Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

Nipo tayari,Tafadhari naomba uniunge maana nina kiu kubwa sana ya kujifunza ukweli wa kuishi siyo kwa propaganda za dini za kisasa,
Mzee google tu vipo vitabu vingi tu mtandaoni utasoma na kuelewa vizuri dini ya Afrika inayosimamia Upendo na Amani
 
FabNXTzqEtcgazfbjjfo huyu mwamba nimemfatilia sana kwenye comments zake zote nimeona na kuamini yupo sahihi kbs,sasa kinachotakiwa atupe hiyo elimu ya jinsi ya kuishi kulingana na wazee wetu ili tuondokane na mambo yanayokupotosha,
 
Unaweza kugoogle African Religion utapata maandiko mengi na ya msingi tu yapo
 
Amri za nini wakati Dhambi zishafutwa
Mkuu dhambi zinafutwa kwa kumkiri Yesu kuwa ni Bwana na Mwokozi wa maisha yako..dhambi aifuti kwa sababu ww ni mkristo lazm umkiri Yesu Kristo
Ivi unajua agano la kale walikuwa wanatumia damu za wanyama kuingia hekaluni kufuta dhambi? Je uo mfumo ungekuwa mpk saiv ingekuwaje tulivyo wengi ivi duniani? Ndo maan Mungu akafanya wepesi wakumtoa mwanae ili kila atakaje kuingia hekaluni mwa MUNGU popote alipo anatumia Damu ya Yesu Kristo..
Damu ndo inaunganisha mwili na roho ndo maana kuna watu wanenda kwa waganga ili wafanikiwe ni lazma watoe damu either ya kuku,mbizi etc ili wawezi kuunganisha na roho za kishetani za mafanikio
Fanya ivi..nenda kwa mganga afu ukiwa nae sema nanyunyiza damu ya Yesu Kristo apa uone kama ajakukimbiza au kukumaliza kabisa
 
Kweli maadui wa Mwafrika ni Ujinga,maradhi na umasikini,hiyo damu ta yesu uliwahi ishuhudia au ni hayo madivai na wine mnakunywa makanisani ndiyo umeamini kabisaa ni damu ya yesu?

Damu ya yesu inapatikana baa na viwandani?chizi kweli nyie!!!
 
Hiv siwatakuwa wameandika haohao watesi wetu maana km waliamua kuipoteza kbs,
Hapana wameandika Waafrika katika Afrocentric views na wameandika Wazungu katika Eurocentric views mfano wa waAfrika ni Bw Mbiti- Mkenya ambaye alikuwa askofu wa Angrikana

Inataka akili sana kuuelewa uAfrika siyo juu juu tu kama ulivyo ukristu.

Ujinga wa mwafrika anashindwa hata kujua uongo uliotumika juu ya jesus christ ikimaanisha yesu wa bw kristo sasa ni Mwafrika yupi ni zao la christ au christian?

Mentaslavery ni ugonjwa mbaya sana unaowaandama waafrika!!!
 
Mkuu dhambi zinafutwa kwa kumkiri Yesu kuwa ni Bwana na Mwokozi wa maisha yako..dhambi aifuti kwa sababu ww ni mkristo lazm umkiri Yesu Kristo
Ndugu Unakuwaje Mkristo bila Kumkiri Yesu sasa. Wakristo wote si Washamkiri Ndio maana Ni wanaitwa waKristo (Wake Kristu)

Ivi unajua agano la kale walikuwa wanatumia damu za wanyama kuingia hekaluni kufuta dhambi? Je uo mfumo ungekuwa mpk saiv ingekuwaje tulivyo wengi ivi duniani? Ndo maan Mungu akafanya wepesi wakumtoa mwanae ili kila atakaje kuingia hekaluni mwa MUNGU popote alipo anatumia Damu ya Yesu Kristo..
Ndugu yangu huonj unajipotosha Wewe mwenyewe na Kuilazimisha Akili yako Iamini Uongo.

Kwa Maelezo hayo utamjibuje Huyu Mtu atakayekuuliza mambo haya
1. Je Mungu wako anabadilika Badilika Na Kubali taratibu zake za Kuabudiwa. Leo anataka Damu kesho anataka Kitu Kingine

2. Kama Mungu alisema Mmtolee Damu hakujua Watu wataongezeka

3. Kama Wakosaji ndio walikuwa wanatoa Sadaka. Mungu Yeye alikosea Nini Mpaka Akamtoa Mwanae Sadaka. Hiyo Sadaka Ilikuwa kwa Ajili ya Nini. Maana Dhambi hazijaisha na Zinaendelea

Damu ndo inaunganisha mwili na roho ndo maana kuna watu wanenda kwa waganga ili wafanikiwe ni lazma watoe damu either ya kuku,mbizi etc ili wawezi kuunganisha na roho za kishetani za mafanikio
Fanya ivi..nenda kwa mganga afu ukiwa nae sema nanyunyiza damu ya Yesu Kristo apa uone kama ajakukimbiza au kukumaliza kabisa

Ndugu naona Unaongea Mambo Usiyoyajua. Omba Kueleweshwa Kuhusu Sadaka za Damu kwanza. Ukitaka Kujua Jambo Achana Na Ma Imani ya Kuletewa Anza Kushirikisha Kwanza Akili Timamu
 
FabNXTzqEtcgazfbjjfo huyu mwamba nimemfatilia sana kwenye comments zake zote nimeona na kuamini yupo sahihi kbs,sasa kinachotakiwa atupe hiyo elimu ya jinsi ya kuishi kulingana na wazee wetu ili tuondokane na mambo yanayokupotosha,
Nimeku PM ndugu
 
Kichwa panzi umejibiwa hapa ila unarudia maswali kitoto
Sawa Ndugu ila Usitegemee Mtu Kukuambia Umekombolewa katika Dhambi kwa Yeye Kufa Halafu Bado Unaambiwa Ukatubu.. Unaenda Kanisani kuomba Msamaha tena

Sijui Mungu Kajipatanisha Na Wanadamu. Huyo Mungu anakuogopa Nini wewe kiumbe Mpaka Afanye Yote Hayo. Utadhani wewe ndio kiumbe Pekee Kuliko Viumbe Wengine aliowaumba.
 
Umeishiwa maswali?
 
Kwamba Mariam hakuwa bikra, show ziliwahi kupigwa baina na Yosephu na Maria kabla, Yosephu hajampiga Maria mimba ya Yesu. Okay!
 
Back
Top Bottom