Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

Dah! Umenichekesha! Yesu atarudi hata waislam wanaamini hivyo
Na mara hii akirudi wahuni watampiga Petroli! [emoji2377][emoji2377][emoji2377][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Wakristo bhna mtoto akizaliwa anaambiwa ana dhambi ya Asili sasa mtoto kazaliwa hajui lolote tyr ana dhambi ya Asili sasa uyo alokuja kukuondoleeni.dhambi hiyo.dhambi ya asili hajaiondoa?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Mtoto akikua kidgo ety akabatizwe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sasa kma munaamini kweli mtoto ni.mkristo sasa mnaenda kumbatiza ili iweje yni dini.ya full michongo tuu

Wameshasamehewa dhambi kutoka msalabani apo.apo utasikia Nenda kwa Padri ukatubu dhambi zako [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] yni kiukweli mumepotezwa bhna fikirieni kwa Makini

Kaka principle ni hii
Imeandikwa
Marko : 16 : 15 - Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
16 : 16 - Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.

Mkubali Yesu kwamba ni mwana wa Mungu
Ukabatizwe. Tofauti na hapo utahukumiwa
 
Kaka njia ni moja tuu ya kwenda mbinguni. NI YESU TU.
Utoe shahada,Uswali swali tano,Ufunge swaumu , uwe mchina,mhindu,mfilipino, Bila kumkubali Yesu ukabatizwa, MBINGUNI HUTOBOI.

Maandiko yamekuwapo kabla ya mkoloni kaka, kabla hata mudy hajaminywa pangoni na kiumbe kisichojulikana maandiko yapo. Chaguo ni lako.
Kwani nyie mnaomuabudu yesu ni wajinga na maskini kuliko wachina wasiomuamini yesu?

Wewe ni zombi huna tofauti na zamaradi yesu angekuwa ni njia wote mnaomuabudu mngekuwa na mafanikio kuliko watu wote wasiyomuabudu.

Ila nisikukatalie yawezekana yesu ndiyo mtaji wako kwa wajinga pa kujipatia pesa.

yesu angekuwa njia huko mnakodai alizaliwa wote siwajebarikiwa na kuwa waChrist.

Ujinga ulionao ni wa kujiita mroma,mlutheri,mpentekoste,muAngirikana,n.k wakati wewe ni muAfrika na dini yako ni Afrikana
 
Imeandikwa
Marko : 16 : 15 - Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
Injili ingefika tu hata bila wakoloni
Kwanini hawajaenda kuubiri injili North Korea au huko siyo ulimwenguni na hakuna viumbe wakaja Afrika na kuiba mali zetu kwa nguvu hadi kutupiganisha vita za dunia na utumwa juu.

Tatizo hufikiri akilini mwako bali unakopi kwa waliokulisha ujinga unaoandika na huna hoja.

Huyo yesu wako kwanini waliomtangaza kwenu na kuleta biashara ya utumwa hakuwazuia kufanya biashara hiyo?
 
Baba alimfufua mwanawe.
Huna hoja za msingi zaidi ya kukariri tu novel ya biblia ambayo yesu ni mhusika mkuu na hao mitume wenu ni wahusika wasaidizi na maudhui yake kama ujinga,uwizi,uongo,mapenzi,ubakaji,hujuma,unyonyaji,nk

Iko siku dini ya Afrikana yenye upendo wa kweli itasimama ndani ya Afrika na kuupoteza ujinga mliolishwa ni swala la muda tu.

Yaani mtu unasema yesu ni baba,mungu,mwalimu,nk tena ni njia yenu ya kwenda mbinguni sasa iweje mmuabudu kwa makundi tofauti rc,sda,fpct,lutheran,n.k hauoni kama ni waongo na wanafiki?
 
Kwasasa hana kwahiyo siwezi kujibu hilo swali hewa
Jibu swali liko wazi hilo au mngemuabudu bibi yenu mariamu na bikira yake?

Hata mbwa hawezi kuzaa bila kurolewa bikira au kuna binadamu anazaliwa bila mbegu za x na y na haohao wazungu wamewafundisha hivyo ila bado mnakomaa tu na bikra maria
 
Kwani nyie mnaomuabudu yesu ni wajinga na maskini kuliko wachina wasiomuamini yesu?

Wewe ni zombi huna tofauti na zamaradi yesu angekuwa ni njia wote mnaomuabudu mngekuwa na mafanikio kuliko watu wote wasiyomuabudu.

Ila nisikukatalie yawezekana yesu ndiyo mtaji wako kwa wajinga pa kujipatia pesa.

yesu angekuwa njia huko mnakodai alizaliwa wote siwajebarikiwa na kuwa waChrist.

Ujinga ulionao ni wa kujiita mroma,mlutheri,mpentekoste,muAngirikana,n.k wakati wewe ni muAfrika na dini yako ni Afrikana

Kaka ukitaka mafanikio ya hapa duniani fanya kazi utapata, ukitaka kwenda mbinguni njia ni moja tuu. NI YESU
 
Kwanini hawajaenda kuubiri injili North Korea au huko siyo ulimwenguni na hakuna viumbe wakaja Afrika na kuiba mali zetu kwa nguvu hadi kutupiganisha vita za dunia na utumwa juu.

Tatizo hufikiri akilini mwako bali unakopi kwa waliokulisha ujinga unaoandika na huna hoja.

Huyo yesu wako kwanini waliomtangaza kwenu na kuleta biashara ya utumwa hakuwazuia kufanya biashara hiyo?

Mada imeisha
 
Yesu aliokoa watu aliyokua anawaongoza hadi na vizazi vyao! Hao waliokengeuka na kwenda dini nyingine pengine ndiyo shetan kazini
Sasa yesu aliongoza kizazi kipi cha Waafrika na katika wanafunzi wake ulielezwa kuwa alikuwepo kizazi cha Mwafrika?

Katika biblia yako je umewahi kutana na jina la Kiafrika,Kichina,Kihindi,n.k?

Ujuha ni mzigo,umejikomboa kisiasa bado kiakili,kiuchumi na kijamii na sababu kuwa ni kuendekeza dini za mapokeo na kibaguzi na kuacha dini ya Asili yako ya Afrikana.
 
Kaka principle ni hii
Imeandikwa
Marko : 16 : 15 - Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
16 : 16 - Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.

Mkubali Yesu kwamba ni mwana wa Mungu
Ukabatizwe. Tofauti na hapo utahukumiwa
Kwanini hamjaenda North Korea kuhubiri na huyo marko wako uone cha moto?mbona wanaishi bila injili yenu
 
Kaka ukitaka mafanikio ya hapa duniani fanya kazi utapata, ukitaka kwenda mbinguni njia ni moja tuu. NI YESU
Njia angekuwa ni yesu basi tungelikuwatumeshawaona mkienda huko mbinguni kila kukicha ila kwa ujinga mlionao mnawatajirisha wachache kupitia huyo yesu
 
Back
Top Bottom