Mungu anaweza kutenda dhambi?

Mungu anaweza kutenda dhambi?

Naona unatoka kwenye hoja yako, ya He, Mungu anaweza tenda dhambi ?
Hii umeimaliza tuje kwenye Utakatifu wa Mungu ?
Sijatoka kwenye hoja, nimeona wengi wenu mnashindwa kujibu hoja zangu kwa kuleta tasfiri mpya ya dhambi

Jambo fulani likifanywa na mtu tunasema ni dhambi ila Mungu akifanya kitu hicho hicho ambacho kimetoka kufanywa na mtu na tukakiita ni dhambi, kwa Mungu haiwi dhambi.

Iweje Mungu afanye ukatiri aitwe mtakatifu/mwema?

Ukisema sheria za kutambua dhambi ziliwekwa kwa ajili ya kutumika na watu.

Kumbuka kuwa hao watu pia wasipofanya hizo dhambi wanaitwa watakatifu/wema.

Na Mungu naye kumbuka huitwa mwema, sasa kwanini aitwe mwema wakati hafungamani na shetia zinazohusiana na watu?

Umeielewa hoja yangu mpaka hapo?

Ukisema Mungu anaua watu bila hatia na bado haesabiki kuwa ni dhambi kwasbabu sheria ya kusema hii ni dhambi ipo maalumu kwa ajili ya watu, basi haupaswi kumuita mwema au mtakatifu kwasababu hayo ni maneno yanayomtofautisha yule ambaye hafanyi dhambi na since yeye hausiki na sheria za binadamu nasi hana uhalali wa neno hilo.

Nadhani umenielewa
 
Dhambi ni uasi dhidi ya sheria za Mungu. Na sheria hizo zilitolewa kwa wanadamu na malaika.(viumbe vyote vinavyotambua mema na mabaya)
Yeye ndo mtoa sheria. Je akitenda kitu alichokukataza wewe anafanya uasi dhidi ya sheria ya nani!? Maana yeye hana wa kumpa sheria kwamba akikiuka anatenda dhambi dhidi ya mtoa sheria. Yeye ndo mtoa sheria na mtawala mkuu mwanzo mwisho.
 
Bro angalia maisha yako hayo mambo mwachie mungu mwenyewe au ukiweza muulize sisi unatupa kazi tusioiweza, haya mambo yatakutia umaskini ukitambaa nayo sana
 
Sasa hapa utatakiwa uniambie nikuthibitishie vipi

Kwani Si wewe ndiye uliyesema kwamba gharika za wale Mashoga wa Sodoma na Gomora ziliratibiwa na Mungu!!, sasa thibitisha hicho unachosema.

Na Kwanini kugharikishwa kwa hao mashoga roho yakuuma??!!
 
Sijatoka kwenye hoja, nimeona wengi wenu mnashindwa kujibu hoja zangu kwa kuleta tasfiri mpya ya dhambi

Jambo fulani likifanywa na mtu tunasema ni dhambi ila Mungu akifanya kitu hicho hicho ambacho kimetoka kufanywa na mtu na tukakiita ni dhambi, kwa Mungu haiwi dhambi.

Iweje Mungu afanye ukatiri aitwe mtakatifu/mwema?

Ukisema sheria za kutambua dhambi ziliwekwa kwa ajili ya kutumika na watu.

Kumbuka kuwa hao watu pia wasipofanya hizo dhambi wanaitwa watakatifu/wema.

Na Mungu naye kumbuka huitwa mwema, sasa kwanini aitwe mwema wakati hafungamani na shetia zinazohusiana na watu?

Umeielewa hoja yangu mpaka hapo?

Ukisema Mungu anaua watu bila hatia na bado haesabiki kuwa ni dhambi kwasbabu sheria ya kusema hii ni dhambi ipo maalumu kwa ajili ya watu, basi haupaswi kumuita mwema au mtakatifu kwasababu hayo ni maneno yanayomtofautisha yule ambaye hafanyi dhambi na since yeye hausiki na sheria za binadamu nasi hana uhalali wa neno hilo.

Nadhani umenielewa
Sikutishi Bro
Kuwa na akiba ya Maneno, God is there, and Real is There
 
Kwa ujinga wangu mwingi : dhambi ni matokeo ya kufanya matendo mabaya yaliyokatazwa na Mungu. Mungu hakatazwi na yeyote kufanya chochote na Kwa mantiki hii Mungu yupo juu ya sheria zake na kwa sabab hio hakuna wa kudeclare matendo yake kuw dhambi. hakuna mamlaka inayomzidi.
 
Kwani Si wewe ndiye uliyesema kwamba gharika za wale Mashoga wa Sodoma na Gomora ziliratibiwa na Mungu!!, sasa thibitisha hicho unachosema.

Na Kwanini kugharikishwa kwa hao mashoga roho yakuuma??!!
Hoja yako imekaa kimhemko, unanibashiria fikra zangu kupitia mawazo yako

Unataka nijibu hoja kulingana na vile wewe unavyofikiri kuwa mimi ndio nafikiria

Sijui umetumia kipimo gani kujua roho inaniuma

Okay narudi kwenye swali

Sababu ya mimi kukuuliza uthibitishiwaje nilimaanisha ni source ipi ambayo unataka mimi nikuthibitishie hao watu waliuwawa na Mungu

Nikiwa na maana ya kwamba, hiyo stori iko based kwenye biblia na wewe ni muislam

Waislam na Wakristo huwa wanapingana kwenye habari nyingi zilizoandikwa kwenye vitabu vyao, sasa wewe umekuja kuingilia mada na kutaka uthibitishiwe.

Wakristo wote waliosoma hayo maelezo wameelewa na wanajua wapi hayo maneno yanapatikana na ndio maana hakuna aliyeuliza swali kama lako.

Kwa hiyo swali linakuja kwako tena

Unataka uthibitishiwaje?

Kama utaweza mteue member mmoja tuliyefanya mjadala pasipo kuuliza swali hilo akusaidie kukuelewesha
 
Sikutishi Bro
Kuwa na akiba ya Maneno, God is there, and Real is There
And my question wasn't "where is God "

Unapimaje kuwa Mungu ni mwema au mtakatifu kupitia mchanganuo niliokuwekea hapo?
 
Jibu ni Ndiyo

Katika amri kumi alizompa Musa, Mungu aliagiza kuwa "usiue"

Lakini wote tunakubaliana kuwa Gharika, sodoma na gomola yalikuwa ni mauaji ya kikatili mno yaliyo ratibiwa na Mungu mwenyewe.
Imeandikwa USIUE,lakini pia imeandikwa usimuache mwanamke mchawi akaishi(muue),au mtu atakayefanya mauaji kwa makusudi ana hatia na yampasa kuuawa(ukiua kwa upanga ,utakufa kwa upanga)

Utitazama kwa umakini,utagundua tendo la mauaji linaweza ama kuwa kosa au kuwa sawa kulingana na muktadha mbalimbali
 
Kwa mujibu wa vitabu vya dini, Mungu amewahi kuua si mara moja wala si mtu mmoja.
ameua maelfu kwa maelfu.

Na bado hajaishia hapo ameandaa moto wa Jehanamu awachome wanadamu.

Mungu ni katili sana. hatupaswi kumnyenyekea katili hata kidogo
Duh Ila wee jamaa[emoji125]
 
Hizo sababu za kuhalalisha mauaji pia zinaweza kutumika dhidi ya watoto wachanga?
 
Hoja yako imekaa kimhemko, unanibashiria fikra zangu kupitia mawazo yako

Unataka nijibu hoja kulingana na vile wewe unavyofikiri kuwa mimi ndio nafikiria

Sijui umetumia kipimo gani kujua roho inaniuma

Okay narudi kwenye swali

Sababu ya mimi kukuuliza uthibitishiwaje nilimaanisha ni source ipi ambayo unataka mimi nikuthibitishie hao watu waliuwawa na Mungu

Nikiwa na maana ya kwamba, hiyo stori iko based kwenye biblia na wewe ni muislam

Waislam na Wakristo huwa wanapingana kwenye habari nyingi zilizoandikwa kwenye vitabu vyao, sasa wewe umekuja kuingilia mada na kutaka uthibitishiwe.

Wakristo wote waliosoma hayo maelezo wameelewa na wanajua wapi hayo maneno yanapatikana na ndio maana hakuna aliyeuliza swali kama lako.

Kwa hiyo swali linakuja kwako tena

Unataka uthibitishiwaje?

Kama utaweza mteue member mmoja tuliyefanya mjadala pasipo kuuliza swali hilo akusaidie kukuelewesha

Nimeamini Wakenya wanasema kweli kwamba Watz wanacho "Kiswahili murefu".

Swali ni rahisi tu; leta ushahidi ulionao unaokufanya useme kwamba gharika la wale Mashoga wa Sodoma na Gomora liliratibiwa na Mungu, haijalishi ni chanzo gani cha ushahidi ulichonacho.

Kama huna jibu au hutaki kunijibu basi uwe wazi tu kuliko ku-beat around the bush.
 
Mi nadhani wewe ndio upo kwenye nafasi kubwa ya kutoa uthibitisho kwsababu kwenye hoja yangu hakuna sehemu nimetaja mashoga

Yawezekana huu mkanganyiko unatokea kwasababu tunaongelea kitu tofauti

Itakuwa hao mashoga kuna sehemu uliwasoma hivyo wewe ndiye mwenge jukumu la kuniambia hizo habari tunaweza kuzipata kwenye chanzo kipi
 
Kwa mujibu wa vitabu vya dini, Mungu amewahi kuua si mara moja wala si mtu mmoja.
ameua maelfu kwa maelfu.

Na bado hajaishia hapo ameandaa moto wa Jehanamu awachome wanadamu.

Mungu ni katili sana. hatupaswi kumnyenyekea katili hata kidogo
He has created man from Nutfah (mixed drops of male and female sexual discharge), then behold, this same (man) becomes an open opponent.

Amemuumba mtu kwa tone la manii. Naye mara amekuwa mshindani dhaahiri.
16:4 Qur'an
 
Mi nadhani wewe ndio upo kwenye nafasi kubwa ya kutoa uthibitisho kwsababu kwenye hoja yangu hakuna sehemu nimetaja mashoga

Yawezekana huu mkanganyiko unatokea kwasababu tunaongelea kitu tofauti

Itakuwa hao mashoga kuna sehemu uliwasoma hivyo wewe ndiye mwenge jukumu la kuniambia hizo habari tunaweza kuzipata kwenye chanzo kipi

Katika amri kumi alizompa Musa, Mungu aliagiza kuwa "usiue"

Lakini wote tunakubaliana kuwa Gharika, sodoma na gomola yalikuwa ni mauaji ya kikatili mno yaliyo ratibiwa na Mungu mwenyewe

👆🏻 Hayo ni maneno yako, sasa hebu thibitisha ni wapi Mungu aliratibu gharika la Sodoma na Gomora??-- baada ya hapo ndipo nitakuja kukuthibitishia kwamba hao Wasodoma, (whereas the word sodomy is derived from), na Wagomora walikuwa Mashoga.
 
Ni9neshe kwenye maneno yangu mahali nilipoandika "mashoga"
 
Back
Top Bottom