Mungu hapangiwi ila Magufuli alipaswa ayaone haya akiwa hai ajifunze

Mungu hapangiwi ila Magufuli alipaswa ayaone haya akiwa hai ajifunze

Mwenyezi Mungu ni mkuu na hapangiwi ila kwa akili zetu za kibinadamu magufuli haikupaswa kufa ili ayashuhudie haya akiwa hai ili ajifunze thamani ya utu na upendo...
Atakuwa anajifunza huko Namna ya Kuishi Kwa Upendo na Malaika anaowaongoza
 
Yule jamaa wa umeme alianza kumsingizia marehemu saivi anaficha aibu zake, anaomba apewe muda. Uongo hua haudumu.
Katika kichwa panzi yule..
Katika mawaziri ambao hawana furaha yule wa kwanza.
Anajificha kuwa hapendwi na shida ni uraisi wa boss wake.
Anawadharirisha sana watu wenye vipara na makengeza.
 
Kuna watu ni wapumbavu humu JF..Yani mipasho ,umbeya na Habari fake zimejaa humu kwaajili ya wapumbavu wachache...
 
tengeneza tatizo alafu ondoa tatizo Tz utasifiwa. Hii nchi bhana
 
Mwenyezi Mungu ni mkuu na hapangiwi ila kwa akili zetu za kibinadamu magufuli haikupaswa kufa ili ayashuhudie haya akiwa hai ili ajifunze thamani ya utu na upendo.
Kwamba hakuwa na upendo,utu wala jema .. eti? Tuache unafki!!
 
Back
Top Bottom