Mungu atawaadhibu kwa dhambi za wazazi wenu, hata kizazi cha tatu mpaka cha nne

Mungu atawaadhibu kwa dhambi za wazazi wenu, hata kizazi cha tatu mpaka cha nne

Kiranga atasema mthibitishe kwanza kama huyo Mungu yupo kweli na sio hadithi tu.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app

Nilimuuliza swali na hakujibu mpaka leo yapata mwaka sasa

Nilimuuliza

Anithibitishie? Yeye ni nani? Na yupo wapi? Na kwa mujibu wa Nani?

Nilimuhaidi akiweza nitamthibitishie Mungu yupo na yupo wapi? Na hata akitaka kumuona ntamuonesha!!

Alikimbia hilo swali hakuweza kujibu tatizo tunasoma sana tulivyoandikiwa Kwa uongo!!!
 
Hasa, hicho ndicho ninachokisema mkuu.
Embu mpangie Allah nyama zisioze , kwani sisi tulihusika na dhambi za waisrael? na pia wanawake wasitoke nje ya ndoa kwani walihusika na dhambi za Eva?

Muhammad said, "Were it not for Bani Israel, meat would not decay; and were it not for Eve, no woman would ever betray her husband."Sahih al-Bukhari 3399
 
(For the sake of argument)
Kwani kuna ulazima gani Mungu kutuokoa na hayo madhila?

Kwani Mungu analazimika vipi kututhihitishia kuwa yeye ni muweza wa yote hasa kwa kuyaondoa haya tunayoyaona mabaya?
So kwahiyo unasema uwezo wa kutuokoa anao ila ameamua kutuacha tuteseke kwa hiyo jibu ni kwamba sio mwenye huruma na upendo kama vitabu vinavyosema 😀😀
 
Suala la kutubu dhambi za wazazi ambao wakati wanafanya pengine wewe hukuwepo ndilo tatizo letu hapa.

Mimi nasema hiyo siyo haki, kila mtu awajibike kwa dhambi zake.
Lengo la wewe kutubu hiyo dhambi ya wazazi wako ni ili ujitenganishe nayo,unapaswa kujuwa kuwa hakuna mtu atakayesamehewa dhambi kama alikufa bila ya kutubu...
 
Lengo la wewe kutubu hiyo dhambi ya wazazi wako ni ili ujitenganishe nayo,unapaswa kujuwa kuwa hakuna mtu atakayesamehewa dhambi kama alikufa bila ya kutubu...

Duuh
 
Lengo la wewe kutubu hiyo dhambi ya wazazi wako ni ili ujitenganishe nayo,unapaswa kujuwa kuwa hakuna mtu atakayesamehewa dhambi kama alikufa bila ya kutubu...

Mkuu mtu mwengine anazaliwa mlemavu aoni, asemi, asikii, ajongei yaani yeye ni kulishwa Na kuvishwa, kuogeshwa Na kusogezwa pengine hiyo ndio laana yenyewe anatubu vipi? Sasa mtu kama huyo huu si uonevu wa wazi wazi huu basi tusiite laana tuseme tu kuwa ni magonjwa tu ya kibinaadamu ili isitugombanishe na Mungu wetu mpendwa
 
La agano la kale sawa

Cha ajabu makanisani kote wanatumia hayo maandiko na kwa kututisha zaidi yaani kana kwamba mambo bado yapo Kwa nn? Kisiachwe hicho kitabu kutumika?
Haya Born again Churches ni Kitega uchumi na ni wezi na matapeli! Jiulize Swali- Je Mchungaji wako akifa leo: Kanisa lake litaendelea kuwepo kwa miaka 10 mbele??
 
Embu mpangie Allah nyama zisioze , kwani sisi tulihusika na dhambi za waisrael? na pia wanawake wasitoke nje ya ndoa kwani walihusika na dhambi za Eva?

Muhammad said, "Were it not for Bani Israel, meat would not decay; and were it not for Eve, no woman would ever betray her husband."Sahih al-Bukhari 3399
Hapo sijaona kuwa Mungu anatuadhibu kwa kuozesha nyama kisa WaIsrael, sijaona ati Mungu anawafanya KE wasaliti waume zao kisa Hawa.

Au wewe umeona wapi bwana Mokiti
 
So kwahiyo unasema uwezo wa kutuokoa anao ila ameamua kutuacha tuteseke kwa hiyo jibu ni kwamba sio mwenye huruma na upendo kama vitabu vinavyosema 😀😀
Kwa mujibu wa Uislam Mungu ni mwenye upendo na huruma sana, ni muweza wa vyote, na ni mkali wa kuadhibu.

Na maisha hapa duniani ni mtihani, si ya kudumu ni ya kupita tu. Na ni kupitia huu mtihani ndipo patapatikana hayo maisha yaso na tabu unayoyatamani mkuu.

Na, ndiyo, Mungu anaweza sana kutuokoa na tabu zote hizi ila hajaamua kufanya hivyo. Na halazimiki kufanya hivyo, hakunq anaeweza kumlazimu kufanya hivyo, anafanya anachokitaka kwa yeyote anaemtaka… Ila siku aliyotuahidi ya kufanya hivyo itafika tu.
 
Lengo la wewe kutubu hiyo dhambi ya wazazi wako ni ili ujitenganishe nayo,unapaswa kujuwa kuwa hakuna mtu atakayesamehewa dhambi kama alikufa bila ya kutubu...
Sasa nijitenganishe nayo inanihusu nini?

Dhambi afanye baba na mama, mimi pengine sikuwepo, sijui motisha ya dhambi hiyo wala sijui ni dhambi ya aina gani halafu nitubu, kivipi?

Ni sahihi kutubu dhambi niliyoifanya mimi mwenyewe kwa akili zangu timamu.

Na wazazi ni jukumu lao kujitenganisha na dhambi zao walizofanya kwa utashi wao.

Si sawa kubebeshana mizigo isiyo yetu mkuu, huo ni uonevu mkubwa sana.
 
Yaani ni kama mtu uwekwe gerezani kwa kifungo cha miaka 50 katika kutumikia ujikute umepata mtoto ukiwa huko kwa miaka 10 tu,ufe

Halafu mtoto huyo anaambiwa atatumikia kifungo kwa miaka 40 ambayo ni ya mzazi wake aliyefariki

Hii haileti maana yoyote kabisa hata kidogo
 
Sasa nijitenganishe nayo inanihusu nini?

Dhambi afanye baba na mama, mimi pengine sikuwepo, sijui motisha ya dhambi hiyo wala sijui ni dhambi ya aina gani halafu nitubu, kivipi?

Ni sahihi kutubu dhambi niliyoifanya mimi mwenyewe kwa akili zangu timamu.

Na wazazi ni jukumu lao kujitenganisha na dhambi zao walizofanya kwa utashi wao.

Si sawa kubebeshana mizigo isiyo yetu mkuu, huo ni uonevu mkubwa sana.
Kabisa
 
Hapo sijaona kuwa Mungu anatuadhibu kwa kuozesha nyama kisa WaIsrael, sijaona ati Mungu anawafanya KE wasaliti waume zao kisa Hawa.

Au wewe umeona wapi bwana Mokiti
Hauoni au unajifanya kutokuona ,
  1. Izo dhambi za waisrael zinakuhusu nini wewe mpaka nyama ioze mpaka leo?
  2. na dhambi ya eva iinawahusu nini wanawake mpaka leo wanatoka nje ya ndoa?
Muhammad said, "Were it not for Bani Israel, meat would not decay; and were it not for Eve, no woman would ever betray her husband."Sahih al-Bukhari 3399

Mpaka leo nyama zinaoza na imetubidi tumzuie Allah kwa kubuni frigi na njia zingine za kuhifazi nyama
 
Mungu anakanusha maneno yake?!!
Ukisoma OT kichwa kichwa bila kukamilisha na NT unaingia mkenge.
Romans 2:6
"God will repay each person according to what they have done.”
Ufunuo wa OT unapata utimilifu wake ktk NT. hivyo lazima usome parallel otherwise utajikuta Myahudi na si Mkristo.
 
Mungu anakanusha maneno yake?!!
Ufunuo upo katika stages na utimilifu wake ni ktk Yesu. Ndio maana some staff aliziboresha Kama..... Imeandikwa kwamba jino kwa jino...lakini nawambieni ......mgeuzie upande mwingine+other Jewish laws
 
Mimi nafikiri hiki kipande kwenye hivyo vifungu ni kandamizi kidogo na najaribu kufikiria kuna wajanja wameviingiza tu kwenye kitabu Kwa lengo la kuwapotosha watu na tuuweke ugongwa kama ugonjwa tu au matatizo ni matatizo tu, Na hakuna laana hiyo iliyotajwa hapo
Hapana.ufunuo upo ktk stages na utimulifu wake upo ktk Yesu. Kuna mambo mengine yanaonekana ni kinyume na agano jipya si kwamba Mungu anadanganya ila anataka kufundisha ukweli hatua kwa hatua. Mtoto akikuuliza watoto wanatoka wapi , unamwambia wananunuliwa sababu hakafikia hatua ya kuelewa. Similarly ktk imani. Heb. 1:1-4

Long ago, at many times and in many ways, God spoke to our fathers by the prophets, but in these last days he has spoken to us by his Son, whom he appointed the heir of all things, through whom also he created the world. He is the radiance of the glory of God and the exact imprint of his nature, and he upholds the universe by the word of his power.
With Jesus kila kitu necessarily kwa wokovu wa mwanadamu kimewekwa wazi.
 
Back
Top Bottom