Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

Mkuu usichoelewa ni kwamba tunatofautiana mbali na hizo dini za uislamu na ukristo bado kuna mitazamo na imani tofauti tofauti, kwahiyo hayo unayoyajua wewe na kuyaamini basi tambua kuwa ni sehemu tu katika mitazamo au imani zilizopo kwa watu na ndio maana kuna hadi ambao wana mitazamo kabisa ya kuwa hakuna Mungu tofauti na wewe unayeamini mungu ila unasema haongei ila wao hata huyo mungu wako asiyeongea wao wanasema hakuna kitu kama hicho.

Ndio maana Mimu Silazimishi mtu Kuamini ninachokisema. Hata Hao walio na Imani zao Sijawaambia Waachane nazo Wao waendelee kuwa nazo. Kikubwa Waambje Ukweli ulionao Halafu wao watakuuliza Maswali na Kuchambua Ukweli ulio nao.

Imani Inakuja Pale mimi na Wewe Tutakapochambua Kwa Kutumia akili zetu Timamu bila Kushikiliwa Kitabu tusome bali Akili yako Mwenyewe itakuambia hii Ndio au Hapana.

Kumbuka Ulishawahi kuambiwa wewe umetokana Nyani Ila Nikikuuliza Nahisi utaktaa Maana Ulichambua Ukajua Hakuna Ukweli huo

Kwahiyo unapoleta hizo story zako sijui za binaadamu wa kwanza sijui utaratibu wa jadi lazima ukumbuke hilo kuwa ni moja tu ya mitazamo mingi iiliyopo duniani kuhusu Mungu.

Ndio basi unatakiwa Hiyo Mitazamo iliyopo huko Uichambue na Uichambue pia Mtazamo Nilio nao Halafu ujue Wapi kwa Kusimamia wew mwenyewe.

Kumbuka Mungu hakuchukii.. Hata Kama ukiamua Kutokumjua
 
Biblia ni hadithi za Wayahudi tu.

Hata Waafrika tunazo ila watu hawafuatilii.

Kihistoria Waafrika wamekuwepo malaki ya miaka kabla hiyo historia ya Adam haijaandikwa.
Na Huo ndio Ukweli Ila Hawa Wanaofuata Historia za Mababu wa Wayahudi( Wana Wa Hudi aliyetoka India) hawawezi kukuelewa
 
Ndio maana Mimu Silazimishi mtu Kuamini ninachokisema. Hata Hao walio na Imani zao Sijawaambia Waachane nazo Wao waendelee kuwa nazo. Kikubwa Waambje Ukweli ulionao Halafu wao watakuuliza Maswali na Kuchambua Ukweli ulio nao.

Imani Inakuja Pale mimi na Wewe Tutakapochambua Kwa Kutumia akili zetu Timamu bila Kushikiliwa Kitabu tusome bali Akili yako Mwenyewe itakuambia hii Ndio au Hapana.

Kumbuka Ulishawahi kuambiwa wewe umetokana Nyani Ila Nikikuuliza Nahisi utaktaa Maana Ulichambua Ukajua Hakuna Ukweli huo

Ndio basi unatakiwa Hiyo Mitazamo iliyopo huko Uichambue na Uichambue pia Mtazamo Nilio nao Halafu ujue Wapi kwa Kusimamia wew mwenyewe.

Kumbuka Mungu hakuchukii.. Hata Kama ukiamua Kutokumjua
Basi pia hawezi kuchukia endapo tutaamua kuanzisha dini mpya ambayo itaendana na mazingira yetu tuliyonayo sasa, au hilo litamuuzi?
 
Ngoja nikwambie mkuu kila jamii ilikuwa na taratibu za wazee wao, taratibu za wahindi huko zilikuwa tofauti na waarabu na wazungu au waafrika. Sasa hapo tuseme kwamba hizo taratibu tofauti za wazee zote zilikuwa sahihi au point si usahihi bali ni asili tu kwamba muhimu zilikuwa taratibu za wazee basi?
Kama Unaamini Kwamba Duniani kulikuwa na Mwanaume na Mwanamke walioumbwa Basi Utakubaliana na Mimi Kwamba Wote sisi ni Ndugu tuliotoka Kwa Baba na Mama Mmoja

Hizo Unazozungumza Ni Tamaduni tu baada ya Watu kutengana na Kuingiliwa na Viumbe majini na Malaika ila Kumbuka Wote sisi Duniani ni Wabantu. Hata Lugha Zetu zinaendana Maana Yake sisi Tuliacha Ubantu wetu tukakimbilia Tamaduni zetu wenyewe kwa Kujipotosha

Ukifuatilia Utashangaa wewe hapo Ulipo Wazee wako Walitokea Congo huko au Walitokea Ethiopia au South America Kwahiyo Mwanzo Kulikuwa na Utaratibu wa Wabantu wote Walioufuta kwa Taratibu za Jadi yaani Wazazi wa Kwanza Wa Wanadamu

Wazee wetu wa Kwanza walifundisha Hivj kuhusu Mungu

1. Mungu hana Umoja Wala Wingi
2. Mungu yupo alipo na Wewe upo ulipo
3. Mungu hafanani na Viumbe wake
4. Mungu hashirikiani na Viumbe wake katika Kuumba
5. Mungu hana Mapenzi na Viumbe wake ila Yeye ana Enzi na Viumbe wake
6. Mungu hapimiki wala Huwezi kumuona

Sasa Ukiona Hizo tamaduni zingine zina Muweka Mungu kama Kiumbe. Mfano kuabudu Ng'ombe.. Sanamu.. Na watu ujue hao si Mungu bali ni Viumbe
 
Na Huo ndio Ukweli Ila Hawa Wanaofuata Historia za Mababu wa Wayahudi( Wana Wa Hudi aliyetoka India) hawawezi kukuelewa
Hata wewe ukianza kumwambia huyo jamaa kuhusu story zako za yule binaadamu wa kwanza pia hawezi kukuelewa.
 
Ukianzisha Dini Hutakuwa tofauti na Dini zingine tu. Mnatakiwa Kurudi katika Taratibu zilizoachwa na Wazee wenu kipindi wanapelekwa Kutumikishwa
Mfano tunaanzisha dini ambayo focus yake sio miungu na kusali na kubaudu. Bali tunaanzisha dini kwaajili ya kufanya upendo na kutoa sadaka kwa makundi mbalimbali kwenye jamii. Mungu wetu anakua ni upendo.
 
Basi pia hawezi kuchukia endapo tutaamua kuanzisha dini mpya ambayo itaendana na mazingira yetu tuliyonayo sasa, au hilo litamuuzi?
Ndugu duniani kuna Dini Zaidi ya Maelfu hata Zumaridi naye Ana yake.. na Mungu hajawahi Kuchukia Viumbe wake hata Siku Moja Maana Keshawaumba Na Kuwapa Akili Timamu za Kuchambua mambo

Ukitaka Kuanzisha Wewe anzisha Tu Watakaokuchukia Si Mungu bali Binadamu wenzako na Roho za Kwenye Dini zingine tu. Mungu Yeye hausiki na Wewe kikubwa Jua Kwamba Yupo na Yupo kwenye Ukweli mana Ndie Aliyeumba Ukweli utakaoupata Kwa Kutumia Akili Timamu tu

Maana Ukianzisha Dini yako halafu ikaenda Nje ya Ukweli hautakuwa Tofauti na Viumbe walioanzisha Dini hizi Zilizopo kwa Sasa
 
Hata wewe ukianza kumwambia huyo jamaa kuhusu story zako za yule binaadamu wa kwanza pia hawezi kukuelewa.
Ni ngumu kunielewa kwa Mara ya Kwanza. Ni kawaida kwa Binadamu Wote. Kumbuka Hata Wewe hiyo imani uliyonayo Mababu zako hawakuikibali kama Unavyoikubali ww sasa
 
Kama Unaamini Kwamba Duniani kulikuwa na Mwanaume na Mwanamke walioumbwa Basi Utakubaliana na Mimi Kwamba Wote sisi ni Ndugu tuliotoka Kwa Baba na Mama Mmoja

Hizo Unazozungumza Ni Tamaduni tu baada ya Watu kutengana ila Kumbuka Wote sisi Duniani ni Wabantu. Hata Lugha Zetu zinaendana Maana Yake sisi Tuliacha Ubantu wetu tukakimbilia Tamaduni zetu wenyewe kwa Kujipotosha

Ukifuatilia Utashangaa wewe hapo Ulipo Wazee wako Walitokea Congo huko au Walitokea Ethiopia au South America Kwahiyo Mwanzo Kulikuwa na Utaratibu wa Wabantu wote Walioufuta kwa Taratibu za Jadi yaani Wazazi wa Kwanza Wa Wanadamu

Wazee wetu wa Kwanza walifundisha Hivj kuhusu Mungu

1. Mungu hana Umoja Wala Wingi
2. Mungu yupo alipo na Wewe upo ulipo
3. Mungu hafanani na Viumbe wake
4. Mungu hashirikiani na Viumbe wake katika Kuumba
5. Mungu hana Mapenzi na Viumbe wake ila Yeye ana Enzi na Viumbe wake
6. Mungu hapimiki wala Huwezi kumuona

Sasa Ukiona Hizo tamaduni zingine zina Muweka Mungu kama Kiumbe. Mfano kuabudu Ng'ombe.. Sanamu.. Na watu ujue hao si Mungu bali ni Viumbe
Sasa tuje hapo kwenye kujipotosha, kimsingi upotovu lazima uwepo hata kama hakukuwa na watu waliyokusudia kupotosha sasa hapo ndio utata unapokuja kwamba kipi ndio cha kweli na kipi ni katika upotoshaji?

Nani ataweka sawa kuonesha lipi sahihi na lipi limepotoshwa kama sio yeye mwenyewe Mungu?
 
Kasome hiyo sura kuanzia mwanzo mpaka ukifika hapo aya ya 4 utakuwa umeshapata majibu ya maswali yako yote.

Soma kijana.
Nimeanza mwanzo wa sura majibu hakuna na maswali zaidi yanajitokeza
Koran 66:1. Ewe Nabii! Kwa nini unaharimisha alicho kuhalilishia Mwenyezi Mungu? Unatafuta kuwaridhi wake zako. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.

1. Muhammad alifanya dhambi ya kuharamisha kitu ambacho ni halali kwa nini?
2. Ni kitu gani Muhammad aliharamisha?
3. ALItaka kuwaridhia wake zake ,je ni wote 13 au ni baadhi?
4. Nani anaongea kwenye hii Aya Muhammad au Allah? Kama ni Allah kwa Nini anamtaja mwenyezi Mungu badala aseme nilikuhalalishia Mimi

Hapo nimeanza na Aya ya kwanza nipo
 
Ndugu duniani kuna Dini Zaidi ya Maelfu hata Zumaridi naye Ana yake.. na Mungu hajawahi Kuchukia Viumbe wake hata Siku Moja Maana Keshawaumba Na Kuwapa Akili Timamu za Kuchambua mambo

Ukitaka Kuanzisha Wewe anzisha Tu Watakaokuchukia Si Mungu bali Binadamu wenzako na Roho za Kwenye Dini zingine tu. Mungu Yeye hausiki na Wewe kikubwa Jua Kwamba Yupo na Yupo kwenye Ukweli mana Ndie Aliyeumba Ukweli utakaoupata Kwa Kutumia Akili Timamu tu

Maana Ukianzisha Dini yako halafu ikaenda Nje ya Ukweli hautakuwa Tofauti na Viumbe walioanzisha Dini hizi Zilizopo kwa Sasa
Nani ana hicho kipimo cha ukweli? ndio maana naona muhimu ni watu kuamua tu kufuata dini yeyote au kuanzisha yake maadamu mungu hachukii hata hiyo dini itakuwa na mambo ambayo si sahihi kwani kuna kosa au adhabu za kwa mungu? mimi naona hiyo ndio njia rahisi na ni suluhisho.
 
Aisee mbona unachukua aya moja tu katafute aya toka ya kwanza ndo utajua maana yake
Nimeanza mwanzo wa sura majibu hakuna na maswali zaidi yanajitokeza
Koran 66:1. Ewe Nabii! Kwa nini unaharimisha alicho kuhalilishia Mwenyezi Mungu? Unatafuta kuwaridhi wake zako. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.

1. Muhammad alifanya dhambi ya kuharamisha kitu ambacho ni halali kwa nini?
2. Ni kitu gani Muhammad aliharamisha?
3. ALItaka kuwaridhia wake zake ,je ni wote 13 au ni baadhi?
4. Nani anaongea kwenye hii Aya Muhammad au Allah? Kama ni Allah kwa Nini anamtaja mwenyezi Mungu badala aseme nilikuhalalishia Mimi

Hapo nimeanza na Aya ya kwanza nipo
 
Na Wewe unaamini Mungu anaweza Kukaa Kikao na Wasaidizi wake.!? Kukaa ni Sifa za Viumbe.. Kufanya Kikao ni Sifa Za Viumbe. Wewe na Mimi na Majini na Malaika. Mungu hakai Na Viumbe wake wala Kuwatuma. Au Unaamini Pia Kuhusu Shetani Kwenda Kupiga Stori na Mungu ili Wamjaribu Ayubu? Hili Jambo Linaingia Akilini Kweli
Kumbuka Afrika Ilikuwa Chini ya Wakoloni miaka na Miaka. Mungu hajawahi kuwatumia Nyie Mtume ila Akawaenda Kuwatumia Wana Waisraeli Pekee. Huoni Hapo Mungu ni Mbaguzi
Mie sitak kuteteresha imani yangu niache! Mie ni roma ninaye amini katika mungu baba, mungu mwana na mungu roho mtakatifu!
 
Back
Top Bottom