Haitakaa itokee...labda nikupongeze ww ila sio Wanazi wa hii timu humu... 😆 😆🤣🤣Mtani tukiwapiga uje kutupongeza hapa mtani
@tamuuuuu mkuu heshima zako.Nachowapendea Simba hawana kelele wao ni vitendo tu.Simba ya sasa hawakuruhusu upate ushindi hata iweje!
Wale wamisri wameona hali halisi.
Tukutane tar 5 mtaona
Siku yenyewe si ndio hii?Tukutane trh 5...hyo inaitwa msiemtaka kaja
Khatari shekhe kuna watu watatamani ardhi ipasuke wafiche nyuso zao
Balaa sanaNilisema mtu kala 5 😂😂🤣🤣
SawaYanga wanatimu nzuri ila wanacheza kitoto...Azizi ki,Paccome wanapoteza Sana mipira mtu Hatari ni Max kakamilika kwelikweli
Kabisa 🤣Yametimia
Kakimbia