careenjibebe
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,604
- 1,652
Aseee!Kwa wakati huo Mungu hakutoa katazo. Lakini kwa sasa katazo lipo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aseee!Kwa wakati huo Mungu hakutoa katazo. Lakini kwa sasa katazo lipo.
HujaelewaWe unaundugu na mkoloni ukaoane nae au unaimbishwa ngonjera za kibiblia?
Niache nimezaliwa na kubatizwa pia! Roma!!Sasa yesu aliongoza kizazi kipi cha Waafrika na katika wanafunzi wake ulielezwa kuwa alikuwepo kizazi cha Mwafrika?
Katika biblia yako je umewahi kutana na jina la Kiafrika,Kichina,Kihindi,n.k?
Ujuha ni mzigo,umejikomboa kisiasa bado kiakili,kiuchumi na kijamii na sababu kuwa ni kuendekeza dini za mapokeo na kibaguzi na kuacha dini ya Asili yako ya Afrikana.
Dini ni iman siyo sayansiJibu swali liko wazi hilo au mngemuabudu bibi yenu mariamu na bikira yake?
Hata mbwa hawezi kuzaa bila kurolewa bikira au kuna binadamu anazaliwa bila mbegu za x na y na haohao wazungu wamewafundisha hivyo ila bado mnakomaa tu na bikra maria
Sawa Ndugu ila Usitegemee Mtu Kukuambia Umekombolewa katika Dhambi kwa Yeye Kufa Halafu Bado Unaambiwa Ukatubu.. Unaenda Kanisani kuomba Msamaha tena
Sijui Mungu Kajipatanisha Na Wanadamu. Huyo Mungu anakuogopa Nini wewe kiumbe Mpaka Afanye Yote Hayo. Utadhani wewe ndio kiumbe Pekee Kuliko Viumbe Wengine aliowaumba.
Sina Haja ya Kuuuliza ww. Imejaa Jazba uulizwapoUmeishiwa maswali?
Unaongea upumbavu tu.Jamani nyieeee Mungu hazaliwi nyie
Walokuleteeni iyo dini saivi wanaslimu kwa kasi huko
Nani alimpa mimba mariam ?hujanitajia alomzaa ila m ninavojua alimzaa ni Mariam kwaio Mariam ndo Mungu wa Yesu?
Nani kakwambia kua Waarabu wote ni Waislamu? hlf kwani Waislamu ni Waarabu peke yao? mbona hujasema waislamu wa Nigeria,Russia au brazilUnaongea upumbavu tu.
Kwani hakuna waarabu waislamu wanaookoka ?
Kijana kwn ww unaona nani alompa Mimba Mariam?Nani alimpa mimba mariam ?
Kitabu peke ambacho kuna aya zililiwa na mbuzi"Vitabu" gani?
Qur'an (Criterion) haisemi yote hayo uliyoyaweka. Soma Qur'an kwa kuielewa utaelewa kuwa Yesu ana baba yake kama binadam mwengine yeyote yule.
Vitabu vingine vimeleta porojo na vimetiwa mikono ya watu, Qur'an ndio kitabu pekee kilicho na miaka zaidi ya 1400 na hakijatiwa mkono wa mtu. Kitabu pekee kinahifadhiwa vifuani mwa watu toka kuteremshwa kwake.
Umeshindwa kujibu ...Kijana kwn ww unaona nani alompa Mimba Mariam?
N.b. Maswali mengine hujibiwa kwa Swali ivo ivo
Ndio maana nikakwambia hakuna waarabu waislamu wanaookoka! Hii nimelenga specifically waarabu waislamu.Nani kakwambia kua Waarabu wote ni Waislamu? hlf kwani Waislamu ni Waarabu peke yao? mbona hujasema waislamu wa Nigeria,Russia au brazil
Ingia google apo uliza dini inayokua kwa kasi ni ipi? hlf lete mrejesho hapa
Adam na eva waliwakuta binadamu wapi duniani? Walikuw wengi kama sisi? Je walikuwa na maumbo kama tuliyonayo kwa sasa?Kusoma Biblia hakuwezi kukuokoa anayekuokoa ni Binadamu mwenzako tu. Ukizama majiini utaokolewa, ukipata ajali utaokolewa, Biblia imejaa utunzi wa Binadamu
Ni bora ukakombolewa maana anayekukomboa ni Yule anayekuambia Ukweli. Kumbuka Adam na Hawa si Binadamu wa kwanza Kama Biblia inavyosema mana Adam na Hawa waliwakuta Binadamu Duniani kitu ambacho Biblia haijakisema
Dini ya afrika itapatikana vp ina maana waafrika wataacha tamaduni zao mbalimbali kutoka kwenye makabila yao na kuamua kuunda dini moja kwa afrika nzima?Huna hoja za msingi zaidi ya kukariri tu novel ya biblia ambayo yesu ni mhusika mkuu na hao mitume wenu ni wahusika wasaidizi na maudhui yake kama ujinga,uwizi,uongo,mapenzi,ubakaji,hujuma,unyonyaji,nk
Iko siku dini ya Afrikana yenye upendo wa kweli itasimama ndani ya Afrika na kuupoteza ujinga mliolishwa ni swala la muda tu.
Yaani mtu unasema yesu ni baba,mungu,mwalimu,nk tena ni njia yenu ya kwenda mbinguni sasa iweje mmuabudu kwa makundi tofauti rc,sda,fpct,lutheran,n.k hauoni kama ni waongo na wanafiki?
Kuna mitindo mingi ya jinsi ya kuishi, huo mtindo wa kuishi mnaofundishsna ndio ukoje na una ubora gani kuliko mingine?Kabla Hujapata Kitabu Kuna Mafundisho yanaendelea Kuhusu Asili ya Binadamu na Utu na Elimu ya Jinsi ya Kuishi kama Upo tayari unaweza Kuungwwa Telegram
Kujifunza Hakuna Limit kikubwa Tu Jifunze ukiwa na Akili zako timamu za Kuchambua Ukweli na Uongo. Mwenzako keshaungwa AliyeombaKuna mitindo mingi ya jinsi ya kuishi, huo mtindo wa kuishi mnaofundishsna ndio ukoje na una ubora gani kuliko mingine?
Kama unafikiri vitu vya zamani ndio bora basi nadhani ungeanza kufikiri hata hayo mavazi ya kisasa kuachana nayo na kuamua kuvaa mavazi yetu asili waliyovaa mababu zetu na kuacha na haya mavazi ya watu weupe ya kuletewa.Nipo tayari,Tafadhari naomba uniunge maana nina kiu kubwa sana ya kujifunza ukweli wa kuishi siyo kwa propaganda za dini za kisasa,
Ukitumia akili utajiuliza Hili Swali. Mwandishi Hapo Si Marko wala Si Yesu ila kuna Mtu tu Alikuwa Pembeni ya Mitume na Yesu anajiandikia Anachojisikia.Imeandikwa
Marko : 16 : 15 - Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
Injili ingefika tu hata bila wakoloni
Hujajibu nilichokuuliza.Kujifunza Hakuna Limit kikubwa Tu Jifunze ukiwa na Akili zako timamu za Kuchambua Ukweli na Uongo. Mwenzako keshaungwa Aliyeomba