetu kwa nguvu hadi kutupiganisha vita za dunia na utumwa juu.Imeandikwa
Marko : 16 : 15 - Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
Injili ingefika tu hata bila wakoloni
Huna hoja za msingi zaidi ya kukariri tu novel ya biblia ambayo yesu ni mhusika mkuu na hao mitume wenu ni wahusika wasaidizi na maudhui yake kama ujinga,uwizi,uongo,mapenzi,ubakaji,hujuma,unyonyaji,nkBaba alimfufua mwanawe.
Jibu swali liko wazi hilo au mngemuabudu bibi yenu mariamu na bikira yake?Kwasasa hana kwahiyo siwezi kujibu hilo swali hewa
Kwani nyie mnaomuabudu yesu ni wajinga na maskini kuliko wachina wasiomuamini yesu?
Wewe ni zombi huna tofauti na zamaradi yesu angekuwa ni njia wote mnaomuabudu mngekuwa na mafanikio kuliko watu wote wasiyomuabudu.
Ila nisikukatalie yawezekana yesu ndiyo mtaji wako kwa wajinga pa kujipatia pesa.
yesu angekuwa njia huko mnakodai alizaliwa wote siwajebarikiwa na kuwa waChrist.
Ujinga ulionao ni wa kujiita mroma,mlutheri,mpentekoste,muAngirikana,n.k wakati wewe ni muAfrika na dini yako ni Afrikana
Mnachanganyana sana, sasa kafufuliwa au amekishinda kifo?
Jibu hili tuendelee!
Kwanini hawajaenda kuubiri injili North Korea au huko siyo ulimwenguni na hakuna viumbe wakaja Afrika na kuiba mali zetu kwa nguvu hadi kutupiganisha vita za dunia na utumwa juu.
Tatizo hufikiri akilini mwako bali unakopi kwa waliokulisha ujinga unaoandika na huna hoja.
Huyo yesu wako kwanini waliomtangaza kwenu na kuleta biashara ya utumwa hakuwazuia kufanya biashara hiyo?
Sasa yesu aliongoza kizazi kipi cha Waafrika na katika wanafunzi wake ulielezwa kuwa alikuwepo kizazi cha Mwafrika?Yesu aliokoa watu aliyokua anawaongoza hadi na vizazi vyao! Hao waliokengeuka na kwenda dini nyingine pengine ndiyo shetan kazini
Kwanini hamjaenda North Korea kuhubiri na huyo marko wako uone cha moto?mbona wanaishi bila injili yenuKaka principle ni hii
Imeandikwa
Marko : 16 : 15 - Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
16 : 16 - Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
Mkubali Yesu kwamba ni mwana wa Mungu
Ukabatizwe. Tofauti na hapo utahukumiwa
Njia angekuwa ni yesu basi tungelikuwatumeshawaona mkienda huko mbinguni kila kukicha ila kwa ujinga mlionao mnawatajirisha wachache kupitia huyo yesuKaka ukitaka mafanikio ya hapa duniani fanya kazi utapata, ukitaka kwenda mbinguni njia ni moja tuu. NI YESU
We unaundugu na mkoloni ukaoane nae au unaimbishwa ngonjera za kibiblia?Duh! Kwahiyo tunaweza oana ndugu?
Kwanini hamjaenda North Korea kuhubiri na huyo marko wako uone cha moto?mbona wanaishi bila injili yenu
Njia angekuwa ni yesu basi tungelikuwatumeshawaona mkienda huko mbinguni kila kukicha ila kwa ujinga mlionao mnawatajirisha wachache kupitia huyo yesu
Sijaelewa unaleta ubishi au ni hoja?Una uhakika injili haijafika huko?