Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

Hhhhhhh Huna hoja kila kiumbe huzaliwa kwenye Uislamu ndo mna mnabatiza watoto wenu ili muwatoe kwnye Uislamu

Lete andiko kwamba kila kiumbe huzaliwa kwenye uislamu tulijadili
Imeandikwa
Matendo ya Mitume : 4 : 12 - Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo.
Muamini Yesu uokolewe, uislamu hautakuokoa
 
Kaka principle ni hii
Imeandikwa
Marko : 16 : 15 - Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
16 : 16 - Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.

Mkubali Yesu kwamba ni mwana wa Mungu
Ukabatizwe. Tofauti na hapo utahukumiwa
Yesu alijua kusoma na kuandika. Mbona hana kitabu chake mwenyewe? Na kwanini Aandikiwe na Waandishi ambao si mitume wake wala hawakuwa karibu naye
 
Mi nimekuuliza wewe mwenyewe kuwa Je! Ile Pesa Unayoambiwa utoe km sadaka unaamini inaenda kwa Mungu?
Hapa tutazunguka mpaka kesho..., Imani ni ya mtu binafsi hata mimi kama naamini mzimu wa Babu yangu upo kwenye huu mkufu niliovaa (hata kama ni kweli au sio kweli hio ni Imani yangu) Kutokuamini au kuamini kwangu hakufanyi iwe kweli au sio kweli....

Thus kubishania Imani ni jambo gumu sababu ni Imani..... sio Sayansi... unless kama nyote mnaamini kitabu fulani thus mnabishania maandiko ya hicho kitabu sio authenticity ya hicho kitabu (sababu hata ukweli wa hicho kitabu pia ni Imani)
 
Sasa mtu binafsi anaweza amini dunia ni tambalale je kweli dunia ipo flat?
 
Sawa Ni Imani ndugu Yangu ila Imani Bila Akili Timamu kuishirikisha Unakuwa Unaharibikiwa maisha Yako.

Mfano Unatoa Pesa Yako Ila wao Wanasema "EH MUNGU POKEA SADAKA HII mikononi Mwako" halafu baadae Unaona Wanajenga Mashule, maofisi,wananunua Mashamba,wananunua Magari, wanajenga Apartment n.k n.k Hapo Utasema Ni IMANI tu ndugu yangu umewasikia Wakisema Mungu Apokee Sadaka ila Sadaka zako na Shukrani zako.. Na Harambee zinaenxa Kufanya Mambo ambayo unajua Kabisa Hayahusiani na Mungu
 
Kwa wakati huo Mungu hakutoa katazo. Lakini kwa sasa katazo lipo.
Kwa Akili yako Tu timamu Ndugu yangu Unamsubiri Mungu akukataze. Kwahiyo Kusingekuwa na Katazo Wewd ungefanya Lolote Bila Akili

Unadhani Mungu Baada ya Kuweka Amri Kumi basi ndipo Dhambi zikaanza!?
 
Kaka mkubali yesu uokolewe, hamna sehemu kwenye hilo andiko ambako kunasema injili haijahubiriwa na ndio maana wakristo wanauawa kwa maana WAPO.
Imeandikwa
Matendo ya Mitume : 4 : 12 - Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo.
Je wasiomwamini huyo yesu wenu siyo watu na wamewezaje kufanikiwa katika mambo yao bila yesu?

Maandiko yapo mengi sana kuhusiana na Mungu kila watu wanayo siyo ninyi wafuasi wa yesu tu na yalikuwepo tangia awali kabla hata ya huyo yesu wenu
 
Sasa mtu binafsi anaweza amini dunia ni tambalale je kweli dunia ipo flat?
Dunia can be proved kwamba sio flat..., that is Sayansi Mambo ambayo hayahitaji proof wala hayasikilizi Proof bali yanatumia vitu abstract wala bila logic ni vigumu kufikia conclusion....

Sasa kama mtu akikwambia kwamba ni kweli dunia ni tambalale wewe unavyoona tofauti ni Shetani amekupofusha unaona vitu ambavyo havipo hapo kweli kuna any room ya kukubaliana ?

Ndio maana mara nyingi mimi huwa ninabishana / ninaongelea logic..., kwenye Imani ninamuachia mtu anachokiamini..., Ukiamua unaweza kuamini chochote kile
 
Wanaoamini ni kwamba wanaamini hivyo..., ni vigumu kubishana na Imani ya mtu
Kuna kuamini ujinga kama huu mnaiamini na kunakuakini uhalisia kuwa sote tutakufa,huwezi kuaminishwa ujinga kwa wakati wote wewe utakuwa siyo mtu kamili
 
Sawa Ni Imani ndugu Yangu ila Imani Bila Akili Timamu kuishirikisha Unakuwa Unaharibikiwa maisha Yako.

Mfano Unatoa Pesa Yako Ila wao Wanasema "EH MUNGU POKEA SADAKA HII mikononi Mwako" halafu baadae Unaona Wanajenga Mashule, maofisi,wananunua Mashamba,wananunua Magari, wanajenga Apartment n.k n.k Hapo Utasema Ni IMANI tu ndugu yangu umewasikia Wakisema Mungu Apokee Sadaka ila Sadaka zako na Shukrani zako.. Na Harambee zinaenxa Kufanya Mambo ambayo unajua Kabisa Hayahusiani na Mungu
In the end its all about peace of Mind..., Pesa ni Makaratasi na unazitafuta ili kukidhi needs and wants..., na katika hizo needs ni wewe roho kufarijika na kufurahia.., sasa kama watu wanakupa hio peace of Mind who is I to say Otherwise....

Kuna waliosema Religion is the Opium of the Mass..., Sasa kama hao wanaotoa pesa huko na kuamini na kuwanfanya wasibughudhi wengine kwa kutenda wema kwa uoga wa kuchomwa moto siku ya mwisho (to me kama mwanajamii its all good)

Tatizo ninaloliona ni hii indoctrination ya watu kuamini tu hivyo kuacha kuchunguza na kugundua mwisho wa siku wote tukiwa hivyo kama Taifa tutadumaa (kutakuwa hakuna ugunduzi na uboreshaji) hakuna kuhoji....
 
Kwa Akili yako Tu timamu Ndugu yangu Unamsubiri Mungu akukataze. Kwahiyo Kusingekuwa na Katazo Wewd ungefanya Lolote Bila Akili
Wee jamaa una upumbavu kumbe? kwamba wachina wote wanaoabudu masanamu yao yale hawana akili?! heshimu imani za watu unang'ang'ana na wakristo kwani huoni wahindi au waislam?
 
Kuna kuamini ujinga kama huu mnaiamini na kunakuakini uhalisia kuwa sote tutakufa,huwezi kuaminishwa ujinga kwa wakati wote wewe utakuwa siyo mtu kamili
Wajinga ndio waliwao, Acha watu watoe sadaka 3 kwa ibada moja watu wajenge na kununua v8 mkuu.
 
Kuna kuamini ujinga kama huu mnaiamini na kunakuakini uhalisia kuwa sote tutakufa,huwezi kuaminishwa ujinga kwa wakati wote wewe utakuwa siyo mtu kamili
Mtu kamili ni yupi... ?

Uzuri wa Sayansi ukikosea au akija mwingine na Proof nzuri zaidi unakubali kwamba nilikosea na unachukua facts mpya kama ndio facts ambazo zipo open to be questioned na kuboreshwa...

Tatizo kubwa la Imani ukishakuwa na Imani ni Umeamini sikija facts tofauti na ulichoamini unabadilisha narration ili iendane na facts mpya au unasema huenda zile narration za mwanzo hukuzielewa....

Kwahio mimi binafsi naona the only safe way ni kutokuchanganya the two (tuichukulie Imani kama Imani) na mambo yanayohitaji facts twende kwa logic na tuwe factual (yaani kama vile Nchi yetu ambavyo haina Dini tuendelee hivyo) kila mtu na Imani yake kwa wakati wake tukikutana wote tujikite kwenye facts...
 
Back
Top Bottom