Mungu hana msaada wowote katika maisha yangu

Comment ifanyiwe lamination....
 
Umemaliza kabisa, kama kweli ni wa Mungu asingethubutu kuandika hayo atafute kumjua atakuwa na amani.
 
Ufunuo wa Yohana 2:8-11
8 Na kwa malaika wa kanisa lililoko Smirna andika; Haya ndiyo aneneyo yeye aliye wa kwanza na wa mwisho, aliyekuwa amekufa, kisha akawa hai.

9 Naijua dhiki yako na umaskini wako, (lakini u tajiri) najua na matukano ya hao wasemao ya kuwa ni Wayahudi, nao sio, bali ni sinagogi la Shetani.

10 Usiogope mambo yatakayokupata; tazama, huyo Ibilisi atawatupa baadhi yenu gerezani ili mjaribiwe, nanyi mtakuwa na dhiki siku kumi. Uwe mwaminifu hata kufa, nami nitakupa taji ya uzima.

11 Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindaye hatapatikana na madhara ya mauti ya pili.

Kuna muda huwa hata sielewi, ni kwanini Mungu huwa anampa huyu na kumnyima huyu, kiufupi akili zake hazichunguziki, nachoweza kusema kuwa mwaminifu mpaka siku yako ya kufa.
nanyi mtakuwa na dhiki siku kumi. Uwe mwaminifu hata kufa, nami nitakupa taji ya uzima.
 
Wakati wako bado kuna watu wanashida zaidi yako na bado wanamuomba usikufuru kiasi hiko
 
Mwanangu wewe hata usimuamini tu, yeye atabaki kuaminiwa na wengine wengiii tu.

Kama umeona Mungu hata msaada fanya hivi

Nenda kaombe kwa kutumia jina la shetani,

Mwambie bwana shetani nisaidie mambo yangu kwakua Mungu nae muamini hana msaada wowote kwangu
 
MUNGU yupi🤔 mana wako wengi kinoma😂 Zeus , Allah , Jehovah , Vishnu , Krishna ........na kadhalika
 
Tuliza akili na mawazo tuambie shida ni nini hasa acha kumlaumu Muumba wako,hata baraka unayoitamani utaweza kuikosa.
 
Kwenye paragraph ya mwisho mbona umezidi kumkandamiza?
Hiyo situation anayopitia anahitaj kutiwa moyo
 
Msaada wa nn ndugu
 
MUNGU, hayupo kwaajiri ya watu legelege like him, mim naona tatzo sio Mungu, tatizo lipo ndani ya BONGO yake.
 
"Dr Remmy aliimba-:
Shida na wewe.
Tabu na wewe.
Mateso na wewe.
Mikosi na wewe.
Bahati mbaya na wewe."
Nadhani alikuwa ana kuimbia wewe 🤕
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…