Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Dhambi za kuabudu miungu mingine zinasababisha laana ya magonjwa, mfano magonjwa ya sickle cell anemia, cancer, etc husafiri kizazi hadi kizazi.Hizi hadhabu kwa makosa ya wazazi wetu ni hadhabu gani? Na kwa makosa yapi? Hasa ya wazazi wetu!!
Kwa vyovyote vile huu ni uonevu wa kiwango cha juuKuna katoto kalemavu kana nifikirisha sanaa kana mwaka wa tano sasa kanaenda wa sita kapo tu kitandani huwa kanalishwa kanaogeshwa kanarudiswa kitandani hakaoni japo kuwa kana macho mazuri ni kitoto cha kulala tu hakaongei daaah najiuliza pengine ndio inaweza ikawa laana yenyewe hiyo Mungu aliyompa kutokana na dhambi za wazazi wake!! Sasa najiuliza chenyewe katoto kanajiteteaje? Sasa wakati tangu katoto hakaoni wala hakatembei ni kuumwa tu tangia kazaliwe daaah
Huu upotoshaji unasambaxwa na wanamaombi kutia watu hofu ili wawapige pesa. Magonjwa hayo uliyoyataja ni purely biological. Unaweza kuyarithi only biologically na sio spiritually. Na haijalishi hali yako ya kiroho. Kiufupi Hakuna asiye na ugonjwa hapa duniani. It's a matter of time. Hata uwe mtakatifu namna gani. It's an existential matter. Mwili unachoka. Sasa kuna magonjwa ya kupata ama kurithi. Kurithi sio laana. Ni maumbile. When you generate an offspring unatoa part of you kwa kuimbe kipya, nguvu na mapungufu yako genetically. It's not about curses but genes.Dhambi za kuabudu miungu mingine zinasababisha laana ya magonjwa, mfano magonjwa ya sickle cell anemia, cancer, etc husafiri kizazi hadi kizazi.
Kuna watu wana mbinu za kuvunja laana hizo na magonjwa yanaachia
Kwa Mateso na Kifo Chake YESU hayo yote ya hapo juu yaliuwishwa pale Msalabani- sasa hivi ni Wewe na Mungu! Ubebi dhambi wala hukumu ya Mwingine na wala Watoto wako awarithi dhambi zakoHabari waugwana
Rejea kichwa cha mzizi;
Inanifikirisha kidogo na simpingi Mungu bali nahitaji msaada zaidi kwenye hili, Mungu anakazia katika biblia HESABU 14:18 BHN
View attachment 2503098
Tena kwenye KUTOKA 20:5 BHN
View attachment 2503099
Atawaadhibu watoto na wajukuu hadi kizazi cha tatu na cha nne kwa dhambi za wazazi wao
Hizi hadhabu kwa makosa ya wazazi wetu ni hadhabu gani? Na kwa makosa yapi? Hasa ya wazazi wetu!!!
Mtoto kuzaliwa tu na ulemavu na kupata tabu palee anapozaliwa mpaka kufa kwake- inaogopesha na kutia huruma
Kufa kifo kibaya kama kusagwa sagwa kwa kugongwa na gari kubwaa na kutoka kama chapati ilee hali ya mtu kutokukutambua wewe ni nan?
Kuwa na maisha magumu pindi unazaliwa mpaka kufa kwako yaani wewe chakula chako cha shida una pa kulala wala cha kuvaa mpaka unaiaga dunia!!
Kuzaliwa una jinsia mbili ya kike na yakiume na pengine zote zinafanya kazi au mojawapo ilimradi tu ufedheheke
Nb; nilitaka nijue kutoka kwenu wakuu, dhambi ipi hiyo Mungu anaichukia mpaka akaamisha laana kwa watoto mpaka wajukuu yaani mpaka kizazi cha tatu mpaka cha nne!!
Sina haja ya kumpangia Mungu!! Kwann? Asingewapa laana hao hao waliofanya hizo dhambi yaani wazazi mpaka kuamishia laana kwa watoto na wajukuu nn? Kilimkwaza Mungu
Eeee Mungu usituangamize!!!
Huo ujumbe unawahusu hao aliokuwa nao hakutulenga sisiHabari waugwana

We mhaya jifunze kuandika Hadhabu ndio nn?Hadhabu kwa watoto na kwa wajukuu kwa dhambi za mtu mwingine kweli hii imekaaje? Chief
Hasa ukimwaga damu za watuHabari waugwana
Rejea kichwa cha mzizi;
Inanifikirisha kidogo na simpingi Mungu bali nahitaji msaada zaidi kwenye hili, Mungu anakazia katika biblia HESABU 14:18 BHN
View attachment 2503098
Tena kwenye KUTOKA 20:5 BHN
View attachment 2503099
Atawaadhibu watoto na wajukuu hadi kizazi cha tatu na cha nne kwa dhambi za wazazi wao
Hizi hadhabu kwa makosa ya wazazi wetu ni hadhabu gani? Na kwa makosa yapi? Hasa ya wazazi wetu!!!
Mtoto kuzaliwa tu na ulemavu na kupata tabu palee anapozaliwa mpaka kufa kwake- inaogopesha na kutia huruma
Kufa kifo kibaya kama kusagwa sagwa kwa kugongwa na gari kubwaa na kutoka kama chapati ilee hali ya mtu kutokukutambua wewe ni nan?
Kuwa na maisha magumu pindi unazaliwa mpaka kufa kwako yaani wewe chakula chako cha shida una pa kulala wala cha kuvaa mpaka unaiaga dunia!!
Kuzaliwa una jinsia mbili ya kike na yakiume na pengine zote zinafanya kazi au mojawapo ilimradi tu ufedheheke
Nb; nilitaka nijue kutoka kwenu wakuu, dhambi ipi hiyo Mungu anaichukia mpaka akaamisha laana kwa watoto mpaka wajukuu yaani mpaka kizazi cha tatu mpaka cha nne!!
Sina haja ya kumpangia Mungu!! Kwann? Asingewapa laana hao hao waliofanya hizo dhambi yaani wazazi mpaka kuamishia laana kwa watoto na wajukuu nn? Kilimkwaza Mungu
Eeee Mungu usituangamize!!!
Watu wanatoa maoni kwa hisia zao wanashindwa kujua Mungu afikirii kama Mwanadamu kusudi la Yesu kuja ni kulifafanua neno la bwana mtu kuzaliwa kilema sio kwamba kalaanika au kafanya dhambi tumboni hapana
Mungu huruhusu mtihani ambao anajua unaweza kuumudu hao ni namna tu kimaumbile ila kiroho ni kamili anaona na inaweza ikawa ni namna ya kuwasiliana na wanadamu na kuwajulisha kwamba huijui kesho yako
Hakuna kisicho na sababu ila kwa kufa kwake Yesu yote yamekwisha
Navyoelewa mimi yule Jehovah ni Shetani. Hataki umwabudu Molech au Baal,au Belial au Asmodeus au wale shetani wengine juniour.
Wale ni wasaidizi wake. Ukiwaita "bosi",ndio Mungu atakuwa na wivu
Siyo kwamba atakuadhibu,ila wewe mwenyewe utajidhuru na familia yako kwa kumwamini Mungu feki.
Ukisoma OT kichwa kichwa bila kukamilisha na NT unaingia mkenge.
Romans 2:6
"God will repay each person according to what they have done.”
Ufunuo wa OT unapata utimilifu wake ktk NT. hivyo lazima usome parallel otherwise utajikuta Myahudi na si Mkristo.
Kwa sisi Waislam kila mtu atachomwa kwa dhambi zake.Habari waugwana
Rejea kichwa cha mzizi;
Inanifikirisha kidogo na simpingi Mungu bali nahitaji msaada zaidi kwenye hili, Mungu anakazia katika biblia HESABU 14:18 BHN
View attachment 2503098
Tena kwenye KUTOKA 20:5 BHN
View attachment 2503099
Atawaadhibu watoto na wajukuu hadi kizazi cha tatu na cha nne kwa dhambi za wazazi wao
Hizi hadhabu kwa makosa ya wazazi wetu ni hadhabu gani? Na kwa makosa yapi? Hasa ya wazazi wetu!!!
Mtoto kuzaliwa tu na ulemavu na kupata tabu palee anapozaliwa mpaka kufa kwake- inaogopesha na kutia huruma
Kufa kifo kibaya kama kusagwa sagwa kwa kugongwa na gari kubwaa na kutoka kama chapati ilee hali ya mtu kutokukutambua wewe ni nan?
Kuwa na maisha magumu pindi unazaliwa mpaka kufa kwako yaani wewe chakula chako cha shida una pa kulala wala cha kuvaa mpaka unaiaga dunia!!
Kuzaliwa una jinsia mbili ya kike na yakiume na pengine zote zinafanya kazi au mojawapo ilimradi tu ufedheheke
Nb; nilitaka nijue kutoka kwenu wakuu, dhambi ipi hiyo Mungu anaichukia mpaka akaamisha laana kwa watoto mpaka wajukuu yaani mpaka kizazi cha tatu mpaka cha nne!!
Sina haja ya kumpangia Mungu!! Kwann? Asingewapa laana hao hao waliofanya hizo dhambi yaani wazazi mpaka kuamishia laana kwa watoto na wajukuu nn? Kilimkwaza Mungu
Eeee Mungu usituangamize!!!
Huu upotoshaji unasambaxwa na wanamaombi kutia watu hofu ili wawapige pesa. Magonjwa hayo uliyoyataja ni purely biological. Unaweza kuyarithi only biologically na sio spiritually. Na haijalishi hali yako ya kiroho. Kiufupi Hakuna asiye na ugonjwa hapa duniani. It's a matter of time. Hata uwe mtakatifu namna gani. It's an existential matter. Mwili unachoka. Sasa kuna magonjwa ya kupata ama kurithi. Kurithi sio laana. Ni maumbile. When you generate an offspring unatoa part of you kwa kuimbe kipya, nguvu na mapungufu yako genetically. It's not about curses but genes.