FabNXTzqEtcgazfbjjfo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 1,486
- 1,874
- Thread starter
- #1,041
Kuuliza Ni Hulka ya Binadamu. Martin Luther Asingeuliza maswali huko RC Na Yeye alikuwa Anaijua Biblia vizuri Wakristo wasingegawanyikaSasa mbona unakuja kuuliza maswali tena ya vitu unavyovijua au unataka ubishi ila wewe ukiulizwa hayo unayoyaamini unasema italeta ubishi unataka tusome kabisa course.
Watu wengi Wamepotoshwa ndio maana Leo hii unaona Wakristu wamegawanyika. Kugawanyika Huko ni kwa Sababu wanatafuta Ukweli na Hawajawahi Upata Ukweli.. Kama Wewe huwa Uulizi Maswali Unaamini Tu Kinachokuja Mbele yako Basi Utakuwa Hutumii Akili yako Vizuri katika Kuishi na Utaharibikiwa na Mengi maishani