Akhi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 3,380
- 5,906
Iyo ni Imani yako sisi Kwa imani yetu Issa hajafariki wala hajasulubiwa...Kwani nimeuliza we ni dini gani? Yesu alikufa kwa ajiri ya binadamu wote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iyo ni Imani yako sisi Kwa imani yetu Issa hajafariki wala hajasulubiwa...Kwani nimeuliza we ni dini gani? Yesu alikufa kwa ajiri ya binadamu wote.
Anaeongelewa hapa ni Yesu sio issa.Iyo ni Imani yako sisi Kwa imani yetu Issa hajafariki wala hajasulubiwa
Nauliza swali lipo wazi kabisaHakuna taqiyyah hapo, sasa nikuulize ni kwamba Watu hawaingii katika Uislamu ?
Allah aliye juu anasema :
1. Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi,
2. Na ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundi,
3. Zitakase sifa za Mola wako Mlezi, na umwombe msamaha; hakika Yeye ndiye anaye pokea toba. (an-Nasr : 1-3)
Sasa usiwe mjinga na kuandika maana unazotaka wewe.
Nani kamuita Mtume ni nabii wa Uongo ?Nauliza swali lipo wazi kabisa
Kwa nini unamuita Muhammad nabii wa uongo? tena mwenzako kaweka mpaka ma fact katoa google kaya paste ilikuthibitisha huu unabii wa Muhammad ni uongo
Hii haimaanishi ya kuwa Waislamu hawaongezeki kipindi hiki.Hapa anasema Imani itasinyaa na uslamu utarudi kuwa madina tu na utarudi kama nyoka anavyorudi kwenye shimo lake
“Faith will shrink back to Medina as a snake shrinks back to its hole.” (Bukhari and Muslim.) Mishkat al-Masabih 160
Unaongelea allah alivyofanya cloning ya kutengeneza issa bandia , issa bandia akasulubiwa?Iyo ni Imani yako sisi Kwa imani yetu Issa hajafariki wala hajasulubiwa
Nimekuuliza Ndugu yangu Mariam Yeye alizaa Nini kama Mungu Tayari Keshazaa Huko Zamani. Huo mstari wako Mbona Hauna Jibu langu
Hili ndio Jibu kwamba Mariam alizaa Nini ndugu yangu!? Mungu alishazaa umelisema Kabla hata ya Ulimwengu kuwepoLuka : 1 : 31 - Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto mwanamume; na jina lake utamwita Yesu.
Ndugu Yako katika Imani kaweka factNani kamuita Mtume ni nabii wa Uongo ?
Uwe unasoma ninacho kiandika na kukinukuu.
Hakuna yoyote katika mgongo wa ardhi hii anae weza kuthibitisha uongo wa Mtume, anaye fanya hivyo hamjui Mtume na haujui Uislamu.
Nani huyo amethibitisha hilo ?
Hii haimaanishi ya kuwa Waislamu hawaongezeki kipindi hiki.
Hadithi inaongelea masiku ya mwisho. Yaani wataongezeka kisha huko baadae watatoka katika dini.
Mungu hayupo Hivyo Mungu hana Upenzi na Viumbe wake yeye ana Enzi na Viumbe wake.(ndio maana ya Mwenyezi Mungu) Wanaopenda ni Mimi na Wewe. Ukisema Mungu anakupenda halafu Kumbe anamtoto anayempenda Zaidi mpaka Akamtoa Kwako umuue Kama Mnavyoamini ujue kwamba Wewe hupendwi anampenda Mwanae zaidiSiyo anawaogopa, anawapenda.
Kama hujaleta hoja kama hizi , unatakiwa uelewe kwanza Imani ya kikristo inaamini vipi juu ya Mungu wao,Hili ndio Jibu kwamba Mariam alizaa Nini ndugu yangu!? Mungu alishazaa umelisema Kabla hata ya Ulimwengu kuwepo
Hapo Mariam alizaa nini Tena kama Mungu ni Mzazi
Kama hujaleta hoja kama hizi , unatakiwa uelewe kwanza Imani ya kikristo inaamini vipi juu ya Mungu wao,
Mungu hajazaa wala hajazaliwa ,
Mungu ni Roho kwa ukristo
Umejifunua kwetu na kusema ana nafsi tatu na zote nafsi zake ni divine
Nafsi yake moja ya mwana ndio ilikuja duniani na kuvaa mwili wa binadamu human flesh
Uliza swali nipo
Hili ndio Jibu kwamba Mariam alizaa Nini ndugu yangu!? Mungu alishazaa umelisema Kabla hata ya Ulimwengu kuwepo
Hapo Mariam alizaa nini Tena kama Mungu ni Mzazi
Swali La Pili Isaya alitabiri Kwamba Mtoto atakayezaliwa ataitwa Emanueli hilo Jina La Yesu Lilikujaje kujaje na Malaika kumuita Hivyo Tena badala ya Kutimiza Alichoandika Isaya.
Ndugu yangu mie naona Mimi na wewe hatuwezi kuelewana Kwa Matumizi ya Akili Wewe unawaza Maandiko Potofu na Mimi nawaza Unijibu Ninachokuuliza Hunijibu kwa Akili yako Ila unaleta Maandiko yale yale ambayo hayana Ukweli.Luka : 1 : 35 - Malaika akajibu akamwambia, Roho Mtakatifu atakujilia juu yako, na nguvu zake Aliye juu zitakufunika kama kivuli; kwa sababu hiyo hicho kitakachozaliwa kitaitwa kitakatifu, Mwana wa Mungu.
Ndugu yangu mie naona Mimi na wewe hatuwezi kuelewana Kwa Matumizi ya Akili Wewe unawaza Maandiko Potofu na Mimi nawaza Unijibu Ninachokuuliza Hunijibu kwa Akili yako Ila unaleta Maandiko yale yale ambayo hayana Ukweli.
UKIPATA MAJIBU YANGU HAYA NIJIBU
1. Kama Mungu keshamzaa Yesu Kabla ya Ulimwengu kuwepo. Mariam alizaa Ninj
2. Isaya Alitabiri kuwa Mtoto ataitwa Emanueli ila Wewe unamwita Yesu. Jina Yesu kwanini lilitumika Badala la Jina Emanueli alililolitabiri nabii Isaya
3. Ulifanya Kosa Gani Mpaka Yesu unayeniambia Ni Mungu akaja Kwako kukukomboa
Maandiko yako hayajibu Maswali Yanazidi Kunifanya Nikuulize maswali zaidi
Kama hayo ni maandiko potofu sasa unataka ujibiwe kupitia nini? mi naona wewe ndio hauleweki..!Ndugu yangu mie naona Mimi na wewe hatuwezi kuelewana Kwa Matumizi ya Akili Wewe unawaza Maandiko Potofu na Mimi nawaza Unijibu Ninachokuuliza Hunijibu kwa Akili yako Ila unaleta Maandiko yale yale ambayo hayana Ukweli.
UKIPATA MAJIBU YANGU HAYA NIJIBU
1. Kama Mungu keshamzaa Yesu Kabla ya Ulimwengu kuwepo. Mariam alizaa Ninj
2. Isaya Alitabiri kuwa Mtoto ataitwa Emanueli ila Wewe unamwita Yesu. Jina Yesu kwanini lilitumika Badala la Jina Emanueli alililolitabiri nabii Isaya
3. Ulifanya Kosa Gani Mpaka Yesu unayeniambia Ni Mungu akaja Kwako kukukomboa
Maandiko yako hayajibu Maswali Yanazidi Kunifanha Nikupige maswali zaidi
Haha huyo jamaa kichwa panzi..haelewi kituMada imeisha
Asante ndugu maana Hii ni uthibitisho tosha kwamba Mnasimamia Mambo msiyoyajua. Na Mnafuata tu bila Kuyachambua Kwa Akili zenu Timamu mlizojaliwa na Mungu.Mada imeisha
Tena vile wanaanzia huku utotoni ujana na wazee hakika itachukua muda mrefu mno, muhimu ni kukaa nao kwa tahadhari akili na maarifa mkubwa maana msingi wao sio mdogo kwa kweli , kuuvunja leo na kesho sio rahisi kamwe.Jamii yetu inaitaji msaada mkubwa sana wa kubadilisha mbegu iliyopandwa na udanganyifu wa hizi dini. Ila naamini huu udanganyifu una mwisho wake. Tatizo pia jamaa wana mizizi milefu sana kisiasa na kiuchumi. Ukiwapinga hadharani hawachelewi kukuondoa
Kwani wewe huna Akili ndugu yangu. Au walioandika Hayo maandiko wanakuzidi wewe akili?Kama hayo ni maandiko potofu sasa unataka ujibiwe kupitia nini? mi naona wewe ndio hauleweki..!