FamousinTown
Member
- Aug 15, 2021
- 61
- 37
Mungu ni Mmoja wa pekee hana mbadala wala mshirika rudi ktk sheria za Mungu Ndimi muabudu bwana Mungu wako wala usimshirikishe na mwingine wala hana mshirika ,hao washirika watatu na Mungu mnawatoa wapi ?Wewe Ni dhehebu gani mpaka useme Yesu sio Mungu?. Msingi wa Ukristo Ni utatu Mtakatifu. Mungu Baba, Mungu Mwana na Roho Mtakatifu. Kama huamini hilo wewe utakuwa sio mkristo Bali dini nyingine au cult.