Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee hua nawasikitikia Sana Hawa ndugu zangu Kwa kua brain washed na dini za hearsay!Ndugu zetu hawa Waafrika hawajui haya.
Yesu ni mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote. Kabla hakijakuwako kitu chochote Mungu alimzaa Yesu
Sema wakristo wengi hatusomi biblia kikamilifu, matokeo ni kupwaya pale zinapoibuka hoja kinzani kama hizi, unakuta swali moja linaleta majibu 40, na hayajitoshelezi. Tusomeni Biblia na kuielewa vyema wakuu.
Yesu ni mfano wa Mungu asiyeonekana.
Karithi asili ya Uungu
Wewe unamjua Yesu baada ya kuzaliwa na Maria lakini Yesu alikuwepo kabla ya Maria kuwepo. Yeye ndio MWANZO
Haya sawaBiblia ipo kwenye Mfumo huo kwa Makusudi kabisa ndugu yangu ili Ukupumbaze wewe uone kwamna Ni Mafumbo kumbe Uhalisia haupo Hivyo
Unapokuja wewe kunihubiria Mimi hutakiwi kunifanya nisikuelewe unatakiwa kunifanya nikuelewe. Sasa Nyie kwa Vile Mmekuta Wazazi wenu wapo humo basi na Nyie mnafuata Tu mkumbo Bila Kutafakari na Kusema Biblia imejaa mafumbo. Haijaja mafumbo ila Imekufumba Ww usiyetaka Kutafakari kwa Kutumia akili zako Mwenyewe
Ushahidi.Yesu ni mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote. Kabla hakijakuwako kitu chochote Mungu alimzaa Yesu
Nawewe unafuatia humo humo, toa majibu yako huenda yakafanya warudi kwenye hoja ya mtoa mada.Komenti nyingi naona wamemuandama sana mleta mada..pasipo kujibu hoja kwa hoja..
Ndugu yangu Umebadili Jina kutoka Nystatin kwenda Yuda Iskariot!?Yesu sio Mungu..
Kila zama na kitabu chake ila yote ni ubatili mtupu
Kipindi Anu anaabudiwa na Sumerians Kwa maelfu ya miaka huyo Jehovah/YWH/Elohim pamoja na mwanae Yesu walikua hawajaexist
Jiulize walikua wapi?
Dini ni utapeli wa kale ambao warumi walikuja kuufufua Kwa mfumo wa kisasa kipindi Cha kina Constantine pale Constantinople city uturuki!
Mungu wangu !!! So Adam na Hawa nao walizaliwa na Yesu [emoji51][emoji3][emoji23]
Hujui Hata Kuna Mungu anaitwa Allah..Zambe anaabudiwa.. Yire.. Anaabudiwa na Yehova pia unamuabudu wewe mpaka Leo
Hao si Mungu hao ni Viumbe Walioishi
Alikuwepo wp ? Why akaja kuzaliwa na Maria si angeshushwa tu? Unaposema ni mfano wa Mungu kwahiyo yeye sio Mungu ni mfano wake?
Ushahidi.
kama hujui hata aliyetangulia inaonekana wewe Bado Sana Kwenye masuala ya Accient civilizations,Huyo mungu wa sumerians alikuwa mungu wa mchongo na ndio maana alishindwa kuwithstand the test of time na kupelekea hadi wewe mwenyewe kuja na kihoja cha kila zama na kitabu chake.
Kama angekuwa Mungu wa kweli tungemjua hata leo.
Kati ya Nuhu wa kwenye biblia na sumerians nani alitangulia?
Umejuaje kua kulikua na binadam kabla ya hao?Kusoma Biblia hakuwezi kukuokoa anayekuokoa ni Binadamu mwenzako tu. Ukizama majiini utaokolewa, ukipata ajali utaokolewa, Biblia imejaa utunzi wa Binadamu
Ni bora ukakombolewa maana anayekukomboa ni Yule anayekuambia Ukweli. Kumbuka Adam na Hawa si Binadamu wa kwanza Kama Biblia inavyosema mana Adam na Hawa waliwakuta Binadamu Duniani kitu ambacho Biblia haijakisema
kama hujui hata aliyetangulia inaonekana wewe Bado Sana Kwenye masuala ya Accient civilizations,
Sasa unachobishana na Mimi ni Nini hapa wakati hata hujui
Mungu wako Elohim/YWH/Jehovah
Alikuja miaka zaidi ya elfu Tano mbele nyuma Mungu mkongwe na wa Mwanzo kuabudiwa na Sumerians, Assyrian, Babylon, Egyptian aitwaye ANU?
Mungu wenu alijitambulisha Kwa mara ya kwanza Kwa jamaa anayeitwa Abraham!
Ndugu Olando sisi Tupo katika Mjadala wa Fikra Huru. Nayakataa Maana Unasimamia Maandiko ya Watu wanaokupotosha. Na Maandiko ambayo yanamakosa Ndani yake. Unachotakiwa ni Kusimamia Akili yako Inasemaje Kuhusu Jambo Fulani ninalokuuliza tuWe tatizo lako nikuwekea maandiko unayakataa, unakuwa na vioja si hoja za maandiko