JumaKilumbi
JF-Expert Member
- Sep 7, 2022
- 432
- 507
Hasa, hicho ndicho ninachokisema mkuu.Hukuwepo na wala hiyo dhambi huijui, huo utakuwa wendawazimu.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasa, hicho ndicho ninachokisema mkuu.Hukuwepo na wala hiyo dhambi huijui, huo utakuwa wendawazimu.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Kiranga atasema mthibitishe kwanza kama huyo Mungu yupo kweli na sio hadithi tu.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Embu mpangie Allah nyama zisioze , kwani sisi tulihusika na dhambi za waisrael? na pia wanawake wasitoke nje ya ndoa kwani walihusika na dhambi za Eva?Hasa, hicho ndicho ninachokisema mkuu.
So kwahiyo unasema uwezo wa kutuokoa anao ila ameamua kutuacha tuteseke kwa hiyo jibu ni kwamba sio mwenye huruma na upendo kama vitabu vinavyosema 😀😀(For the sake of argument)
Kwani kuna ulazima gani Mungu kutuokoa na hayo madhila?
Kwani Mungu analazimika vipi kututhihitishia kuwa yeye ni muweza wa yote hasa kwa kuyaondoa haya tunayoyaona mabaya?
Lengo la wewe kutubu hiyo dhambi ya wazazi wako ni ili ujitenganishe nayo,unapaswa kujuwa kuwa hakuna mtu atakayesamehewa dhambi kama alikufa bila ya kutubu...Suala la kutubu dhambi za wazazi ambao wakati wanafanya pengine wewe hukuwepo ndilo tatizo letu hapa.
Mimi nasema hiyo siyo haki, kila mtu awajibike kwa dhambi zake.
Lengo la wewe kutubu hiyo dhambi ya wazazi wako ni ili ujitenganishe nayo,unapaswa kujuwa kuwa hakuna mtu atakayesamehewa dhambi kama alikufa bila ya kutubu...
Kabla ya kusema hatua za kufanya, kwa nini nihukumiwe kwa dhambi ambayo sijaifanya. Eleza kwa niniLengo la wewe kutubu hiyo dhambi ya wazazi wako ni ili ujitenganishe nayo,unapaswa kujuwa kuwa hakuna mtu atakayesamehewa dhambi kama alikufa bila ya kutubu...
Haya Born again Churches ni Kitega uchumi na ni wezi na matapeli! Jiulize Swali- Je Mchungaji wako akifa leo: Kanisa lake litaendelea kuwepo kwa miaka 10 mbele??La agano la kale sawa
Cha ajabu makanisani kote wanatumia hayo maandiko na kwa kututisha zaidi yaani kana kwamba mambo bado yapo Kwa nn? Kisiachwe hicho kitabu kutumika?
Hapo sijaona kuwa Mungu anatuadhibu kwa kuozesha nyama kisa WaIsrael, sijaona ati Mungu anawafanya KE wasaliti waume zao kisa Hawa.Embu mpangie Allah nyama zisioze , kwani sisi tulihusika na dhambi za waisrael? na pia wanawake wasitoke nje ya ndoa kwani walihusika na dhambi za Eva?
Muhammad said, "Were it not for Bani Israel, meat would not decay; and were it not for Eve, no woman would ever betray her husband."Sahih al-Bukhari 3399
Kwa mujibu wa Uislam Mungu ni mwenye upendo na huruma sana, ni muweza wa vyote, na ni mkali wa kuadhibu.So kwahiyo unasema uwezo wa kutuokoa anao ila ameamua kutuacha tuteseke kwa hiyo jibu ni kwamba sio mwenye huruma na upendo kama vitabu vinavyosema 😀😀
Sasa nijitenganishe nayo inanihusu nini?Lengo la wewe kutubu hiyo dhambi ya wazazi wako ni ili ujitenganishe nayo,unapaswa kujuwa kuwa hakuna mtu atakayesamehewa dhambi kama alikufa bila ya kutubu...
KabisaSasa nijitenganishe nayo inanihusu nini?
Dhambi afanye baba na mama, mimi pengine sikuwepo, sijui motisha ya dhambi hiyo wala sijui ni dhambi ya aina gani halafu nitubu, kivipi?
Ni sahihi kutubu dhambi niliyoifanya mimi mwenyewe kwa akili zangu timamu.
Na wazazi ni jukumu lao kujitenganisha na dhambi zao walizofanya kwa utashi wao.
Si sawa kubebeshana mizigo isiyo yetu mkuu, huo ni uonevu mkubwa sana.
Hauoni au unajifanya kutokuona ,Hapo sijaona kuwa Mungu anatuadhibu kwa kuozesha nyama kisa WaIsrael, sijaona ati Mungu anawafanya KE wasaliti waume zao kisa Hawa.
Au wewe umeona wapi bwana Mokiti
Ukisoma OT kichwa kichwa bila kukamilisha na NT unaingia mkenge.
Romans 2:6
"God will repay each person according to what they have done.”
Ufunuo wa OT unapata utimilifu wake ktk NT. hivyo lazima usome parallel otherwise utajikuta Myahudi na si Mkristo.
Ufunuo upo katika stages na utimilifu wake ni ktk Yesu. Ndio maana some staff aliziboresha Kama..... Imeandikwa kwamba jino kwa jino...lakini nawambieni ......mgeuzie upande mwingine+other Jewish lawsMungu anakanusha maneno yake?!!
Hapana.ufunuo upo ktk stages na utimulifu wake upo ktk Yesu. Kuna mambo mengine yanaonekana ni kinyume na agano jipya si kwamba Mungu anadanganya ila anataka kufundisha ukweli hatua kwa hatua. Mtoto akikuuliza watoto wanatoka wapi , unamwambia wananunuliwa sababu hakafikia hatua ya kuelewa. Similarly ktk imani. Heb. 1:1-4Mimi nafikiri hiki kipande kwenye hivyo vifungu ni kandamizi kidogo na najaribu kufikiria kuna wajanja wameviingiza tu kwenye kitabu Kwa lengo la kuwapotosha watu na tuuweke ugongwa kama ugonjwa tu au matatizo ni matatizo tu, Na hakuna laana hiyo iliyotajwa hapo