dormant accont
Senior Member
- Jan 4, 2022
- 154
- 162
Yeah!Kwani hao wazee wetu afrika tunajua hizo imani zao walizipata wapi na kwa vp? hapa kinachoonekana lengo ni kuwa na kitu chetu wenyewe waafrika na kuacha kutumia vitu vya kuletewa ndio maana uislamu na ukristo tunaita ni imani za kuletewa sio asili yetu. Kwahiyo na sisi tuanzishe dini yetu yenye kubeba mambo ya kiafrika na kwa sasa tuna nafasi nzuri tunaweza kuandika hivyo hata vizazi vyetu vijavyo watakuta maandiko ya dini ya mababu zao.
Tuanzishe dini yetu ya kitanzania🤝💪🏿