FabNXTzqEtcgazfbjjfo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 1,486
- 1,874
- Thread starter
- #721
Mkuu usichoelewa ni kwamba tunatofautiana mbali na hizo dini za uislamu na ukristo bado kuna mitazamo na imani tofauti tofauti, kwahiyo hayo unayoyajua wewe na kuyaamini basi tambua kuwa ni sehemu tu katika mitazamo au imani zilizopo kwa watu na ndio maana kuna hadi ambao wana mitazamo kabisa ya kuwa hakuna Mungu tofauti na wewe unayeamini mungu ila unasema haongei ila wao hata huyo mungu wako asiyeongea wao wanasema hakuna kitu kama hicho.
Ndio maana Mimu Silazimishi mtu Kuamini ninachokisema. Hata Hao walio na Imani zao Sijawaambia Waachane nazo Wao waendelee kuwa nazo. Kikubwa Waambje Ukweli ulionao Halafu wao watakuuliza Maswali na Kuchambua Ukweli ulio nao.
Imani Inakuja Pale mimi na Wewe Tutakapochambua Kwa Kutumia akili zetu Timamu bila Kushikiliwa Kitabu tusome bali Akili yako Mwenyewe itakuambia hii Ndio au Hapana.
Kumbuka Ulishawahi kuambiwa wewe umetokana Nyani Ila Nikikuuliza Nahisi utaktaa Maana Ulichambua Ukajua Hakuna Ukweli huo
Kwahiyo unapoleta hizo story zako sijui za binaadamu wa kwanza sijui utaratibu wa jadi lazima ukumbuke hilo kuwa ni moja tu ya mitazamo mingi iiliyopo duniani kuhusu Mungu.
Ndio basi unatakiwa Hiyo Mitazamo iliyopo huko Uichambue na Uichambue pia Mtazamo Nilio nao Halafu ujue Wapi kwa Kusimamia wew mwenyewe.
Kumbuka Mungu hakuchukii.. Hata Kama ukiamua Kutokumjua