olando da costa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 505
- 379
Hhhhhhh Huna hoja kila kiumbe huzaliwa kwenye Uislamu ndo mna mnabatiza watoto wenu ili muwatoe kwnye Uislamu
Lete andiko kwamba kila kiumbe huzaliwa kwenye uislamu tulijadili
Imeandikwa
Matendo ya Mitume : 4 : 12 - Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo.
Muamini Yesu uokolewe, uislamu hautakuokoa