Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

Sijaelewa unaleta ubishi au ni hoja?

Jaribu kugoogle "North Korea:maisha na sheria zake"

Pia jaribu kuwa bookish siyo kukalia biblia tu

Religion in North Korea (2020)[1]

No Religion (71.30%)
Others Religion (Including Chondoism and Korean religion) (12.90%)
Folk religions (12.30%)
Christianity (2.00%)
Buddhism (1.50%)

Soma hiyo na urudi tena kusema injili haijafika North Korea.
 
Soma vitu current achana na ushabiki wa dini za mapokeo na ukoloni
 

Attachments

  • 2022_03_08_00.04.48.jpg
    63.5 KB · Views: 6

Kwanza ww unatuambia hayo ukiwa dini gani usikute unaangaika na bible while yako yamekushinda
Alaf haya mambo ni imani na imani hauwezi kuitafsiri kiuwanadamu, ww kama unaami hivyo ni sawa
Vitu vingi kwenye hizi dini zetu ukifikiria kwa akili ya kawaida utaona kuna mapungufu mengi ya maelezo
So kama umeamua kuiamini iamini with no questions
 
Kama Yesu ni Mungu Alikuwa Anaomba nini Mlimani na Wanafunzi wake. Kama Yeye ni Mungu inatakiwa asiombe Chochote

Ww bibilia hujaisoma vizuri ukaelewa
Kwenye bible kuna
Mungu baba
Mungu mwana na Mungu Roho mtakatifu
Yesu alifanyika mwana akaja akakaa kwetu

Mtoto wa nyoka ni nyoka so mtoto huyo hawezi muomba baba yake?
 
Unataka kusema ni mtoto wa Mungu? [emoji23][emoji23]
Viumbe wote duniani ni watoto wa Mungu siyo yesu tu na kila kiumbe kina baba,mama na mtoto na hana ubaguzi kama mlivyo nyie walishwaji
 
Ww bibilia hujaisoma vizuri ukaelewa
Kwenye bible kuna
Mungu baba
Mungu mwana na Mungu Roho mtakatifu
Yesu alifanyika mwana akaja akakaa kwetu

Mtoto wa nyoka ni nyoka so mtoto huyo hawezi muomba baba yake?
Wewe ndiyo ovyo hujui hata unachokijua!!
 
Stories za dini ya kikuristo ni fix hazileti mantiki kwa normal reasoning person.

Sio stori za kikristo, any normal brain haiwezi kutafsiri imani hata iwe uislam uhindu or whatever
Wewe na hiyo dini yako unamuamini Mungu?
If yes hiyo normal reasoning brain yako inakuambia nn wakati unaomba? Kuna Mungu anaekusikia while kwa normal thinking homuoni wala humjui
So vitu vya imani let us believe it not question it
Coz ukijaribu kuchimbua zaidi kwa akili zako hata huyo Mungu unae muamini utajikuta unamuacha
 
Mkuu, umeuliza swali zuri sana lakini based on vitabu vilivyotungwa na watu kusingizia ni vya Mungu (tukufu). Mungu hajatunga wala kumpa mtu haya kwenye vitabu. Ukijuwa historia ya dini jinsi zilivyotungwa na watu ni mshangao tupu.
 
Soma vitu current achana na ushabiki wa dini za mapokeo na ukoloniView attachment 2142622View attachment 2142623

Kaka mkubali yesu uokolewe, hamna sehemu kwenye hilo andiko ambako kunasema injili haijahubiriwa na ndio maana wakristo wanauawa kwa maana WAPO.
Imeandikwa
Matendo ya Mitume : 4 : 12 - Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo.
 
Ww bibilia hujaisoma vizuri ukaelewa
Kwenye bible kuna
Mungu baba
Mungu mwana na Mungu Roho mtakatifu
Yesu alifanyika mwana akaja akakaa kwetu

Mtoto wa nyoka ni nyoka so mtoto huyo hawezi muomba baba yake?

Kwahiyo Yesu ni Mtoto wa Mungu au Mungu?
 
Ndivyo mlivyopumbazwa Kiasi cha Kwamba Kitu kinaeleweka Kabisa Kwamba Ni Cha Uongo na Ni Kufuru ila mnalazimisha Eti kwa Akili Ya Kawaida huwezi Elewa.

Viumbe hao ndio wamewavaa Akili zenu ili zisiwe kufikiria. Yaani Nione umesema Kikombe halafu mimi nitafsiri Bakuli na Siyo Kikombe.

Yesu alifia Msalabani kwa Sababu alienda Kinyume na Sheria za Wayahudi na Waonwalitumia Sheria ya Musa ambayo ndio Hukumu ya Mungu. So Yesu alifia Msalabani kwa Sheria ya Mungu iliyoandikwa

1. Ilikuwa nj Kufuru Kusema Wewe ni Mtoto wa Mungu

2.ilikuwa Ni Kufuru Kujifananisha Na Mungu

3. Kulingana na Wayahudi Mungu Pekee Ndie Aliyekuwa anasamehe Dhambi kwa Kuchinja Beberu mmoja Mzaliwa Wa Kwanza katika wanyama hao
 
Umekataa maandiko halafu bado unaoji maandiko yenyewe. Hiki ni kioja cha karne
Kuhoji lazima Uhojiwe wewe unayesimamia Hayo maandiko. Wewe ndio ujibu Ndugu kwahiyo unattaka Anayekuuliza Mpka Awe anayakubali Sasa Ukikubali Unahoji nini Wakati tayari ushakubali Mungu anazaa
 
Hhhhhhh Huna hoja kila kiumbe huzaliwa kwenye Uislamu ndo mna mnabatiza watoto wenu ili muwatoe kwnye Uislamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…