Mungu hana msaada wowote katika maisha yangu

Unaweza kujua kama kuna viumbe wengine au civilizations nyingine kwenye sayari nyingine tofauti na dunia?
 
If you don't believe in GOD go and pray to your ancestors (cemetery place) cry for them and ask them for guidance and right path to go .

Don't stuck/stumble in something that you don't believe.

This world is duality
There's spiritual realm and physical realim.

Ur mind is Limited so if you don't know the world of spiritual means you hustle in vain.
 
Bora uamini kama yupo na ukamkuta kuliko kuamini hayupo na ukamkuta (unaweza usimuamini na bado ukaendelea ulipoishia au zikaongezeka sana) afu kingine kaa na watu mzeee maisha mazuri hayatoki mbinguni na cha mwisho amini katika yeye kufeli haimaanishi kufeli inamaanisha keep more and more, piah kufeli haimaanishi mungu kakuacha inamaanisha mungu ana plan na wewe (Robert Einstein ashawahi kusema kama mtu hajawahi kufeli basi hajawahi kujaribu) niongezee watu wengi maarufu unaowajua duniani wamefeli zaidi ya mara 100 na wengi wamesema kugeli ni stage ya maendeleo KILA LAKHERI BRO MUNGU AKUSAIDIE
 

Attachments

  • 255621351603_status_a9e188baca0f4133a83e1a73411630c5.mp4
    4.7 MB
  • VID_91750218_062438_732.mp4
    3.6 MB
naelewa na naelewa pia contradictions kibao zimuhusu huyu Mungu wa kwenye hivi vitabu!..
na huku nilikutoa huku kwa kukuuliza "unaelewa mtu akikuambia nadharia ya Uungu..?"
swali ambalo hukulijibu! ungejibu hapa ndo ungeelewa nataka kuandika nini.
Moja ya njia ya kutatua tatizo kubwa ni kulivunjavunja katika sehemu ndogo na kuzitatua hizo sehemu ndogo ndogo.

Suala la Mungu ni kubwa sana, na hata kum define tu Mungu ni tatizo.

Ndiyo maana nikaanza hapa, tumalize ngazi ya jwanza kabla ya kupanda ya pili.

Kwa hiyo tumekubaliana huyu Mungu mjuzibwa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote hayupo?

Tumalizane hapo kwanza kabla ya kwenda kwingine.
 
Nimependa ujumbe wako.
Lakini kwanini na wewe una mashaka na Mungu? ( Hapo uliposema bora umwamini ili hata asipokuwepo usipoteze chochote)
 
Unaweza kujua kama kuna viumbe wengine au civilizations nyingine kwenye sayari nyingine tofauti na dunia?
Unaweza kujua kwa kutumia telescopes, spectronomy, etc.
 
Mkuu unapambana na ufunuo wa Yohana....

Najaribu kujiuliza mlokole akivuta shisha lenye fleva ya ganja anakuwaje?
 
Ujinga huu wa wafia dini na utakuta mna shida kuliko aliyeleta uzi
 
Unaweza kujua kwa kutumia telescopes, spectronomy, etc.
Sayari gani nyingine tofauti na dunia wameweza kuonekana viumbe hai au ishara ya civilizations kwa hizo telescopes, spectronomy n.k?
 
Nadhani umepewa miongozo lukuki.. Jaribu kuifanyia kazi.
Ila ningependa kukurekebisha jambo....
Mungu Si Kiumbe..... hakuwai kuumbwa bali yeye alikuepo na atazidi kuwepo yaani "NIKO AMBAYE NIKO"
 
Tunashukuru kwa kutufokea tena kwa jazba sana na kututishia juu, ila ungeandika nini tatizo nadhani wajuzi wa mambo wangejua wakusaidie kuanzia wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…