Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

Hakuna taqiyyah hapo, sasa nikuulize ni kwamba Watu hawaingii katika Uislamu ?

Allah aliye juu anasema :

1. Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi,

2. Na ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundi,

3. Zitakase sifa za Mola wako Mlezi, na umwombe msamaha; hakika Yeye ndiye anaye pokea toba. (an-Nasr : 1-3)

Sasa usiwe mjinga na kuandika maana unazotaka wewe.
Nauliza swali lipo wazi kabisa
Kwa nini unamuita Muhammad nabii wa uongo? tena mwenzako kaweka mpaka ma fact katoa google kaya paste ilikuthibitisha huu unabii wa Muhammad ni uongo

Muhammad saying, “Islam began as a small religion and will return to the state in which it began. Then blessed will be the few Mishkat al-Masabih 159

Hapa anasema Imani itasinyaa na uslamu utarudi kuwa madina tu na utarudi kama nyoka anavyorudi kwenye shimo lake
“Faith will shrink back to Medina as a snake shrinks back to its hole.” (Bukhari and Muslim.) Mishkat al-Masabih 160
 
Nauliza swali lipo wazi kabisa
Kwa nini unamuita Muhammad nabii wa uongo? tena mwenzako kaweka mpaka ma fact katoa google kaya paste ilikuthibitisha huu unabii wa Muhammad ni uongo
Nani kamuita Mtume ni nabii wa Uongo ?

Uwe unasoma ninacho kiandika na kukinukuu.

Hakuna yoyote katika mgongo wa ardhi hii anae weza kuthibitisha uongo wa Mtume, anaye fanya hivyo hamjui Mtume na haujui Uislamu.

Nani huyo amethibitisha hilo ?
Hapa anasema Imani itasinyaa na uslamu utarudi kuwa madina tu na utarudi kama nyoka anavyorudi kwenye shimo lake
“Faith will shrink back to Medina as a snake shrinks back to its hole.” (Bukhari and Muslim.) Mishkat al-Masabih 160
Hii haimaanishi ya kuwa Waislamu hawaongezeki kipindi hiki.

Hadithi inaongelea masiku ya mwisho. Yaani wataongezeka kisha huko baadae watatoka katika dini.
 
Iyo ni Imani yako sisi Kwa imani yetu Issa hajafariki wala hajasulubiwa
Unaongelea allah alivyofanya cloning ya kutengeneza issa bandia , issa bandia akasulubiwa?
157. Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu.

Kwa nini allah aliwafanyia huu uongo?
 
Luka : 1 : 31 - Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto mwanamume; na jina lake utamwita Yesu.
Hili ndio Jibu kwamba Mariam alizaa Nini ndugu yangu!? Mungu alishazaa umelisema Kabla hata ya Ulimwengu kuwepo

Hapo Mariam alizaa nini Tena kama Mungu ni Mzazi

Swali La Pili Isaya alitabiri Kwamba Mtoto atakayezaliwa ataitwa Emanueli hilo Jina La Yesu Lilikujaje kujaje na Malaika kumuita Hivyo Tena badala ya Kutimiza Alichoandika Isaya.

“Bikira atachukua mimba, atamzaa mtoto wa kiume, nao watampa jina Emanueli”
 
Nani kamuita Mtume ni nabii wa Uongo ?

Uwe unasoma ninacho kiandika na kukinukuu.

Hakuna yoyote katika mgongo wa ardhi hii anae weza kuthibitisha uongo wa Mtume, anaye fanya hivyo hamjui Mtume na haujui Uislamu.

Nani huyo amethibitisha hilo ?

Hii haimaanishi ya kuwa Waislamu hawaongezeki kipindi hiki.

Hadithi inaongelea masiku ya mwisho. Yaani wataongezeka kisha huko baadae watatoka katika dini.
Ndugu Yako katika Imani kaweka fact
Ni vizuri umekiri Uislam utaenda kufa na utarudi Madina kama nyika anavyorudi kwenye shimo lake , hilo tumemaliza msirudie tena kupinga unabii wa muhammad
 
Siyo anawaogopa, anawapenda.
Mungu hayupo Hivyo Mungu hana Upenzi na Viumbe wake yeye ana Enzi na Viumbe wake.(ndio maana ya Mwenyezi Mungu) Wanaopenda ni Mimi na Wewe. Ukisema Mungu anakupenda halafu Kumbe anamtoto anayempenda Zaidi mpaka Akamtoa Kwako umuue Kama Mnavyoamini ujue kwamba Wewe hupendwi anampenda Mwanae zaidi

Mie swali Langu ni Hili. WEWE ULIFANYA NINI MPAKA MUNGU AKAMTOA MWANAE KAMA SADAKA
 
Hili ndio Jibu kwamba Mariam alizaa Nini ndugu yangu!? Mungu alishazaa umelisema Kabla hata ya Ulimwengu kuwepo

Hapo Mariam alizaa nini Tena kama Mungu ni Mzazi
Kama hujaleta hoja kama hizi , unatakiwa uelewe kwanza Imani ya kikristo inaamini vipi juu ya Mungu wao,
Mungu hajazaa wala hajazaliwa ,
Mungu ni Roho kwa ukristo
Umejifunua kwetu na kusema ana nafsi tatu na zote nafsi zake ni divine

Nafsi yake moja ya mwana ndio ilikuja duniani na kuvaa mwili wa binadamu human flesh

Uliza swali nipo
 
Ila Yesu ni Mungu kwa Ukristo na Alizaliwa ndugu yangu au wewe huamini hilo

Nafsi yake moja ya mwana ndio ilikuja duniani na kuvaa mwili wa binadamu human flesh

Uliza swali nipo

Mwana JF mwenzako anasema Mungu kazaa. Ndio maana Nimemuuliza Hayo Maswali.

Swali Langu kwkao Ni Hili kama Utapenda

Wewe ulifanya Nini Mpaka Akamtoa Mwanae Aje Duniani. Ili afe Msalabani?
 
Hili ndio Jibu kwamba Mariam alizaa Nini ndugu yangu!? Mungu alishazaa umelisema Kabla hata ya Ulimwengu kuwepo

Hapo Mariam alizaa nini Tena kama Mungu ni Mzazi

Swali La Pili Isaya alitabiri Kwamba Mtoto atakayezaliwa ataitwa Emanueli hilo Jina La Yesu Lilikujaje kujaje na Malaika kumuita Hivyo Tena badala ya Kutimiza Alichoandika Isaya.

Luka : 1 : 35 - Malaika akajibu akamwambia, Roho Mtakatifu atakujilia juu yako, na nguvu zake Aliye juu zitakufunika kama kivuli; kwa sababu hiyo hicho kitakachozaliwa kitaitwa kitakatifu, Mwana wa Mungu.
 
Ndugu yangu mie naona Mimi na wewe hatuwezi kuelewana Kwa Matumizi ya Akili Wewe unawaza Maandiko Potofu na Mimi nawaza Unijibu Ninachokuuliza Hunijibu kwa Akili yako Ila unaleta Maandiko yale yale ambayo hayana Ukweli.

UKIPATA MAJIBU YANGU HAYA NIJIBU

1. Kama Mungu keshamzaa Yesu Kabla ya Ulimwengu kuwepo. Mariam alizaa Ninj

2. Isaya Alitabiri kuwa Mtoto ataitwa Emanueli ila Wewe unamwita Yesu. Jina Yesu kwanini lilitumika Badala la Jina Emanueli alililolitabiri nabii Isaya

3. Ulifanya Kosa Gani Mpaka Yesu unayeniambia Ni Mungu akaja Kwako kukukomboa

Maandiko yako hayajibu Maswali Yanazidi Kunifanya Nikuulize maswali zaidi
 
Mada imeisha
 
Maandiko yako hayajibu Maswali Yanazidi Kunifanha Nikupige maswali zaidi
Kama hayo ni maandiko potofu sasa unataka ujibiwe kupitia nini? mi naona wewe ndio hauleweki..!
 
Jamii yetu inaitaji msaada mkubwa sana wa kubadilisha mbegu iliyopandwa na udanganyifu wa hizi dini. Ila naamini huu udanganyifu una mwisho wake. Tatizo pia jamaa wana mizizi milefu sana kisiasa na kiuchumi. Ukiwapinga hadharani hawachelewi kukuondoa
Tena vile wanaanzia huku utotoni ujana na wazee hakika itachukua muda mrefu mno, muhimu ni kukaa nao kwa tahadhari akili na maarifa mkubwa maana msingi wao sio mdogo kwa kweli , kuuvunja leo na kesho sio rahisi kamwe.
 
Kama hayo ni maandiko potofu sasa unataka ujibiwe kupitia nini? mi naona wewe ndio hauleweki..!
Kwani wewe huna Akili ndugu yangu. Au walioandika Hayo maandiko wanakuzidi wewe akili?

Si wamekuambia Yesu alikuja Kwa ajili yako. Basi Msaidie Kujibu Hayo Maswali niliyomuuliza
 
Back
Top Bottom