Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Watu wanatoa maoni kwa hisia zao wanashindwa kujua Mungu afikirii kama Mwanadamu kusudi la Yesu kuja ni kulifafanua neno la bwana mtu kuzaliwa kilema sio kwamba kalaanika au kafanya dhambi tumboni hapana
Mungu huruhusu mtihani ambao anajua unaweza kuumudu hao ni namna tu kimaumbile ila kiroho ni kamili anaona na inaweza ikawa ni namna ya kuwasiliana na wanadamu na kuwajulisha kwamba huijui kesho yako
Hakuna kisicho na sababu ila kwa kufa kwake Yesu yote yamekwisha