Mkuu dhambi zinafutwa kwa kumkiri Yesu kuwa ni Bwana na Mwokozi wa maisha yako..dhambi aifuti kwa sababu ww ni mkristo lazm umkiri Yesu Kristo
Ivi unajua agano la kale walikuwa wanatumia damu za wanyama kuingia hekaluni kufuta dhambi? Je uo mfumo ungekuwa mpk saiv ingekuwaje tulivyo wengi ivi duniani? Ndo maan Mungu akafanya wepesi wakumtoa mwanae ili kila atakaje kuingia hekaluni mwa MUNGU popote alipo anatumia Damu ya Yesu Kristo..
Damu ndo inaunganisha mwili na roho ndo maana kuna watu wanenda kwa waganga ili wafanikiwe ni lazma watoe damu either ya kuku,mbizi etc ili wawezi kuunganisha na roho za kishetani za mafanikio
Fanya ivi..nenda kwa mganga afu ukiwa nae sema nanyunyiza damu ya Yesu Kristo apa uone kama ajakukimbiza au kukumaliza kabisa