Mungu hana msaada wowote katika maisha yangu

Mikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.

Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao.

Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana kama kweli yupo ni mtesaji na mnyanyasaji kweli.
NIMEMALIZA.
Pole sana kwa yanayokusibu. Mungu atabaki kuwa Mungu milele haijalishi wewe unapitia hali gani. Ushauri wangu kwako ni kuomba toba na rehema na kurejea kwake na kumwamini ili aingilie kati sumbuko lako. Mungu anasema katika Yeremia 29:11 'Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi asema Bwana ni mawazo ya amani kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.
 
Mental illness is real.
 
basi Nenda kwa watu kama kina Pdiddy wakushughulikie kwa mambo maovu unatamani kuwa mdhambi ili uprovu unalodhani kuwa wenye dhambi nyingi ndio wenye pesa.
Labda hata kupata hiyo VISA na nauli ya kwenda kwa Pdiddy ni kipengele kwake.
 
Pole sana kwa yanayokusibu. Mungu atabaki kuwa Mungu milele haijalishi wewe unapitia hali gani. Ushauri wangu kwako ni kuomba toba na rehema na kurejea kwake na kumwamini ili aingilie kati sumbuko lako. Mungu anasema katika Yeremia 29:11 'Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi asema Bwana ni mawazo ya amani kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.
Kama ni kuomba nimeomba sana, Au labda niombe uchi ndiposa atanijibu?
 
Unapumua pumzi yake, umekula umeshiba chakula ambacho amekikuza kwa mvua na jua kutoka kwake

Unakuja kuandika pumba zako hizi

Kama Mungu hauoni msaada wake hamia kwa Shetani
Mbona hata sikuomba kuzaliwa? Hata pumzi sikuiomba. Na kama ni kufa mda wowote nipo tayari
 
Watafute majini wakusaidie mkuu, Wapo wengi mno. Ingia youtube search namna ya kumuita jini na kumuamrisha akutumikie. Tena ukilipata la kike itakua poa, kama yuko single unaoa mazima.
 
Back
Top Bottom