Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Sijatoka kwenye hoja, nimeona wengi wenu mnashindwa kujibu hoja zangu kwa kuleta tasfiri mpya ya dhambiNaona unatoka kwenye hoja yako, ya He, Mungu anaweza tenda dhambi ?
Hii umeimaliza tuje kwenye Utakatifu wa Mungu ?
Jambo fulani likifanywa na mtu tunasema ni dhambi ila Mungu akifanya kitu hicho hicho ambacho kimetoka kufanywa na mtu na tukakiita ni dhambi, kwa Mungu haiwi dhambi.
Iweje Mungu afanye ukatiri aitwe mtakatifu/mwema?
Ukisema sheria za kutambua dhambi ziliwekwa kwa ajili ya kutumika na watu.
Kumbuka kuwa hao watu pia wasipofanya hizo dhambi wanaitwa watakatifu/wema.
Na Mungu naye kumbuka huitwa mwema, sasa kwanini aitwe mwema wakati hafungamani na shetia zinazohusiana na watu?
Umeielewa hoja yangu mpaka hapo?
Ukisema Mungu anaua watu bila hatia na bado haesabiki kuwa ni dhambi kwasbabu sheria ya kusema hii ni dhambi ipo maalumu kwa ajili ya watu, basi haupaswi kumuita mwema au mtakatifu kwasababu hayo ni maneno yanayomtofautisha yule ambaye hafanyi dhambi na since yeye hausiki na sheria za binadamu nasi hana uhalali wa neno hilo.
Nadhani umenielewa