Mungu atawaadhibu kwa dhambi za wazazi wenu, hata kizazi cha tatu mpaka cha nne

Watu wanatoa maoni kwa hisia zao wanashindwa kujua Mungu afikirii kama Mwanadamu kusudi la Yesu kuja ni kulifafanua neno la bwana mtu kuzaliwa kilema sio kwamba kalaanika au kafanya dhambi tumboni hapana
Mungu huruhusu mtihani ambao anajua unaweza kuumudu hao ni namna tu kimaumbile ila kiroho ni kamili anaona na inaweza ikawa ni namna ya kuwasiliana na wanadamu na kuwajulisha kwamba huijui kesho yako

Hakuna kisicho na sababu ila kwa kufa kwake Yesu yote yamekwisha
 
Navyoelewa mimi yule Jehovah ni Shetani. Hataki umwabudu Molech au Baal,au Belial au Asmodeus au wale shetani wengine juniour.
Wale ni wasaidizi wake. Ukiwaita "bosi",ndio Mungu atakuwa na wivu
Siyo kwamba atakuadhibu,ila wewe mwenyewe utajidhuru na familia yako kwa kumwamini Mungu feki.
 
Hizi hadhabu kwa makosa ya wazazi wetu ni hadhabu gani? Na kwa makosa yapi? Hasa ya wazazi wetu!!
Dhambi za kuabudu miungu mingine zinasababisha laana ya magonjwa, mfano magonjwa ya sickle cell anemia, cancer, etc husafiri kizazi hadi kizazi.

Kuna watu wana mbinu za kuvunja laana hizo na magonjwa yanaachia
 
Ukisoma OT kichwa kichwa bila kukamilisha na NT unaingia mkenge.
Romans 2:6
"God will repay each person according to what they have done.”
Ufunuo wa OT unapata utimilifu wake ktk NT. hivyo lazima usome parallel otherwise utajikuta Myahudi na si Mkristo.
 
Kuna katoto kalemavu kana nifikirisha sanaa kana mwaka wa tano sasa kanaenda wa sita kapo tu kitandani huwa kanalishwa kanaogeshwa kanarudiswa kitandani hakaoni japo kuwa kana macho mazuri ni kitoto cha kulala tu hakaongei daaah najiuliza pengine ndio inaweza ikawa laana yenyewe hiyo Mungu aliyompa kutokana na dhambi za wazazi wake!! Sasa najiuliza chenyewe katoto kanajiteteaje? Sasa wakati tangu katoto hakaoni wala hakatembei ni kuumwa tu tangia kazaliwe daaah
Kwa vyovyote vile huu ni uonevu wa kiwango cha juu
 
Dhambi za kuabudu miungu mingine zinasababisha laana ya magonjwa, mfano magonjwa ya sickle cell anemia, cancer, etc husafiri kizazi hadi kizazi.

Kuna watu wana mbinu za kuvunja laana hizo na magonjwa yanaachia
Huu upotoshaji unasambaxwa na wanamaombi kutia watu hofu ili wawapige pesa. Magonjwa hayo uliyoyataja ni purely biological. Unaweza kuyarithi only biologically na sio spiritually. Na haijalishi hali yako ya kiroho. Kiufupi Hakuna asiye na ugonjwa hapa duniani. It's a matter of time. Hata uwe mtakatifu namna gani. It's an existential matter. Mwili unachoka. Sasa kuna magonjwa ya kupata ama kurithi. Kurithi sio laana. Ni maumbile. When you generate an offspring unatoa part of you kwa kuimbe kipya, nguvu na mapungufu yako genetically. It's not about curses but genes.
 
Habari waugwana

Rejea kichwa cha mzizi;
Inanifikirisha kidogo na simpingi Mungu bali nahitaji msaada zaidi kwenye hili, Mungu anakazia katika biblia HESABU 14:18 BHN
View attachment 2503098
Tena kwenye KUTOKA 20:5 BHN
View attachment 2503099

Atawaadhibu watoto na wajukuu hadi kizazi cha tatu na cha nne kwa dhambi za wazazi wao

Hizi hadhabu kwa makosa ya wazazi wetu ni hadhabu gani? Na kwa makosa yapi? Hasa ya wazazi wetu!!!

Mtoto kuzaliwa tu na ulemavu na kupata tabu palee anapozaliwa mpaka kufa kwake- inaogopesha na kutia huruma

Kufa kifo kibaya kama kusagwa sagwa kwa kugongwa na gari kubwaa na kutoka kama chapati ilee hali ya mtu kutokukutambua wewe ni nan?

Kuwa na maisha magumu pindi unazaliwa mpaka kufa kwako yaani wewe chakula chako cha shida una pa kulala wala cha kuvaa mpaka unaiaga dunia!!

Kuzaliwa una jinsia mbili ya kike na yakiume na pengine zote zinafanya kazi au mojawapo ilimradi tu ufedheheke

Nb; nilitaka nijue kutoka kwenu wakuu, dhambi ipi hiyo Mungu anaichukia mpaka akaamisha laana kwa watoto mpaka wajukuu yaani mpaka kizazi cha tatu mpaka cha nne!!

Sina haja ya kumpangia Mungu!! Kwann? Asingewapa laana hao hao waliofanya hizo dhambi yaani wazazi mpaka kuamishia laana kwa watoto na wajukuu nn? Kilimkwaza Mungu

Eeee Mungu usituangamize!!!
Kwa Mateso na Kifo Chake YESU hayo yote ya hapo juu yaliuwishwa pale Msalabani- sasa hivi ni Wewe na Mungu! Ubebi dhambi wala hukumu ya Mwingine na wala Watoto wako awarithi dhambi zako
 
Habari waugwana

Rejea kichwa cha mzizi;
Inanifikirisha kidogo na simpingi Mungu bali nahitaji msaada zaidi kwenye hili, Mungu anakazia katika biblia HESABU 14:18 BHN
View attachment 2503098
Tena kwenye KUTOKA 20:5 BHN
View attachment 2503099

Atawaadhibu watoto na wajukuu hadi kizazi cha tatu na cha nne kwa dhambi za wazazi wao

Hizi hadhabu kwa makosa ya wazazi wetu ni hadhabu gani? Na kwa makosa yapi? Hasa ya wazazi wetu!!!

Mtoto kuzaliwa tu na ulemavu na kupata tabu palee anapozaliwa mpaka kufa kwake- inaogopesha na kutia huruma

Kufa kifo kibaya kama kusagwa sagwa kwa kugongwa na gari kubwaa na kutoka kama chapati ilee hali ya mtu kutokukutambua wewe ni nan?

Kuwa na maisha magumu pindi unazaliwa mpaka kufa kwako yaani wewe chakula chako cha shida una pa kulala wala cha kuvaa mpaka unaiaga dunia!!

Kuzaliwa una jinsia mbili ya kike na yakiume na pengine zote zinafanya kazi au mojawapo ilimradi tu ufedheheke

Nb; nilitaka nijue kutoka kwenu wakuu, dhambi ipi hiyo Mungu anaichukia mpaka akaamisha laana kwa watoto mpaka wajukuu yaani mpaka kizazi cha tatu mpaka cha nne!!

Sina haja ya kumpangia Mungu!! Kwann? Asingewapa laana hao hao waliofanya hizo dhambi yaani wazazi mpaka kuamishia laana kwa watoto na wajukuu nn? Kilimkwaza Mungu

Eeee Mungu usituangamize!!!
Huo ujumbe unawahusu hao aliokuwa nao hakutulenga sisi
 
Hasa ukimwaga damu za watu
 
Kuna vitu vingine sio laana hata wanadamu wanatenda na yanatokea, Kuna kulogwa na wanaotumia madawa ya kutoa mimba zinagoma, wakati wa uzalishaji daktari anakosea, ukosefu wa lishe kwa mama mjamzito, magonjwa kwa mama mjamzito mtoto lazima hapo awe na kasoro vitu vingine acheni kusingizia vitu vya ajabu, Unafikiri nchi za ughaibuni haya Mambo mbona kidogo Sana kuliko Africa, mbona wanauwana Sana kwenye mabomu mabunduki lkn hakuna watoto wa namna hio? Angalieni Marekani, Ujerumani, Urusi, Ukraine, n.k hawajui hizo notion. Kwa maelezo zaidi Wapo wanaologa wengine halafu wanasema kizazi hicho kina laana kumbe Kuna kitu nyuma ya pazia. Any way, laana zipo wapo wazee waliofanya maafa kipindi cha nyuma na wale waliofanyiwa wakalaani hivyo vitu ukivifuatilia utachoka Sana mwishowe msongo wa mawazo.
 
Kila mmoja atahukumiwa kwa dhambi yake. Wewe unatakiwa kujiondoa kwenye chain kwa kuomba toba kwa Mungu kuhusu dhambi za mababu na wazazi. Pia mwombe Mungu asiwaadhibu watoto wako na kizazi Chako kwa dhambi yako. Omba akusamehe na asamehe uzao wako.
 
Watu wanatoa maoni kwa hisia zao wanashindwa kujua Mungu afikirii kama Mwanadamu kusudi la Yesu kuja ni kulifafanua neno la bwana mtu kuzaliwa kilema sio kwamba kalaanika au kafanya dhambi tumboni hapana
Mungu huruhusu mtihani ambao anajua unaweza kuumudu hao ni namna tu kimaumbile ila kiroho ni kamili anaona na inaweza ikawa ni namna ya kuwasiliana na wanadamu na kuwajulisha kwamba huijui kesho yako

Hakuna kisicho na sababu ila kwa kufa kwake Yesu yote yamekwisha

Inanifikirisha sana, kosa la wazazi uhadhibiwe wewe
 
Navyoelewa mimi yule Jehovah ni Shetani. Hataki umwabudu Molech au Baal,au Belial au Asmodeus au wale shetani wengine juniour.
Wale ni wasaidizi wake. Ukiwaita "bosi",ndio Mungu atakuwa na wivu
Siyo kwamba atakuadhibu,ila wewe mwenyewe utajidhuru na familia yako kwa kumwamini Mungu feki.

Nafikiri hapo imejieleza kabsa, kuwa adhabu ipo Kwa kizazi mpaka kizazi
 
Ukisoma OT kichwa kichwa bila kukamilisha na NT unaingia mkenge.
Romans 2:6
"God will repay each person according to what they have done.”
Ufunuo wa OT unapata utimilifu wake ktk NT. hivyo lazima usome parallel otherwise utajikuta Myahudi na si Mkristo.

Ndio maana naomba ufafanuzi kwenye hivyo vifungu
 
Kwa vyovyote vile huu ni uonevu wa kiwango cha juu

Labda tufikirie ni magonjwa tu watu yanawapata ila na sio laana kutoka kwa Mungu
 
Habari waugwana

Rejea kichwa cha mzizi;
Inanifikirisha kidogo na simpingi Mungu bali nahitaji msaada zaidi kwenye hili, Mungu anakazia katika biblia HESABU 14:18 BHN
View attachment 2503098
Tena kwenye KUTOKA 20:5 BHN
View attachment 2503099

Atawaadhibu watoto na wajukuu hadi kizazi cha tatu na cha nne kwa dhambi za wazazi wao

Hizi hadhabu kwa makosa ya wazazi wetu ni hadhabu gani? Na kwa makosa yapi? Hasa ya wazazi wetu!!!

Mtoto kuzaliwa tu na ulemavu na kupata tabu palee anapozaliwa mpaka kufa kwake- inaogopesha na kutia huruma

Kufa kifo kibaya kama kusagwa sagwa kwa kugongwa na gari kubwaa na kutoka kama chapati ilee hali ya mtu kutokukutambua wewe ni nan?

Kuwa na maisha magumu pindi unazaliwa mpaka kufa kwako yaani wewe chakula chako cha shida una pa kulala wala cha kuvaa mpaka unaiaga dunia!!

Kuzaliwa una jinsia mbili ya kike na yakiume na pengine zote zinafanya kazi au mojawapo ilimradi tu ufedheheke

Nb; nilitaka nijue kutoka kwenu wakuu, dhambi ipi hiyo Mungu anaichukia mpaka akaamisha laana kwa watoto mpaka wajukuu yaani mpaka kizazi cha tatu mpaka cha nne!!

Sina haja ya kumpangia Mungu!! Kwann? Asingewapa laana hao hao waliofanya hizo dhambi yaani wazazi mpaka kuamishia laana kwa watoto na wajukuu nn? Kilimkwaza Mungu

Eeee Mungu usituangamize!!!
Kwa sisi Waislam kila mtu atachomwa kwa dhambi zake.
 
Huu upotoshaji unasambaxwa na wanamaombi kutia watu hofu ili wawapige pesa. Magonjwa hayo uliyoyataja ni purely biological. Unaweza kuyarithi only biologically na sio spiritually. Na haijalishi hali yako ya kiroho. Kiufupi Hakuna asiye na ugonjwa hapa duniani. It's a matter of time. Hata uwe mtakatifu namna gani. It's an existential matter. Mwili unachoka. Sasa kuna magonjwa ya kupata ama kurithi. Kurithi sio laana. Ni maumbile. When you generate an offspring unatoa part of you kwa kuimbe kipya, nguvu na mapungufu yako genetically. It's not about curses but genes.

Mimi nafikiri hiki kipande kwenye hivyo vifungu ni kandamizi kidogo na najaribu kufikiria kuna wajanja wameviingiza tu kwenye kitabu Kwa lengo la kuwapotosha watu na tuuweke ugongwa kama ugonjwa tu au matatizo ni matatizo tu, Na hakuna laana hiyo iliyotajwa hapo
 
Back
Top Bottom