St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
Bado una safari ndefu sana ya kumjua Mungu.. Mungu anatafutwa.. Sijui umefanya jitihada gani katika kumtafuta Mungu..??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
upande ganiIla brother wewe ni mnafki sana. Mbona kama jibu lako linasapoti upande mmoja
Tayari ushathibitisha uwepo wa Mungu, neno "hata nisipothibitisha" tayari ni kukubaliana kutokukubaliana kwa uwepo wa Mungu.Logical non sequitur.
Hata nisipoweza kuthibitisha uwepo wangu, hilo halithibitishi Mungu yupo.
Thibitisha Mungu yupo.
Hapana, wewe huelewi logical non sequitur fallacy unayoifanya tu.Tayari ushathibitisha uwepo wa Mungu, neno "hata nisipothibitisha" tayari ni kukubaliana kutokukubaliana kwa uwepo wa Mungu.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Acha porojo...huyo Mungu hayupo ni story tu.Ni sawa na useme mume wa jirani yangu Hana msaada na Mimi na ni TAJIRI, sasa huyo ni Mumeo? Lazima awe wako ndo akusaidie!
Mungu ana msaada kwa watu wenye mahusiano naye, na Kama ungewahi Kuwa na mahusiano naye usingeropoka na kumdharau!
Nani alikwambua watu wote wenye navyo wamepewa na Mungu unayemlaumu? Hata shetani utoa mafanikio yenye majuto!!! Why don’t you try him uone balaa Lake????
Angalia watu Kama Yusufu, Ayoub na wengine wengi kwenye Biblia, walipita balaa za kutosha, wakavumilia mwisho we wakamwona Mungu! Unajua kwa nini hawakukufuru Kama wewe ? Kwa Sababu wamamjua!
Yani watu Kama wewe wa naweza kufa huku wanatukana Mungu Mwenye uwezo wa kukusaidia; hauna mahusiano na huyu Mungu hata kidogo; kufa tu brother na laana zako na Umaskini!!!
Die hard brother Kama hutaki kumfaham na kumwelewa huyu Mungu namna ambavyo anafanya kazi zake ( He is a principled God ) go die, killl yourself, die baby die!
True...Ndugu, anahitaji msaada wa kisaikolojia huyu
Umeandika vizuri..hongera..ingawa kuna sehemu umechapia.Ni sawa na useme mume wa jirani yangu Hana msaada na Mimi na ni TAJIRI, sasa huyo ni Mumeo? Lazima awe wako ndo akusaidie!
Mungu ana msaada kwa watu wenye mahusiano naye, na Kama ungewahi Kuwa na mahusiano naye usingeropoka na kumdharau!
Nani alikwambua watu wote wenye navyo wamepewa na Mungu unayemlaumu? Hata shetani utoa mafanikio yenye majuto!!! Why don’t you try him uone balaa Lake????
Angalia watu Kama Yusufu, Ayoub na wengine wengi kwenye Biblia, walipita balaa za kutosha, wakavumilia mwisho we wakamwona Mungu! Unajua kwa nini hawakukufuru Kama wewe ? Kwa Sababu wamamjua!
Yani watu Kama wewe wa naweza kufa huku wanatukana Mungu Mwenye uwezo wa kukusaidia; hauna mahusiano na huyu Mungu hata kidogo; kufa tu brother na laana zako na Umaskini!!!
Die hard brother Kama hutaki kumfaham na kumwelewa huyu Mungu namna ambavyo anafanya kazi zake ( He is a principled God ) go die, killl yourself, die baby die!
Faida pekee ya rushwa kwenye jamii ni kuua imani, is one of the symptom enlightment, endelea na ulozi mpaka uijue lugha, inawezekana, welcome to the highest cultureMikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.
Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao.
Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana kama kweli yupo ni mtesaji na mnyanyasaji kweli.
NIMEMALIZA.
Inabidi afanyeje aweze ku experience hizo nguvu za Mungu zilizopo ndani yake.Tatizo kubwa linaanzia hapo unapo fikiria kwamba mungu nikiumbe👈
Ondoa fikra hii kichwani nahii imewafanya watu wengi kua tegemezi na ombaomba wakidhani mungu nikiumbe amestarehe sehemu anawasikiliza wao wakiomba?
Inabidi ubadili fikra zako na utambue kwamba mungu yuko ndani mwako wewe hapo.
Hivyo kumuomba nj'e nawewe nipigo la kufeli kwahatua yakwanza.
Mungu anafahamu kuna watu akiwapa balaa lake sio dogo, ndiomaana kakunyima.Mikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.
Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao.
Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana kama kweli yupo ni mtesaji na mnyanyasaji kweli.
NIMEMALIZA.
Afya ya akili haipo sawa...kujiona wewe ndio una matatizo kuliko watu wote ni shida ya akili inawezekana kabisa hayo matatizo uliyonayo ni madogo sana kulinganisha na hao wenzako unaosema wana Neema Tele.Mikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.
Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao.
Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana kama kweli yupo ni mtesaji na mnyanyasaji kweli.
NIMEMALIZA.
MUNGU sio fikra. God is real. Hatumjifunzi au kumwamini ili kuhakikisha kama kugusa. Kila mtu ana maswali kumhusu. Ila majibu, msaada na Imani kwa Mungu ni halisi. Ni vigumu kugawiana Imani kama keki. Binafsi nimemuona MUNGU kwa Imani na aliyonitendea.Mikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.
Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao.
Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana kama kweli yupo ni mtesaji na mnyanyasaji kweli.
NIMEMALIZA.
Nan anaefanya upumue kama kakupa pumzi kwann useme hana msaada🙂Mikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.
Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao.
Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana kama kweli yupo ni mtesaji na mnyanyasaji kweli.
NIMEMALIZA.
Kunbe mungu wako na yeye ni kiumbe?Mikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.
Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao.
Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana kama kweli yupo ni mtesaji na mnyanyasaji kweli.
NIMEMALIZA.
Kwani Mungu wako ni nani?Kunbe mungu wako na yeye ni kiumbe?
Huyo hafai, hata mimi nakuunga mkono.
Kwahiyo kupumua kwangu ndo msaada wake?Nan anaefanya upumue kama kakupa pumzi kwann useme hana msaada🙂
Umeandika vizuri..hongera..ingawa kuna sehemu umechapia.
Mungu sio Hamisi (Mwanadamu), upendo wa Mungu ni zaidi kwa mbali kulinganishwa wa upendo wa mzazi kwa mtoto.Je mzazi anaweza mchukia mtoto wake hata kama anamapungufu kama yote, jibu ni hapana.
Hapo umemuongelea Mungu as if ni mwanadamu kuwa anatoa baada ya kupokea, umemuweka Mungu kama kiumbe chenye hisia na UMEMUHUKUMU HUYU NDUGU KUWA SABABU YUKO MBALI NA MUNGU NDO MAANA ANAPITIA MATATIZO. Umekosea sana...nani alikudanganya kuwa watu waliokaribu na Mungu hawapati matatizo, nani huyo - kuna mwanadamu yupi ambaye anamaisha yamenyooka na hana matatizo ???Vipi wewe mwenzetu unamaisha mazuri from all angles kama malaika???
Mungu yuko sawa kwa watu wote, hana upendeleo, Mungu katupa karama kila mtu na kila mtu kwa kupitia karama yake anaweza kujipatia mahitaji yake hapa duniani bila kumuingilia mwenzake.
Tumuombe Mungu atusaidie kuwa wastahimilivu pale tunapopitia changamoto - EMOTIONAL INTELLIGENCE. Hivyo usimtishe et sijui kamkosea Mungu...n.k huo ni uongo..muombe Mungu ampe ustahimilivu kama wewe hapo mpaka unafikiri wenzio wanamatatizo sababu wako sinful. Kwa hiyo ukienda OCEAN Road ukiona watu wanavyoteseka na Cancer - akili yako inakwambia hao ndi wakosefu sio???
Kwangu hajafanikiwa kunisaidia chochote.MUNGU sio fikra. God is real. Hatumjifunzi au kumwamini ili kuhakikisha kama kugusa. Kila mtu ana maswali kumhusu. Ila majibu, msaada na Imani kwa Mungu ni halisi. Ni vigumu kugawiana Imani kama keki. Binafsi nimemuona MUNGU kwa Imani na aliyonitendea.