Jamii yetu inaitaji msaada mkubwa sana wa kubadilisha mbegu iliyopandwa na udanganyifu wa hizi dini. Ila naamini huu udanganyifu una mwisho wake. Tatizo pia jamaa wana mizizi milefu sana kisiasa na kiuchumi. Ukiwapinga hadharani hawachelewi kukuondoaUkifikia kwa kina kweli kuna contradiction za kutosha kwenye maandiko yetu haya, lakini haitoshei kuhitimisha moja kwa moja kwamba ni udanganyifu.
Pia kuna mbegu imepandwa ndani yetu kwa muda mrefu sana ambayo imesha mea na kustawi na kuzaa sana maishani mwetu ya neno la Mungu kupitia vitabu hivi tunavyoviongelea hapa.
Kwa hivyo haitakuwia rahisi sana kueleweka hata kama unaongea ukweli kiasi gani.
Na mimi ni mmoja wapo ambae siwezi kukuelewa kwa urahisi japo unaongea ukweli.