Mungu hana msaada wowote katika maisha yangu

Mungu hana msaada wowote katika maisha yangu

Huyo Mungu unayemlaumu ndio wewe mwenyewe, nyanyua hili tako upambane uache kujilaumu.

Ukitaka kufanikiwa usilalamike, badili mtazamo, badili akili, anza kuyatazama mambo yote katika hali Chanya.

Malalamiko husababisha matatizo mengi zaidi. Fikra za umasikini husababisha umasikini mwingi zaidi na zaidi.

Fikra za mikosi huzalisha mikosi mingine mingi zaidi. TULIZANA, BADILI MTAZAMO.

Anza sasa kujifikiria mambo mazuri tu na utaona mambo yote mazuri yanakuja kwako kwa wingi. Fedha, mali, furaha na baraka.
Comment ifanyiwe lamination....
 
Ni sawa na useme mume wa jirani yangu Hana msaada na Mimi na ni TAJIRI, sasa huyo ni Mumeo? Lazima awe wako!

Mungu ana msaada kwa watu wenye mahusiano naye, na Kama ungewahi Kuwa na mahusiano naye usingeropoka!

Angalia watu Kama Yusufu, Ayoub na wengine wengi kwenye Biblia, walipita balata za kutosha, wakavumilia mwisho we wakamwona Mungu!

Yani watu Kama wewe wa naweza kufa huku wanatukana Mungu Mwenye uwezo wa kukusaidia; hauna mahusiano na huyu Mungu hata kidogo!

Die hard brother Kama hutaki kumfaham na kumwelewa huyu Mungu namba ambavyo anafanya kazi zake, go die, killl yourself, die baby die!
Umemaliza kabisa, kama kweli ni wa Mungu asingethubutu kuandika hayo atafute kumjua atakuwa na amani.
 
Ufunuo wa Yohana 2:8-11
8 Na kwa malaika wa kanisa lililoko Smirna andika; Haya ndiyo aneneyo yeye aliye wa kwanza na wa mwisho, aliyekuwa amekufa, kisha akawa hai.

9 Naijua dhiki yako na umaskini wako, (lakini u tajiri) najua na matukano ya hao wasemao ya kuwa ni Wayahudi, nao sio, bali ni sinagogi la Shetani.

10 Usiogope mambo yatakayokupata; tazama, huyo Ibilisi atawatupa baadhi yenu gerezani ili mjaribiwe, nanyi mtakuwa na dhiki siku kumi. Uwe mwaminifu hata kufa, nami nitakupa taji ya uzima.

11 Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindaye hatapatikana na madhara ya mauti ya pili.

Kuna muda huwa hata sielewi, ni kwanini Mungu huwa anampa huyu na kumnyima huyu, kiufupi akili zake hazichunguziki, nachoweza kusema kuwa mwaminifu mpaka siku yako ya kufa.
nanyi mtakuwa na dhiki siku kumi. Uwe mwaminifu hata kufa, nami nitakupa taji ya uzima.
 
Wakati wako bado kuna watu wanashida zaidi yako na bado wanamuomba usikufuru kiasi hiko
 
Mwanangu wewe hata usimuamini tu, yeye atabaki kuaminiwa na wengine wengiii tu.

Kama umeona Mungu hata msaada fanya hivi

Nenda kaombe kwa kutumia jina la shetani,

Mwambie bwana shetani nisaidie mambo yangu kwakua Mungu nae muamini hana msaada wowote kwangu
 
MUNGU yupi🤔 mana wako wengi kinoma😂 Zeus , Allah , Jehovah , Vishnu , Krishna ........na kadhalika
 
Mikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.

Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao.

Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana kama kweli yupo ni mtesaji na mnyanyasaji kweli.
NIMEMALIZA.
Tuliza akili na mawazo tuambie shida ni nini hasa acha kumlaumu Muumba wako,hata baraka unayoitamani utaweza kuikosa.
 
Ni sawa na useme mume wa jirani yangu Hana msaada na Mimi na ni TAJIRI, sasa huyo ni Mumeo? Lazima awe wako ndo akusaidie!

Mungu ana msaada kwa watu wenye mahusiano naye, na Kama ungewahi Kuwa na mahusiano naye usingeropoka na kumdharau!

Nani alikwambua watu wote wenye navyo wamepewa na Mungu unayemlaumu? Hata shetani utoa mafanikio yenye majuto!!! Why don’t you try him uone balaa Lake????

Angalia watu Kama Yusufu, Ayoub na wengine wengi kwenye Biblia, walipita balaa za kutosha, wakavumilia mwisho we wakamwona Mungu! Unajua kwa nini hawakukufuru Kama wewe ? Kwa Sababu wamamjua!

Yani watu Kama wewe wa naweza kufa huku wanatukana Mungu Mwenye uwezo wa kukusaidia; hauna mahusiano na huyu Mungu hata kidogo; kufa tu brother na laana zako na Umaskini!!!

Die hard brother Kama hutaki kumfaham na kumwelewa huyu Mungu namna ambavyo anafanya kazi zake ( He is a principled God ) go die, killl yourself, die baby die!
Kwenye paragraph ya mwisho mbona umezidi kumkandamiza?
Hiyo situation anayopitia anahitaj kutiwa moyo
 
Mikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.

Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao.

Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana kama kweli yupo ni mtesaji na mnyanyasaji kweli.
NIMEMALIZA.
Msaada wa nn ndugu
 
Ni sawa na useme mume wa jirani yangu Hana msaada na Mimi na ni TAJIRI, sasa huyo ni Mumeo? Lazima awe wako ndo akusaidie!

Mungu ana msaada kwa watu wenye mahusiano naye, na Kama ungewahi Kuwa na mahusiano naye usingeropoka na kumdharau!

Nani alikwambua watu wote wenye navyo wamepewa na Mungu unayemlaumu? Hata shetani utoa mafanikio yenye majuto!!! Why don’t you try him uone balaa Lake????

Angalia watu Kama Yusufu, Ayoub na wengine wengi kwenye Biblia, walipita balaa za kutosha, wakavumilia mwisho we wakamwona Mungu! Unajua kwa nini hawakukufuru Kama wewe ? Kwa Sababu wamamjua!

Yani watu Kama wewe wa naweza kufa huku wanatukana Mungu Mwenye uwezo wa kukusaidia; hauna mahusiano na huyu Mungu hata kidogo; kufa tu brother na laana zako na Umaskini!!!

Die hard brother Kama hutaki kumfaham na kumwelewa huyu Mungu namna ambavyo anafanya kazi zake ( He is a principled God ) go die, killl yourself, die baby die!
MUNGU, hayupo kwaajiri ya watu legelege like him, mim naona tatzo sio Mungu, tatizo lipo ndani ya BONGO yake.
 
Mikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.

Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao.

Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana kama kweli yupo ni mtesaji na mnyanyasaji kweli.
NIMEMALIZA.
"Dr Remmy aliimba-:
Shida na wewe.
Tabu na wewe.
Mateso na wewe.
Mikosi na wewe.
Bahati mbaya na wewe."
Nadhani alikuwa ana kuimbia wewe 🤕
 
Back
Top Bottom