Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

Sasa mbona unakuja kuuliza maswali tena ya vitu unavyovijua au unataka ubishi ila wewe ukiulizwa hayo unayoyaamini unasema italeta ubishi unataka tusome kabisa course.
Kuuliza Ni Hulka ya Binadamu. Martin Luther Asingeuliza maswali huko RC Na Yeye alikuwa Anaijua Biblia vizuri Wakristo wasingegawanyika

Watu wengi Wamepotoshwa ndio maana Leo hii unaona Wakristu wamegawanyika. Kugawanyika Huko ni kwa Sababu wanatafuta Ukweli na Hawajawahi Upata Ukweli.. Kama Wewe huwa Uulizi Maswali Unaamini Tu Kinachokuja Mbele yako Basi Utakuwa Hutumii Akili yako Vizuri katika Kuishi na Utaharibikiwa na Mengi maishani
 
Ukitumia akili utajiuliza Hili Swali. Mwandishi Hapo Si Marko wala Si Yesu ila kuna Mtu tu Alikuwa Pembeni ya Mitume na Yesu anajiandikia Anachojisikia.

Neno Akawaambia linakupa Upeo kwamba Aliyesema Hayo si Mtume wa Yesu na Wala Si Yesu. Kama Angekuwa Mtume angeandika "AKATUAMBIA TWENDE TUKAENEZE ULIMWENGUNI" na Kama Angekuwa Nj Yesu mwenyewe angesema NIKAWAAMBIA WAENDE KUENEZA ULIMWENGUNI "

Hebu tuambie wewe aliyesema hayo maneno ni nani?
 
Nimeshakuambia Hapo Juu

1. Kuna Mafunzo ya Mwanzo Ulikuwaje
2. Kuna Mafunzo ya Asili ya Makabila mbalimbali
3. Kuna Mafunzo ya Mungu
4. Kuna Mafunzo ya Utu na Jinsi ya Kuishi
5. Kuna Mafunzo ya Aina Mbalimbali za Mbingu
6. Kuna Mafunzo ya Magonjwa
7. Kuna Mafunzo ya Jinsi ya Kusali n.k

Tatizo Lako ndugu ni Moja Hutaki Kujifunza Maana Kuna Kitu kimekushikilia. Hakuna Mtu anayekulazimisha Wala Kukutisha Kwamna Sijui utachomwa Moto au Unatafanywa Hivu Usipoamini huko ni Kujifunza Kuamini ni Juu yako.
Ndio maana mwanzo kabisa nikasema kuwa kuna mitindo mingi ya jinsi ya kuishi ndipo nikakuuliza kwani huo mtindo mnaofundishana huko una ubora gani kuliko mitindo mengine iliyopo? Ila mkuu hauelezi huo mtindo una mazuri gani ili mtu ashawishike kujifunza katika maelfu ya mitindo mengine iliyopo.

Halafu si mbaya ukatoa vidokezo tu kwenye hayo mafunzo ya kusali nipate mwanga yanafananaje.
 
Hebu tuambie wewe aliyesema hayo maneno ni nani?
Umeweka Injili ya Marko hapo Juu ambayo Ndio Injili Fupi kuliko zote. Hata Kanisa lako halijui ni Nani Hasa Aliyeandika Hiyo Injili na Wana Bashiri kuwa Ni Mtu ambaye alikuwa anafahamiana Na Viongozi tu Wa Kikristu. Na ni Mtu aliyeandamana na Barnaba na Paulo ila Paulo na Barbana Walipogombana Alienda kuandamana Na Barnaba. SOMA utangulizi wa Injili Mbalimbali utajua Ukweli

Hawa Hawakuwa Wafuasi wa Kristo walikuwa Watu tu wa Pembeni ambao hata Yesu Mwenyewe hawakumuona Ila Wanaandika vitu Walivyosimuliwa Tu bila Ushahidi
 
Kuuliza Ni Hulka ya Binadamu. Martin Luther Asingeuliza maswali huko RC Na Yeye alikuwa Anaijua Biblia vizuri Wakristo wasingegawanyika

Watu wengi Wamepotoshwa ndio maana Leo hii unaona Wakristu wamegawanyika. Kugawanyika Huko ni kwa Sababu wanatafuta Ukweli na Hawajawahi Upata Ukweli.. Kama Wewe huwa Uulizi Maswali Unaamini Tu Kinachokuja Mbele yako Basi Utakuwa Hutumii Akili yako Vizuri katika Kuishi na Utaharibikiwa na Mengi maishani
Vizuri sana na ndio maana hata mimi hapa nakuuliza maswali ila ajabu unasema nitaleta ubishi na kutaka nikajiunge na kozi kabisa yani hautaki niulize.
 
Ndio maana mwanzo kabisa nikasema kuwa kuna mitindo mingi ya jinsi ya kuishi ndipo nikakuuliza kwani huo mtindo mnaofundishana huko una ubora gani kuliko mitindo mengine iliyopo? Ila mkuu hauelezi huo mtindo una mazuri gani ili mtu ashawishike kujifunza katika maelfu ya mitindo mengine iliyopo.

Halafu si mbaya ukatoa vidokezo tu kwenye hayo mafunzo ya kusali nipate mwanga yanafananaje.

Ok Vidokezo

1. Mungu Hamsaidii binadamu katika Kuishi kwake. Riziki zinatolewa na Binadamu wenzake pamoja na Viumbe vingine waliopata Kuishi

2. Mungu hamkasirikii Binadamu na Mungu ana Enzi na Viumbe wake tu hana Kiumbe anachokipenda Wala Kukichukia

3. Binadamu anatakiwa Kujijua Mwenyewe kwanza Na Utu wake kabla Hajaanza Kujua Habari za Viumbe wengine kama Malaika n.k

Hayo ni Baadhi
 
Umeweka Injili ya Marko hapo Juu ambayo Ndio Injili Fupi kuliko zote. Hata Kanisa lako halijui ni Nani Hasa Aliyeandika Hiyo Injili na Wana Bashiri kuwa Ni Mtu ambaye alikuwa anafahamiana Na Viongozi tu Wa Kikristu. Na ni Mtu aliyeandamana na Barnaba na Paulo ila Paulo na Barbana Walipogombana Alienda kuandamana Na Barnaba. SOMA utangulizi wa Injili Mbalimbali utajua Ukweli

Hawa Hawakuwa Wafuasi wa Kristo walikuwa Watu tu wa Pembeni ambao hata Yesu Mwenyewe hawakumuona Ila Wanaandika vitu Walivyosimuliwa Tu bila Ushahidi

Nauliza tena yale maneno ni ya nani?
 
Vizuri sana na ndio maana hata mimi hapa nakuuliza maswali ila ajabu unasema nitaleta ubishi na kutaka nikajiunge na kozi kabisa yani hautaki niulize.
Uwanja Ni wako Uliza Maswali upendavyo sijakukataza. Kikubwa Nimekushauri kwamba Si kila Jambo lina Majibu mafupi yatakayoweza Kuandikwa Tu humu Yakamalizika.. Na Kumbuka binadamu Pia Tuna kazi Si Kila Saa Nitakuwa naandika Ila Ukipewa sehemu ya Kujifunza Utapata Uwanja mpana wa Kujifunza. Ndio mana Nikatolea Mfano Dini Zote zina mahala pa Kwenda kujifunzia (madrasa.. Sunday school) n. K n. K
 
Ndio maana nikakwambia hakuna waarabu waislamu wanaookoka! Hii nimelenga specifically waarabu waislamu.

Halafu unashangaa nini dini isikuwe kama mnazaliana kwa wingi kama simbilisi na kuoa zaidi ya mke mmoja ?

Use your common sense

Kwa kutumia hii argument yako unasema unabii wa mtume wako ni uongo kwa kuwa alitabiri uislamu utarudi kuwa kundi dogo , hivyo kati yenu kuna mmoja ni muongo
Uelewa wako finyu ndo umefahamu ivo.iyo.hadith na kuna sura kule inasema wataingia kwenye dini ya kiislamu makundi kwa makundi sasa kma huelewi ni bora kuuliza
 
Nauliza tena yale maneno ni ya nani?
Ni ya Muandishi Marko. Ndio maana Unaona neno AKAWAAMBIA Kama Angekuwa Mtume Ndie Kaandika Angesema AKATUAMBIA

HAWA WALIKUWA WANAFUNZI WA YESU

Petro, Andrea, Yakobo, Yohana, Filipo, Bartholomayo, Tomasi, Mathayo, Yakobo mwana wa Alfayo, Thadayo, Simoni, na Yuda Iskariote.

HAPO MARKO HAYUPO.. kwahiyo huyo marko kaandila Vitu ambavyo hakuvishuhudia
 
Ndio maana nikakwambia hakuna waarabu waislamu wanaookoka! Hii nimelenga specifically waarabu waislamu.

Halafu unashangaa nini dini isikuwe kama mnazaliana kwa wingi kama simbilisi na kuoa zaidi ya mke mmoja ?

Use your common sense

Kwa kutumia hii argument yako unasema unabii wa mtume wako ni uongo kwa kuwa alitabiri uislamu utarudi kuwa kundi dogo , hivyo kati yenu kuna mmoja ni muongo
hlf mtume hajasema itarudi kua ndogo bali itarudi ngeni kma ilivokuja
kma huelewi sema ueleweshwe ujuaji sio mzuri

hao walokuleteeni iyo.dini.saivi wanasilimu kwa kasi uko
 
Nani kakwambia kua Waarabu wote ni Waislamu? hlf kwani Waislamu ni Waarabu peke yao? mbona hujasema waislamu wa Nigeria,Russia au brazil

Ingia google apo uliza dini inayokua kwa kasi ni ipi? hlf lete mrejesho hapa

Kukua kwa kasi hapo nisawa na kuongelea developing country na developed country, kukua kwa kac haimaanishi utampita yule aliyeshakua

Kitu kinachonikera kuhusu hiyo dini yenu
Ugaidi
Kuforce watu wengine waamini wanachokiamin nyie
Na kukosoa imani za wengine

Wengi wenu huku hamfundishi bali mnaicrash bible

Wakat bible imekuwepo miaka 600 kabla ya huyo mtume wenu ndio maana bible hauijazungumzia kuhusu quran
Lakin quran imezungumzia machache ambayo pia yanapatikana kwenye bible

Ni bora ww ulipata nafac ya kusoma bible kwa lugha yenu na kuielewa ili uikosoe ingeandika kiebrania sijui ungekua unasema nn saa iz
Ss hatujui kiarabu bhana na Mungu wetu anajua kusoma na kusikia lugha zote
 
Kusoma Biblia hakuwezi kukuokoa anayekuokoa ni Binadamu mwenzako tu. Ukizama majiini utaokolewa, ukipata ajali utaokolewa, Biblia imejaa utunzi wa Binadamu

Ni bora ukakombolewa maana anayekukomboa ni Yule anayekuambia Ukweli. Kumbuka Adam na Hawa si Binadamu wa kwanza Kama Biblia inavyosema mana Adam na Hawa waliwakuta Binadamu Duniani kitu ambacho Biblia haijakisema
Duhh hii mpya. Kwahiyo binadamu wa kwanza ni Zinjanthropus wa kule Olduvai Gorge
 
hlf mtume hajasema itarudi kua ndogo bali itarudi ngeni kma ilivokuja
kma huelewi sema ueleweshwe ujuaji sio mzuri

hao walokuleteeni iyo.dini.saivi wanasilimu kwa kasi uko

Hao wanaoslimu kwa kasi ni wap?
Leta ushahid
 
Leta mstari wa hilo neno hapa nacc tuone hiyo error

Basi, akawaambia, “Nendeni ulimwenguni kote mkahubiri Habari Njema kwa kila mtu. Basi, Bwana Yesu alipokwisha sema nao, akachukuliwa mbinguni, akaketi upande wa kulia wa Mungu.

Marko 16:15‭, ‬19
 
Ni ya Muandishi Marko. Ndio maana Unaona neno AKAWAAMBIA Kama Angekuwa Mtume Ndie Kaandika Angesema AKATUAMBIA

HAWA WALIKUWA WANAFUNZI WA YESU

Petro, Andrea, Yakobo, Yohana, Filipo, Bartholomayo, Tomasi, Mathayo, Yakobo mwana wa Alfayo, Thadayo, Simoni, na Yuda Iskariote.

HAPO MARKO HAYUPO.. kwahiyo huyo marko kaandila Vitu ambavyo hakuvishuhudia

Umesema vyema
Maneno ni kama yalivyoandikwa na Marko.
Swali lingine
 
Kuna kundi la watu ambao hawajui lakini wanajifanya wanajua. Wewe upo kwenye Hilo kundi. Unaishambulia Biblia na kusema Ni uongo. Jiulize ni kwanini Yesu au Issa anatajwa Sana kwenye Quran?.
Yesu hakupewa Biblia ya waandishi wengi ,Bali alipewa Injili
 
Back
Top Bottom