Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

Je wasiomwamini huyo yesu wenu siyo watu na wamewezaje kufanikiwa katika mambo yao bila yesu?

Maandiko yapo mengi sana kuhusiana na Mungu kila watu wanayo siyo ninyi wafuasi wa yesu tu na yalikuwepo tangia awali kabla hata ya huyo yesu wenu

Kaka umekimbilia North Korea, mara China,Mara waislamu lakini hoja zimekuelemea,
Kilichobaki mkiri Yesu ubatizwe, utaokoka
 
Nimeuliza je wasiomwamini huyo yesu wenu wao siyo watu na hawana sifa ya kuwa wana wa Mungu au hawakuumbwa na Mungu?
 
Ili uwe mwana wa Mungu lazima umpokee Yesu.
Imeandikwa
Yohana : 1 : 12 - Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake;

Je wewe ni mwana wa Mungu?
 
Una akili timamu kweli wewe?ina maana watu wote wasiomwamini yesu siyo wana waMungu????

Ni kipi wewe unaemwabudu yesu unacho na ambacho hana asiyemwabudu yesu??

Maneno yako ni ya kibaguzi kulingana na wakoloni walivyouleta ukristu ili kuwabagua na kuwagawa Waafrika.

Viumbe wote duniani ni wa Mungu na aliwabariki siku moja na kwa pamoja hayo maandiko mnatoyaabudu ni novel tu mnajifurahisha.

Yohana ni nani katika Afrika hii?
 
Kaka leta andiko linalopinga andiko nililotoa sio vioja,
Umeng’ang’ania sana wakoloni wakati maandiko yalikuwepo kabla wakoloni.

Nasubiri andiko
 
We ni mjinga sana maandiko yapi yaliyokuwepo kabla ya ukoloni hapa Afrika na yalihusu dini zipi?

Tafuta hiyo 2 edition kisha urudi 1 edition utajiona ni jinsi gani wewe ni juha.

Unapinga ukristu haujaletwa na wakoloni hapa Afrika kwa sababu tu ni mfuasi wa yesu na biblia?
2022_03_08_20.02.13.jpg
2022_03_08_20.02.22.jpg
2022_03_08_20.03.03.jpg
 
Kabla Hujapata Kitabu Kuna Mafundisho yanaendelea Kuhusu Asili ya Binadamu na Utu na Elimu ya Jinsi ya Kuishi kama Upo tayari unaweza Kuungwwa Telegram

Nipo tayari,Tafadhari naomba uniunge maana nina kiu kubwa sana ya kujifunza ukweli wa kuishi siyo kwa propaganda za dini za kisasa,
 
Back
Top Bottom