Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

usichokielewa kiulize vizuri
 
usichokielewa kiulize vizuri
Nini kisicho eleweka hapa

Muhammad saying, “Islam began as a small religion and will return to the state in which it began. Then blessed will be the few Mishkat al-Masabih 159
-“Faith will shrink back to Medina as a snake shrinks back to its hole.” (Bukhari and Muslim.) Mishkat al-Masabih 160
“Islam began as something strange and will go back to being strange, so glad tidings to the strangers.’”Sunan Ibn Majah 3986
 
Haya nielezee sasa vipi ulikua ugeni wake na utarudi kma ugeni kma ulivokuja nielezee sasa

hlf ndo nitathibitisha kua unaongea ukweli
 
Kwa vile Yehova si Mungu Yehova ni Mtoto wa Hudi aliyezaa na Sharka mke wa Pili wa Hudi baada ya Kukimbia Kutoka India [emoji1128]. Yehova alirithi Mali za Hudi na Alipofariki alizikwa kwa Heshima Kubwa sana kilima Sinai
Embu funguka zaid hao kina Hudi ni kina nani[emoji848]
 
Haya nielezee sasa vipi ulikua ugeni wake na utarudi kma ugeni kma ulivokuja nielezee sasa

hlf ndo nitathibitisha kua unaongea ukweli
Uelezewe nini soma
Muhammad saying, “Islam began as a small religion and will return to the state in which it began. Then blessed will be the few Mishkat al-Masabih 159
-“Faith will shrink back to Medina as a snake shrinks back to its hole.” (Bukhari and Muslim.) Mishkat al-Masabih 160
“Islam began as something strange and will go back to being strange, so glad tidings to the strangers.’”Sunan Ibn Majah 3986

Au hauamini unabii wa muhammad
 
Ndo mana nakwambia usichokijua huwezi kukielewa mna Nyie Mungu wenu kapigwa kafa huku akimuomba Mungu wake amuokoe lkn bdo mumeshikilia kua huyo ndo Mungu
kwaio kma huelewi kitu we kaa kimya tuu iyo hadithi wala haipo kma ulivoielewa ww
 
Tunaongela unabii wa muhammad wewe unampinga , wewe dini gani kwani? Au lugha ngumu?

Muhammad saying, “Islam began as a small religion and will return to the state in which it began. Then blessed will be the few Mishkat al-Masabih 159
-“Faith will shrink back to Medina as a snake shrinks back to its hole.” (Bukhari and Muslim.) Mishkat al-Masabih 160
“Islam began as something strange and will go back to being strange, so glad tidings to the strangers.’”Sunan Ibn Majah 3986
 
Mtafisirie kwa Kiswahili yawezekana yeye anajua kiarabu
 
Embu funguka zaid hao kina Hudi ni kina nani[emoji848]
Kuna Historia ya Wayahudi ni Ndefu kidogo. Ila Asili yao ni Wa hindi waliokimbia Kutoka India baada ya Kufukuzwa Huko kwa Tamaduni za Kichawi kusalia Maiti na Kuzichoma na Kula
 
Sasa tuko pamoja, Mungu yupo nawe umekiri ndo anayejua kila kitu Sasa kwanini unahoji mambo yake kwamba hayupo au Yesu hajatumwa na Mungu!

Ubarikiwe Sana kwa kukiri uwepo na anajua kila kitu.
Kukubali kwamba Mungu yupo haimaanishi kwamba anaamini maandiko yanayomuhusu. Maandiko ni ya binadamu na ndiyo anayoyahoji. Of course uwepo wetu ni kwamba kuna source, kitendawili kilichopo ni kwamba kuna uwalakini kwa kuonekana kwake. Personally sijamuona huyo source, kwa hiyo ni upuuzi kuongelea kuhusu huyo source achilia mbali kuamini hayo maandiko ya watu ambao ni binadamu wenye madhaifu na mapungufu kama mimi wanaosema wamemuona na ni source ndo kawatuma: nisingependa source mbaguzi wa hivyo, kama anataka ani-face ana kwa ana tupige stori. Kama hujawahi kuonana na huyo source, how far sure you are kwamba wanosema wameonana naye wamemwona kweli? The Universe is a mystery na hakuna tunachojua zaidi ya experiences tu za maisha tunazoishi pengine kwa kuambiwa na kufuatisha au kujiamulia njia zetu wenyewe na mwisho tutakufa. Period.
 
Wewe ndio usome historia vizuri. Acha propaganda za uongo. Watu gani waliuawa, wakati wa missionary walijenga shule na mahospitali ambayo mpaka leo zinatumika. Halafu ukristo msingi wake Ni hiari sio lazima.
Wewe nawe ina maana hata wakina Chief Mkwawa huwajui, wakina Mangi Meri je? basi hata vita ya maji maji nayo utakuwa huijui. Religion was the force behind colonialism na biblia ilichochea mauaji ya mabibi na mababu zetu. Leo tuko huru sababu kuna watu walitoa uhai wao! I will honor those rather than honoring mtu wa sehemu nyingine ambaye sina uhakika hata kama alikuwepo kweli. Kataa basi kwamba hakukuwa na ukoloni aiseee kama ambavyo kutwa kucha mnahubiriana utumwa wa waisraeli huku mnasahu kwamba ancestors wetu walipitia utumwa ambao hata huo wa waisraeli ukasome.
 
  1. Inakuaje wewe unayetoa hukumu ujipe mwanao sadaka kwa ajili ya unaotaka kuwahukumu?
  2. Hizo nafsi 3 alizonazo Mungu wapi aliwahi tamka kwenye kitabu chochote?
  3. Kwahiyo kama huyu Yesu ndo Mungu, alimwomba Mungu yupi tena amwepushe na kikombe?
 
AMINA
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Sina budi ila kupasuka mbavu
Ukweli nikwamba Kwa mujibu wa Doctrine za kikristo ,Binadamu amemuuwa mungu ili asiwe na wa kumuhukumu.

Hatimae baada ya kumua akapata kikomboleo cha dhambi zake.

Ukimuamini mungu aliye kufa kifo cha kusulubiwa na wanadamu kisha akafufuka siku ya tatu kama msukule/mzimu na akakimbilia kusiikojulikana, na wenyewe wanasema Mbinguni na hapo ndio utakuwa salama na DHAMIBI kwa imani hii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ajabu sana
 
Allahu Akbar, (Mungu ni Mkubwa)
Neno hili limepitiliza kila unachokiona ni kikuu,
MunguniMkuu kwa Elimu yake,
Ni mkuu kwa Matendo yake,
Nimkuu kwa Wajihi wake.
Ni Mkuu kwa Sifa zake.
Na Hafanani kamwe na Kiumbe chake chochote kiwacho..
Bali anasikia na anaona.
Mungu. Amemuumba binadamu akiwa dhaifu mno.
Akmsaidia kwa kumletea Miongozo ya kuishi na nyenzo za kumrahisia maisha.
Akamletea Ujumbe kupitia binadamu wenzetu kama sisi ,ila wao walifunuliwa maono na kutumwa watuongoze njia ya salama kwa maisha yetu.

Mungu anatutaka tuishi Vema hapa Kwenye dunia,
Mungu Atatulipa kwa wema wetu.
Na wale waliokaidi na kutenda maovu,
Atawalipa kwa maovu yao ,adhabu isiyomithilika.
Mungu ana upendo sana kwa wanadamu.

Lakini Binadamu kapewa Demokrasia ya kufanya kwa matakwa yake lolote lile ,zuri au baya hatozuiliwa.
Lakini atahukumiwa kwa maamuzi yake aliyojichagulia hapa duniani.

Hata Hivyo a,akitubu na kutengamaa nakufanya mema, atamsamehe yote aliyokosea.
KARIBUNI NJIA YA SALAMA YA MSAMAHA NA KUACHANA NA MAOVU
NAYO NI KUSHIKAMANA NA MEMA NA MAPENZI YA MUNGU MKUU ALIYEUMBA KILAKITU.
 
jiulize swali moja kisha utapata jibu
kwanini wachawi ukiwatamkia jina la Yesu wanakimbia na kuumia
na kwanini jina la Yesu Lina nguvu ukijibu hayo utaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…