Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Mwenyezi Mungu ni mkuu na hapangiwi ila kwa akili zetu za kibinadamu magufuli haikupaswa kufa ili ayashuhudie haya akiwa hai ili ajifunze thamani ya utu na upendo.
Alipaswa kumuona Lissu akitabasamu na Mama Brussels.
Alipaswa kumuona Mbowe akipeana na mama mkono Ikulu.
Alipaswa kumuona Sabaya na Makonda wanavyohanyahanya.
Alipaswa kuona magazeti aliyoyafungia yanafunguliwa.
Alipaswa kumuona Ndugai akiwa mbunge wa kawaida.
Alipaswa kumuona Nape na Makamba ni Mawaziri.
Nk.
Ni vile tu wewe Mungu mkuu hupangiwi.