olando da costa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 505
- 379
Je wasiomwamini huyo yesu wenu siyo watu na wamewezaje kufanikiwa katika mambo yao bila yesu?
Maandiko yapo mengi sana kuhusiana na Mungu kila watu wanayo siyo ninyi wafuasi wa yesu tu na yalikuwepo tangia awali kabla hata ya huyo yesu wenu
Kaka umekimbilia North Korea, mara China,Mara waislamu lakini hoja zimekuelemea,
Kilichobaki mkiri Yesu ubatizwe, utaokoka